CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

Ni hatari saana kuzima moto kwa kutumia petrol.

Siamini kwamba kila mtu anajuwa kila kitu.....aliyesema kuhusu Lowassa kurejea CCM ajaribu kuchaguwa ya kusema....

Niwahamasishe ndugu zangu tujikite katika kujenga uchumi wetu na kuomba Amani na Utulivu
 
Ni hatari saana kuzima moto kwa kutumia petrol.
Siamini kwamba kila mtu anajuwa kila kitu.....aliyesema kuhusu Lowassa kurejea CCM ajaribu kuchaguwa ya kusema....
Niwahamasishe ndugu zangu tujikite katika kujenga uchumi wetu na kuomba Amani na Utulivu

Kwa hiyo Lowassa akikataliwa kurudi CCM ndio amani na utulivu unavurugika?, msilazimishe alitoka kwa hiyari yake Kwanini mlazimishe ombi lake likubaliwe?
 
Hilo gazeti kwani bado lipo? huwa linauzwa wapi? mbona sijawahi kuliona ktk mbao za magazeti zaidi ya miaka 20? Au huenda lipo lkn mahsusi kwa kufungia maandazi.
 
Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo

Mkuu kumbe mwenzetu una mlango wako wa fahamu unaotumia kusikilizia tofauti na sisi wenzako tunaotumia masikio. Mimi kwa clip ile ya Askofu nimemsikia akisema hivi "maneno niliyoyatoa kwenye mahubiri tarehe 25 december yatabaki hivyo hivyo mpaka nakufa, sitakaa kuomba msamaha kwa hilo mpaka nakufa, na nife sijafikia huko kuomba msamaha". Sasa mwenzetu huo msamaha kaiombea wapi?
 
Hivi ni kwanini polepole hupenda kufunika hoja moto kwa vitu rahisi? Kapasuliwa vipande jana yeye na ccm yake kuhusu hukumu ya Sugu jinsi walivyomshonikiza hakimu ambaye hakutakiwa kufanya kazi zaidi ya kukabidhi ofisi ili akaanze likizo ya kustaafu!
Mbona mwepesi sana kwenye kupropagte na hija na vioja visivyo na ushahidi? Mwenye kujua huyu jamaa ni kabila gani aniwekee hapa japo natambua kuwakera wenyeji wa huko atokako ambao wapo vema!
 
Wanataka tuwaone makodivywaa,na huyu polepole ipo siku atasema kauli ya mwisho ya Kingunge kabla hajakata roho ni "NAKUPENDA CCM''
 
Hivyo ndivyo asemavyo Polepole. Nijuavyo mimi (na habari hizi ni za uhakika), alipewa bilioni 7 arudi CCM. Yeye akasema kama wanataka arudi wampe billioni 300 na si senti moja chini ya hapo. Biashara ikaota mbawa!
Kwa sifa za ccm wala wasingemkataa tena wangeweka na press kabisa
 
Back
Top Bottom