Ipi dot com
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 306
- 166
Kama mbunge angekuwa makini japo kidogo tu, au makazi yake yangekuwa jimboni kwake huenda tungeona tofauti kidogo
Mfano alipoarikwa kwenye mkutano wa hadhara pale moshi bar wiki moja kabla alipitisha greda sehemu ndogo tu..
Maeneo ya bombambili alikataa katakata kupitisha greda kwa kuita ni wanafiki(nina ushahidi)
Katika visima vitano bombambili hakijachimbwa japo riport inaonyesha kimechimbwa badala yake kachimbiwa mtu binafsi kwa sh mil 2 jirani na sekondari ya kivule(kutofuatilia)
Toka aingie huyu mbunge mpk anatoka matatizo yataongezeka sana.