Mgawanyiko Na Mtifuano Uliomo Ndani Ya Ccm Kwa Sasa Unamuweka Njiapanda Ndg H Polepole. Anajikuta Mpweke Ndani Ya Ccm.
Ccm Kwa Sasa Iko Vipande 3: Ccm Maslahi, Ccm Asilia Na Ccm Mpya (magufuli).
Ccm Asilia Hawamtaki Polepole Kwa Msimamo Wake Aliyo Utoa Hadharani Kuamini Ktk Muungano Wa Serikali 3.
Ccm Maslahi Ni Wengi Sana Hawa. Ni Wale Waliokuwa Ktk Kambi Za Wagombea Urais Ndani Ya Ccm Mwaka 2015. Hawa Wanamuona H Polepole Kuwa Si Msemaji Wao, Bali Ni Msemaji Wa Magufuli. Lkn Pia Zoezi Linaloendelea Ndani Ya Ccm La Kuwafutia Uanachama Wanaccm Maslahi (wasaliti) Haliwapi Raha Kabisa.
Anapo Ibuka Kuisemea Ccm, H. Polepole Anaangaliwa Kama Asiyejua Anachokisema. Ndiyo Maana Kaamua Kuufunga Mdomo Na Kuwa Mtazamaji Tu.
Si Mnakumbuka Mange Alipochoma Kadi Yake Polepole Alitoa Kauli. Kwenye Sakata La Ngada Umemsikia? Kwenye Sakata La Msukuma, Bunge Na Wema Umemsikia?