CCM Yamchefua H. Polepole

CCM Yamchefua H. Polepole

Wenye CCM ni hao hao Wabeba UNGA GSM
Wanahama kwa wingi kuwafuata WAUZAJI na WABWIYA unga
Nchi itatulia tu
Vita hii hakuna cha Binge wala Mahakama mpaka waishe hata mitandaoni

Mgawanyiko Na Mtifuano Uliomo Ndani Ya Ccm Kwa Sasa Unamuweka Njiapanda Ndg H Polepole. Anajikuta Mpweke Ndani Ya Ccm.

Ccm Kwa Sasa Iko Vipande 3: Ccm Maslahi, Ccm Asilia Na Ccm Mpya (magufuli).

Ccm Asilia Hawamtaki Polepole Kwa Msimamo Wake Aliyo Utoa Hadharani Kuamini Ktk Muungano Wa Serikali 3.

Ccm Maslahi Ni Wengi Sana Hawa. Ni Wale Waliokuwa Ktk Kambi Za Wagombea Urais Ndani Ya Ccm Mwaka 2015. Hawa Wanamuona H Polepole Kuwa Si Msemaji Wao, Bali Ni Msemaji Wa Magufuli. Lkn Pia Zoezi Linaloendelea Ndani Ya Ccm La Kuwafutia Uanachama Wanaccm Maslahi (wasaliti) Haliwapi Raha Kabisa.

Anapo Ibuka Kuisemea Ccm, H. Polepole Anaangaliwa Kama Asiyejua Anachokisema. Ndiyo Maana Kaamua Kuufunga Mdomo Na Kuwa Mtazamaji Tu.

Si Mnakumbuka Mange Alipochoma Kadi Yake Polepole Alitoa Kauli. Kwenye Sakata La Ngada Umemsikia? Kwenye Sakata La Msukuma, Bunge Na Wema Umemsikia?
BANGI HIZI......CCM si ya kufa leo kwa aina ya UPINZANI unaongozwa na KINA MBOWE....ukweli upo mioyoni mwenu lakini hamtaki kulikubali hili.......
Hivi unakaa chini unafikiria kabsa CCM itakufa kwa kutumia hiki kizazi cha kina LISSU?????..wasiooona umuhimu wa WAFUASI wao???....Hakuna kitu kinachoniuma JUU YA MATAMKO YALIYOKUWA YAKIOTOLEWA NA MBOWE NA LISSU juu ya BEN SAANANE afu mpaka leo hii wapo kimya hakuna mrejesho wowote ambao wameutoa kwenye JAMII ila muda wa kucheka na WEMA wanao na kumtafutia mabodigadi.......NA NYIE MNAENDELEA KUWACHEKEA...mkae mnajua hawa ndio wanaoturudisha nyuma kimaendeleo....maana TUKIWA NA UPINZANI UNAOSIMAMIA KILE WANACHOKITAMKA ADHARANI leo nchi yetu angekuwa inapiga hatua kwa kasi moja ya ajabu sana.......
WANA MATUMIZI MABAYA YA RUZUKU kwa kujitengenezea kesi za kila kukicha mahakani mwisho wa siku mtengneza kesi mahakamni kupitia wakili wa CHAMA anapewa 10%.....
CHAMA KINASHINDWA HATA KUWA NA OFISI INAYOELEWEKA....still mnatak tuyape eti nchi yatawale.....NI UPUUZI kulipigania hili

Siku zote naukumbuka waraka wa askofu
kakobe kwa mh.rais wa awamu iliyopita
nakumbuka alitoa ushautri wa kutubu.
Vinginevyo Mungu atawachafulia lugha
wenye chama chao kama ilivyokuwa
kwenye mnara wa babeli.
It is true.

Kadri siku zunavyosonga ndivyo mnara wa Babeli unavyozidi kuporomoka........

It is true.

Kadri siku zunavyosonga ndivyo mnara wa Babeli unavyozidi kuporomoka........
BANGI HIZI......CCM si ya kufa leo kwa aina ya UPINZANI unaongozwa na KINA MBOWE....ukweli upo mioyoni mwenu lakini hamtaki kulikubali hili.......
Hivi unakaa chini unafikiria kabsa CCM itakufa kwa kutumia hiki kizazi cha kina LISSU?????..wasiooona umuhimu wa WAFUASI wao???....Hakuna kitu kinachoniuma JUU YA MATAMKO YALIYOKUWA YAKIOTOLEWA NA MBOWE NA LISSU juu ya BEN SAANANE afu mpaka leo hii wapo kimya hakuna mrejesho wowote ambao wameutoa kwenye JAMII ila muda wa kucheka na WEMA wanao na kumtafutia mabodigadi.......NA NYIE MNAENDELEA KUWACHEKEA...mkae mnajua hawa ndio wanaoturudisha nyuma kimaendeleo....maana TUKIWA NA UPINZANI UNAOSIMAMIA KILE WANACHOKITAMKA ADHARANI leo nchi yetu angekuwa inapiga hatua kwa kasi moja ya ajabu sana.......
WANA MATUMIZI MABAYA YA RUZUKU kwa kujitengenezea kesi za kila kukicha mahakani mwisho wa siku mtengneza kesi mahakamni kupitia wakili wa CHAMA anapewa 10%.....
CHAMA KINASHINDWA HATA KUWA NA OFISI INAYOELEWEKA....still mnatak tuyape eti nchi yatawale.....NI UPUUZI kulipigania hili

Mgawanyiko Na Mtifuano Uliomo Ndani Ya Ccm Kwa Sasa Unamuweka Njiapanda Ndg H Polepole. Anajikuta Mpweke Ndani Ya Ccm.

