Rudi umsikilize tena Kakobe ukiwa umeshiba!Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Rudi umsikilize tena Kakobe ukiwa umeshiba!Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Wewe ccm gani hujui mahusiano ya shaka na mpelembwe. Muulize mwenyekit wako mpelembwe alikatwa jina kwa sababu gani?Mpelembwe tena?.... Umenikumbusha yule mzee Mpelembwe alikuwa DC!
Ni ukoo huu huu uliosema Kakobe alimuomba Sizonje msamaha, Kakobe akakanusha... Wana PhD ya uongo huu ukoo...Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Umedanganywa kizembe sana !Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Umedanganywa kizembe sana !
Ni ukoo huu huu uliosema Kakobe alimuomba Sizonje msamaha, Kakobe akakanusha... Wana PhD ya uongo huu ukoo...
Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Tusubiri tuone mwisho wakeChadema never trust Lowassa yupo kwenye special mission hapo Chadema hii ya CCM kumkataa ni movie
naona hujamuelewaNi CCM ndiyo wamesema, soma habari vizuri.
Alafu ndiyo mweneziSiasa za polepole ni za kitoto mno
Its simple... Kashakanusha hadharani kuwa hakuomba radhi, so evidence ya barua aliyoandika iwekwe, vinginevyo hiyo ni propaganda kama nyingine...Ila Kakobe kakiri aliandika Barua ya Siri Ikulu ambayo anasema Hata Viongozi wenzie wa Kanisa hawajui Sasa Mtu mzima jiongeze Barua gani hiyo ya Siri ambayo Hata wenzie hakuwaambia mpaka TRA walipofichua?
Akili za kuambiwa changanya na za kuazima Kama za kwako ni chache
Hivyo ndivyo asemavyo Polepole. Nijuavyo mimi (na habari hizi ni za uhakika), alipewa bilioni 7 arudi CCM. Yeye akasema kama wanataka arudi wampe billioni 300 na si senti moja chini ya hapo. Biashara ikaota mbawa!
Wanataka tuwaone makodivywaa,na huyu polepole ipo siku atasema kauli ya mwisho ya Kingunge kabla hajakata roho ni "NAKUPENDA CCM''
