Taarifa nilizonazo chadema inaongoza kwa kasi ya kutisha..
Hakuna kulala...
matokeo yenu ni mazuri bt yanahitaji data,nyarugasu ccm imeongoza kwa kura 600Matokea ya uchaguzi jimbo la Busanda, yameanza kutoka ambako katika miji mikuu yote ya jimbo hilo, ni Chadcema inaongoza na kuiacha CCM kwa mbali wakati huko vijijini ni CCM inaongoza.
Shamra shamra za kusherehekea ushindi ni mijini kwa kuwafanya wafuasi na washabi wa Chadema kufurika mitaani kusherehekea ushindi hali inayoashiria wakijaambia matokeo ya jumla sio wao, mijini kutakuwa hapatoshi na hakukaliki.
Mpaka sasa Mji mkuu wa Busanda ni Chadema wakati kata maarufu ya Nyarugusu ni CCM.
Nitawaletea matokeo ya kata kwa kata kadri ninavyoyapata.
Tushangileeee, ila tujiandae na kulia pia. Mimi mpaka sasa hivi siamini kama sisiemu watawatangaza CHADEMA washindi. Hilo Msahau si mnajua statistics zao kuwa 80% ya watanzania wapo vijijini na maana hiyo ni kwamba 80% ya wanabusanda wapo vijijini hii strategy wapinzani walijisahau muda mrefu kuwa CCM ina overstate population vijijini na ku understate mijini.
Matokeo rasmi ni kwamba CCM itakuwa imeshinda. Mimi bado sijaamini mpaka CCM(kupitia kada wao msimamizi wa chaguzi) watangaze kuwa CHADEMA Imashinda
Mkuu taarifa ya Population ktk maeneo ya geita yako wazi kabisa vijijini hakuna watu na Katoro peke yake inaweza kuchukua hesabu ya vitongoji vyote by population hata bila kutumia hesabu ya wapiga kura...Tushangileeee, ila tujiandae na kulia pia. Mimi mpaka sasa hivi siamini kama sisiemu watawatangaza CHADEMA washindi. Hilo Msahau si mnajua statistics zao kuwa 80% ya watanzania wapo vijijini na maana hiyo ni kwamba 80% ya wanabusanda wapo vijijini hii strategy wapinzani walijisahau muda mrefu kuwa CCM ina overstate population vijijini na ku understate mijini.
Matokeo rasmi ni kwamba CCM itakuwa imeshinda. Mimi bado sijaamini mpaka CCM(kupitia kada wao msimamizi wa chaguzi) watangaze kuwa CHADEMA Imashinda
matokeo yenu ni mazuri bt yanahitaji data,nyarugasu ccm imeongoza kwa kura 600
Matokeo yanaonyesha kuwa vijijini kote ccm imeshinda mpaka sasa kata ya katuru chadema inaonoza kwenye mitaa saba mpaka sasa
kwenye hili jina la waziri source zimegongana.. mmoja kamtaja Mwangunga mwingine ni Mahiza.. tutasahihisha tukipata uhakika kabisa.
Mkuu taarifa ya Population ktk maeneo ya geita yako wazi kabisa vijijini hakuna watu na Katoro peke yake inaweza kuchukua hesabu ya vitongoji vyote by population hata bila kutumia hesabu ya wapiga kura...
Mijini ktk mikoa na wilaya zote inaongoza kwa population tena unaweza jumlisha vijiji vyote visiweze kufikia mji mmoja tu - under mixed type..Bofya hapa
Ni ngumu kujua data zote lakini mpaka sasa wakati wanaendelea kuhesabu chadema inaongoza kata mbili tu za katoro na kata anayotokea mgombea wa chedema....jumla ni kuwa ccm ina kura elfu kumi mpaka sasa na chadema wako elfu saba na mia sitaAmbapo hiyo mitaa saba inaongoza kwa jumla ya kura ngapi mpaka sasa? mbona za Nyarugusu umeweka?