CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

Hapo mwanzo tulisikia kwamba magu alimtaka lowassa kurudi sisiem leo twakisikia lowasa akataliwa ccm
 
Gazeti la Uhuru sijawahi kuliweka kwenye list ya vyanzo vya habari vya kuaminika

Gazeti la Uhuru ni sehemu ya vyanzo vya habari vya udaku
 
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Polepole awache brabra anafikiri anawadanganya vijana wake wa lumumba?
 
Mwenyekiti wa CCM taifa ambaye Ni mwenye Chama ameshamsifia Ni nani huyo mwenye ubavu WA kukataa ombi la mzee wa Monduli kurudi CCM? Kama siyo uwongo wa akina Polepole Na kundi lake baada ya kuona hawawezi wa kafika bei kwa mzee wa Monduli?.
 
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
IMG-20150622-WA0009.jpg

si majuzi tu alisema kuwa amekataa ombi la magufuli pale alipoitwa ikulu kuombwa arudi ccm? kwanza huyu ndo wanamtaka kwa hamu kwa akili zao ndo upinzani utakufa .........pole pole hana ishu sura na akili zake zipo sambaba.............. watanzania akili zetu zipo mikiani ...

usiniulize mkia upi tutagombana
 
Akili yako unaijua mwenyewe. Labda aliomba msamaha chumbani kwako. Tuliosikia alichosema Kakobe ni kuwa hajawahi kuomba msamaha. Ameongeza kusema kuwa ni vema afe kabla ya kuomba msamaha.

Mbona hakusema wala hakuwaambia Viongozi wenzake kuwa kaandika Barua ya Siri Ikulu?, waraka wa Kichungaji huwa ni Siri?, bila ya TRA kufichua mngejua Kama kaandika Barua Ikulu?

Aweke hadharani copy ya Barua alioandika Ikulu
 
Tangu nlipoufikia utu uzima..hakuna nikichukiacho kama uongo.
Aisee sipendi kabisa kudanganywa!!!
 
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Maajabu hayaishi,CCM wanakubali kuwapokea madiwani ambao hata kwenye ramani ya Tanzania hawajulikani eti wanamkataa mtu aliye watoa makamasi kwenye uchaguzi.
 
Oil Chafu inakie huko huko....Halafu imeshachuja ile mbaya
 
Back
Top Bottom