CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

Lowassa ni mwanasiasa mbobezi; uamuzi wa kuhama CCM ulikuwa wa ghafla sana lakini makini mno. Sioni sababu ya yeye kurudi CCM; arudi ili kupata mafanikio yapi? hata kama akiamua kustaafu active politics atabakia upinzani kwani wapinzani bado watachoka hekima zake. Lowassa ni nguli wa siasa za Tanzania kama huamini muulize JK atakueleza.
 
Fanyeni kitu kimoja tuamin

1.tunaomba barua ya mzee kutaka kurudi CCM

2. Pia tupini barua yenu ya kumkatalia


Oooooh nilisahau kumbe ni gazeti la uhuru ndo limeandika bora nichukue daftari la mtoto wa chekechea nisome kuliko hilo gazeti
Siasa ni propaganda, watasema aliomba kwa mazungumzo mdomoni kupitia wana CCM tofautitofauti.
 
"nimeamua kurudi upinzani kutubu, ili nisije nikafa nikiwa ccm nikaenda motoni' (By; hayati H.Tambwe) RIP Komredi
 
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.

Hivi hili gazeti bado lipo kweli.!? Cz siku hizi hata kwenye kufungia vitumbua au chapati sijaliona muda mrefu sana.
 
Kaomba radhi wapi na lini?

Issue bado ipo pale pale tubuni


Nimemsikia Askofu Kakobe, kweli ni aibu na fedheha kwa namna Ofisi Kuu ilivyo 'handle' suala lake.
Kama aliandika barua binafsi kwa Mh Rais, nadhani kama ilikuwa ni nia ya Mh Rais kumjibu basi angalau angemjibu kwa kutumia taratibu na vyombo vilivyoko. Lakini kwamba TRA ndio waliotoa taarifa ile kuhusu hiyo barua binafsi (kasema ya kichungaji) aliyoandikiwa basi ni breach of confidentiality of the highest order. It is worse than pathetic-ism.

Na hilo la kutubu kwa nini Mh Rais analikwepa? Hivi mbona sioni shida nikiambiwa nimekosea (na kuelezwa kosa langu)? Ina maana yeye kwa kuwa tu Rais basi ndio kawa mungu? kwamba hakosei. Hapana ni vizuri akikumbushwa kuwa yeye bado ni mwanadamu 100%, tena kwa nafasi yake ya sasa madhaifu yake yanaoneka kwa ukubwa zaidi kuliko kabla ya kuwa Rais. Awe mnyenyekevu, atubu na kuomba hekima maana hicho cheo kimeshamshinda.
 
Kuna tofauti ya kipeperushi na gazeti.
Poleni sana.
 
Back
Top Bottom