mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
siku lowassa akirejea ccm wana ccm na serikali wataandaa sherehe ya kitaifa kwa ajili ya mapokezi,
MTU mwenyewe chakubanga na kigazeti cha Uharo, upuuzi mtupu.
Kumbe source ni hili gazeti la kuuzia Vitumbua linalouza nakala 10 nchi nzima??Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Shit holeHabari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
ukitaka kupata kichekesho hiki...mkuu una roho ngumu sana,husikii kichefuchefu ukila hizo chapati?hilo gazeti wanangu wanafungia chapati
Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Alikuwa Mpembenue sio MpelembweMpelembwe tena?.... Umenikumbusha yule mzee Mpelembwe alikuwa DC!