MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Hata aibu huna kweli umasikini ni pepo baya sana. Mtu aliye tajiri wa fikra hawezi kushawishika kwa ujinga wa sampuli hii ya Pole pole. Kweli ccm imebakwa.
Kwa taarifa nyeti kama huna habari ni kwamba Polepole anafikiriwa eti naye anaweza kuwa miongoni mwa watu watakaomrithi Magufuli mwaka 2025. Kikwazo chake anadaiwa ni waziri mkuu Majaliwa.Hata aibu huna kweli umasikini ni pepo baya sana. Mtu aliye tajiri wa fikra hawezi kushawishika kwa ujinga wa sampuli hii ya Pole pole. Kweli ccm imebakwa.
Siwezi kukubishia maana kwa ccm hilo linawezekana. Kama waliweza kumchagua waziri wa elimu ambaye hajui hata alizaliwa wapi na wazazi wepi yule jamaa mwenye shule nyanda za juu kusini. Watashindwaje kwa hilo. Yawezekana.Kwa taarifa nyeti kama huna habari ni kwamba Polepole anafikiriwa eti naye anaweza kuwa miongoni mwa watu watakaomrithi Magufuli mwaka 2025. Kikwazo chake anadaiwa ni waziri mkuu Majaliwa.
Sio ushilawadu ni ushuziiiHumphrey Polepole waweke hadharani barua ya maombi ya LOWASSA kujiunga Na CCM, Kinyume Na hapo ni u shilawadu
Usinipangie cha kuandika, ngedere.Kakobe asitawale Uzi huu.Anzisheni Uzi wake.
Mwambieni aweke hadharani copy ya Barua aliyopeleka IkuluMkuu kumbe mwenzetu una mlango wako wa fahamu unaotumia kusikilizia tofauti na sisi wenzako tunaotumia masikio. Mimi kwa clip ile ya Askofu nimemsikia akisema hivi "maneno niliyoyatoa kwenye mahubiri tarehe 25 december yatabaki hivyo hivyo mpaka nakufa, sitakaa kuomba msamaha kwa hilo mpaka nakufa, na nife sijafikia huko kuomba msamaha". Sasa mwenzetu huo msamaha kaiombea wapi?
Barua ya kakobe uliiona? Taja kumbu namba yake
Ni mpumbavu pekee ataamini ujinga kama huoSiasa ni propaganda, watasema aliomba kwa mazungumzo mdomoni kupitia wana CCM tofautitofauti.
UHaro Upuuzi Rushwa, Ujambazi (Uhuru)MTU mwenyewe chakubanga na kigazeti cha Uharo, upuuzi mtupu.
Mimi ndiyo mwanzisha Uzi huu!!Usinipangie cha kuandika, ngedere.
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Umenizindua!! Ina maana kwa hali ilivyo sahivi huko lazima wampokee kila mtu.Boss Freed Freed Kiswahili haujui kwani ??? !!! "Tulikataa kumpokea Mzee wa Monduli". Kuna tofauti kubwa kati ya Tulikataa na Tumekataa. Wanaweza kuruka maneno hayo. Tulikataa ni wakati uliopita, Tumekataa ni wakati wa sasa. Kiswahili ni kigumu.
Hao mafisadi wenyewe hawakamatwi wala mahakama yao kuundwa kama tulivyoahidiwa.Kumbe ndo maana maandamano ya kumpinga raisi kila kukicha ...kutaifisha mali za afisadi wa vyama vya ushirika ni lazima wanune, lakini mh. hatakiwi kumtizama mtu usoni kama ilivyo ukitaka kumchinja kobe sharti usimtizame usoni