CCM Yamchefua H. Polepole

CCM Yamchefua H. Polepole

Mgawanyiko Na Mtifuano Uliomo Ndani Ya Ccm Kwa Sasa Unamuweka Njiapanda Ndg H Polepole. Anajikuta Mpweke Ndani Ya Ccm.

Ccm Kwa Sasa Iko Vipande 3: Ccm Maslahi, Ccm Asilia Na Ccm Mpya (magufuli).

Ccm Asilia Hawamtaki Polepole Kwa Msimamo Wake Aliyo Utoa Hadharani Kuamini Ktk Muungano Wa Serikali 3.

Ccm Maslahi Ni Wengi Sana Hawa. Ni Wale Waliokuwa Ktk Kambi Za Wagombea Urais Ndani Ya Ccm Mwaka 2015. Hawa Wanamuona H Polepole Kuwa Si Msemaji Wao, Bali Ni Msemaji Wa Magufuli. Lkn Pia Zoezi Linaloendelea Ndani Ya Ccm La Kuwafutia Uanachama Wanaccm Maslahi (wasaliti) Haliwapi Raha Kabisa.

Anapo Ibuka Kuisemea Ccm, H. Polepole Anaangaliwa Kama Asiyejua Anachokisema. Ndiyo Maana Kaamua Kuufunga Mdomo Na Kuwa Mtazamaji Tu.

Si Mnakumbuka Mange Alipochoma Kadi Yake Polepole Alitoa Kauli. Kwenye Sakata La Ngada Umemsikia? Kwenye Sakata La Msukuma, Bunge Na Wema Umemsikia?
Ukila Nyama ya MTU hautaacha...nachechemeaaaaaaa

Wanahama kwa wingi kuwafuata WAUZAJI na WABWIYA unga
Nchi itatulia tu
Vita hii hakuna cha Binge wala Mahakama mpaka waishe hata mitandaoni

Jiulize kwanini Mkuu wa Mkoa amempangia nyumba International Drug Trafficker na hakumtaja kwenye vyombo vya habari na amekutwa na Heroine nyumbani kwake.

Kama.ni hivyo maana yake hata Mkuu wa Mkoa ni wale wale Drug dealers wa GSM

[quote uid=315502 name="Upepo wa Pesa" post=19869696]Nichukue fursa mara ya ngapi gamba wewe?? Fursa nimechukua na nnachukua dailee ila siwezi kaa kimya mambo yanapoenda kombo!

Yanaenda kombo wapi acheni kulia kulia tujifunge mkanda ..fanya kazi rizika na unachopata muda wa kupiga dili uliiisha..miaka 8 ni mingi imebaki jpm atuongoze tuache kujichosha kwa kulialia[/QUOTE]
Duuuh kumbe watu wa dizaini hii bado wapo.?mmmh kwel kenge n kenge hawez kuwa mamba

BANGI HIZI......CCM si ya kufa leo kwa aina ya UPINZANI unaongozwa na KINA MBOWE....ukweli upo mioyoni mwenu lakini hamtaki kulikubali hili.......
Hivi unakaa chini unafikiria kabsa CCM itakufa kwa kutumia hiki kizazi cha kina LISSU?????..wasiooona umuhimu wa WAFUASI wao???....Hakuna kitu kinachoniuma JUU YA MATAMKO YALIYOKUWA YAKIOTOLEWA NA MBOWE NA LISSU juu ya BEN SAANANE afu mpaka leo hii wapo kimya hakuna mrejesho wowote ambao wameutoa kwenye JAMII ila muda wa kucheka na WEMA wanao na kumtafutia mabodigadi.......NA NYIE MNAENDELEA KUWACHEKEA...mkae mnajua hawa ndio wanaoturudisha nyuma kimaendeleo....maana TUKIWA NA UPINZANI UNAOSIMAMIA KILE WANACHOKITAMKA ADHARANI leo nchi yetu angekuwa inapiga hatua kwa kasi moja ya ajabu sana.......
WANA MATUMIZI MABAYA YA RUZUKU kwa kujitengenezea kesi za kila kukicha mahakani mwisho wa siku mtengneza kesi mahakamni kupitia wakili wa CHAMA anapewa 10%.....
CHAMA KINASHINDWA HATA KUWA NA OFISI INAYOELEWEKA....still mnatak tuyape eti nchi yatawale.....NI UPUUZI kulipigania hili
Wewe umezidisha unafiki

Kumpa Ile Nafasi polepole ni sana na kumbebesha kuku debe la mahindi.

Kama CCM ilikwepa Mpasuko 2015 haitopasuka 2020 Ila Mabingwa wa Njozi wanaruhusiwa kuendelea kuota!

Tatizo lenu mnajitahidi sana kupandikiza Mgogoro Ila mnasahau kuwa Proaganda ni Taaluma inayosomwa Darasani na Nyie na Darasa ni Kama Chai na Kungu!
Wana propaganda uchwara

Yanaenda kombo wapi acheni kulia kulia tujifunge mkanda ..fanya kazi rizika na unachopata muda wa kupiga dili uliiisha..miaka 8 ni mingi imebaki jpm atuongoze tuache kujichosha kwa kulialia
Duuuh kumbe watu wa dizaini hii bado wapo.?mmmh kwel kenge n kenge hawez kuwa mamba[/QUOTE]
Si kila unachokita we wote tunakita na usijumuishe mawazo ya wengi katika ubongo wako finyu

Hv nmejiuliza leo, pia nkajiulza nassari na mdee vipi hawaonekan kweny ishu hizi

kwani polepole ndonani? Harakaharaka ni nani kwaiyo. Tusaidiane maana wengine hatufatiliagi watu wa hivihivi!

Back
Top Bottom