Ccm Kwa Sasa Iko Vipande 3: Ccm Maslahi, Ccm Asilia Na Ccm Mpya (magufuli).

Ccm Asilia Hawamtaki Polepole Kwa Msimamo Wake Aliyo Utoa Hadharani Kuamini Ktk Muungano Wa Serikali 3.

Ccm Maslahi Ni Wengi Sana Hawa. Ni Wale Waliokuwa Ktk Kambi Za Wagombea Urais Ndani Ya Ccm Mwaka 2015. Hawa Wanamuona H Polepole Kuwa Si Msemaji Wao, Bali Ni Msemaji Wa Magufuli. Lkn Pia Zoezi Linaloendelea Ndani Ya Ccm La Kuwafutia Uanachama Wanaccm Maslahi (wasaliti) Haliwapi Raha Kabisa.

Anapo Ibuka Kuisemea Ccm, H. Polepole Anaangaliwa Kama Asiyejua Anachokisema. Ndiyo Maana Kaamua Kuufunga Mdomo Na Kuwa Mtazamaji Tu.

Si Mnakumbuka Mange Alipochoma Kadi Yake Polepole Alitoa Kauli. Kwenye Sakata La Ngada Umemsikia? Kwenye Sakata La Msukuma, Bunge Na Wema Umemsikia?
You are a liar. A poisonous liar.

Kama CCM ilikwepa Mpasuko 2015 haitopasuka 2020 Ila Mabingwa wa Njozi wanaruhusiwa kuendelea kuota!

Tatizo lenu mnajitahidi sana kupandikiza Mgogoro Ila mnasahau kuwa Proaganda ni Taaluma inayosomwa Darasani na Nyie na Darasa ni Kama Chai na Kungu!

Polepole hafanani na jukumu alilotwishwa.
Dhamiri yake inamsuta mno kwa alivyoshiriki kulisaliti Taifa.

Mleta post anaonekana ana uvimbe kichwani, kwanini H.Polepole asiseme mwenyewe? Kwanini mleta post amlishe maneno H.Polepole? Ikumbukwe H.Polepole ni msomi mzuri sana tena ana weledi ktk sheria. Sasa iweje leo asemewe na mtu asiyejua chochote?

Waache watoane roho. Ni nani anawajali hawa mumiani waso huruma?
492ee287fa8b6f107382e3aaa5679c01.jpg

Mgawanyiko Na Mtifuano Uliomo Ndani Ya Ccm Kwa Sasa Unamuweka Njiapanda Ndg H Polepole. Anajikuta Mpweke Ndani Ya Ccm.

Ccm Kwa Sasa Iko Vipande 3: Ccm Maslahi, Ccm Asilia Na Ccm Mpya (magufuli).

Ccm Asilia Hawamtaki Polepole Kwa Msimamo Wake Aliyo Utoa Hadharani Kuamini Ktk Muungano Wa Serikali 3.

Ccm Maslahi Ni Wengi Sana Hawa. Ni Wale Waliokuwa Ktk Kambi Za Wagombea Urais Ndani Ya Ccm Mwaka 2015. Hawa Wanamuona H Polepole Kuwa Si Msemaji Wao, Bali Ni Msemaji Wa Magufuli. Lkn Pia Zoezi Linaloendelea Ndani Ya Ccm La Kuwafutia Uanachama Wanaccm Maslahi (wasaliti) Haliwapi Raha Kabisa.

Anapo Ibuka Kuisemea Ccm, H. Polepole Anaangaliwa Kama Asiyejua Anachokisema. Ndiyo Maana Kaamua Kuufunga Mdomo Na Kuwa Mtazamaji Tu.

Si Mnakumbuka Mange Alipochoma Kadi Yake Polepole Alitoa Kauli. Kwenye Sakata La Ngada Umemsikia? Kwenye Sakata La Msukuma, Bunge Na Wema Umemsikia?

CCM wako vizuri, tena vizuri kweli kweli. Jipange kwa mengine.

Polepole kandandia mahali pasipomfaa hakujua kuwa CCM inawenyewe.

Mgawanyiko Na Mtifuano Uliomo Ndani Ya Ccm Kwa Sasa Unamuweka Njiapanda Ndg H Polepole. Anajikuta Mpweke Ndani Ya Ccm.

Ccm Kwa Sasa Iko Vipande 3: Ccm Maslahi, Ccm Asilia Na Ccm Mpya (magufuli).

Ccm Asilia Hawamtaki Polepole Kwa Msimamo Wake Aliyo Utoa Hadharani Kuamini Ktk Muungano Wa Serikali 3.

Ccm Maslahi Ni Wengi Sana Hawa. Ni Wale Waliokuwa Ktk Kambi Za Wagombea Urais Ndani Ya Ccm Mwaka 2015. Hawa Wanamuona H Polepole Kuwa Si Msemaji Wao, Bali Ni Msemaji Wa Magufuli. Lkn Pia Zoezi Linaloendelea Ndani Ya Ccm La Kuwafutia Uanachama Wanaccm Maslahi (wasaliti) Haliwapi Raha Kabisa.

Anapo Ibuka Kuisemea Ccm, H. Polepole Anaangaliwa Kama Asiyejua Anachokisema. Ndiyo Maana Kaamua Kuufunga Mdomo Na Kuwa Mtazamaji Tu.

Si Mnakumbuka Mange Alipochoma Kadi Yake Polepole Alitoa Kauli. Kwenye Sakata La Ngada Umemsikia? Kwenye Sakata La Msukuma, Bunge Na Wema Umemsikia?
kwa sasa CCM ni imara zaidi kuliko unavyofikiria.

Back
Top Bottom