kijanamdogo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 231
- 177
Polepole acha utoto
Kati ya Lowassa na Mtulia nani angeipa CCM kiki?!!.......nyakati nyingine tujitahidi kuwa wakweli!Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Mpelembwe tena?.... Umenikumbusha yule mzee Mpelembwe alikuwa DC!Amuombe radhi kwa kosa gani sasa? Kwani kuna wakati alikosea? Kumwambia muamini akatubu ni kosa? Mbona kila siku anapiga magoti mazabahun? Pale huwa anafanya nn au anakuwa kwa angela kairuki madale.we jamaa wa hovyo sana. Yawezekana upo kama shaka.s.shaka aliyeolewa na uvccm mwenziwe huko tanga anaitwa salum mpelembwe
Mzee baba, hao wanao wataleta kipindupindu nyumbani kufungia chakula kwa kutumia makaratasi yanayopitia mazingira mbalimbali hatarishi.hilo gazeti wanangu wanafungia chapati
Hilo gazeti la kufungia vitumbua mamvii hata kesho akiamua kurudi wanampokea ccm yoteHabari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Ni hii ccm inayonunua madiwani au unaongelea IPI mkuu?Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
hmnaa mbna kasemaa kakataaa kwa Herufi kubwaaa kuwa hawez omba msamaaa kwa mtu yyte maana aliyozungumza yantoka kwa mungu, kasem kuomba msamaha nikulikna litokalo kwa mngu.....kasemaa alituma waraka wakichungaji kamwambia kma ulivotaka kuombewa basi wakati wakukuombea ndio ujumbe alopewa nmungu kuwa ukatubu ka nukuu kutoka kitabu cha timotheo.......kijana hukuskiliza vzuri mahubiri nini yy kashangaa iweje TRA waseme uongo na imekuaje TRA niwazngumzaji wa ikulu. ... nanukuu"narudiaa tena kwa Herufi kubwa siombi msamhaa kwa mtu nasitokaa kuomba msamaa kwa mtu, hahaha sijafikia hapo nitaliubiri neno kama lilivo siwez acha kuhubiri ukweli kwakigezo eti cha kukaguliwa kodi"...Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Chadema never trust Lowassa yupo kwenye special mission hapo Chadema hii ya CCM kumkataa ni movie
Amuombe radhi kwa kosa gani sasa? Kwani kuna wakati alikosea? Kumwambia muamini akatubu ni kosa? Mbona kila siku anapiga magoti mazabahun? Pale huwa anafanya nn au anakuwa kwa angela kairuki madale.we jamaa wa hovyo sana. Yawezekana upo kama shaka.s.shaka aliyeolewa na uvccm mwenziwe huko tanga anaitwa salum mpelembwe
Lowassa ni mguu mmoja CCM mguu mwingine Chadema.Hakuna special Mission za Kijinga hivi, Kama ni special mission iweje CCM waseme ameomba kurudi wakakataa? sasa hapa si special mission imekufa.
Bora ungesema haya siku zile Lowasa anasema aliombwa na Magufuli arudi akakataa hapo ningekuelewa.
Akili yako unaijua mwenyewe. Labda aliomba msamaha chumbani kwako. Tuliosikia alichosema Kakobe ni kuwa hajawahi kuomba msamaha. Ameongeza kusema kuwa ni vema afe kabla ya kuomba msamaha.Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Lakini taarifa tulizo nazo sisi kama taifa ni kuwa Mwenyekiti wetu na Ikulu vilimtaka arejee.Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.