Alitoka CCM sasa hivi yupo Vinega lile kundi la kutukana la Sugu, anauwezo mkubwa tu elimu yake sawa na mwenyekiti wa taifa ila yeye matokeo yake yamemzidi kidogo mwenyekiti maana ana division iv point 31
Ungeanza kwa kuachana na tabia za kutumiwa kwanza ndio ushughulikie maadili.
Ni Ukweli mchungu sana kwa sisi wanaCCM hapa Dar.
Iwe isiwe 2015 majimbo ya Ukonga na Segerea tutayapoteza kwa aibu kubwa sana. Mpaka sasa sioni wapi pakutokea kwa CCM.
Hahahahahaaaaaa umeenda nje ya mada mkuu Nduka
Matokeo ya sogy pale jiteute kumbe unayajua?
Sasa swala la mwenyekiti amekujaje hapa.
Ni Ukweli mchungu sana kwa sisi wanaCCM hapa Dar.
Iwe isiwe 2015 majimbo ya Ukonga na Segerea tutayapoteza kwa aibu kubwa sana. Mpaka sasa sioni wapi pakutokea kwa CCM.
Nina bahati mbaya sana naishi jimbo la Segerea familia jimbo la ukonga
hii ni kweli kabisa mkuu,sasa kuna diwani mwingine wa jimbo hilo kata ya kipawa yaani nivichekesho tangia apate udiwani nadhani aliamia kijijini kwao anatokea kwenye kata yake kuchukua posho za vikao
Jimbo la Ukonga ni kati ya majimbo ambayo CCM ina hali ngumu sana na hii ni kutokana na maendeleo duni katika jimbo hilo. Mbunge wa Jimbo hilo Eugene Mwaiposa ni kati ya wabunge ambao hawaongei chochote cha kupigania Jimbo lake. Ni mbunge ambaye ameshindwa kufanya mkutano wowote wa hadhara Jimboni kwake kwa aibu ya kuzomewa na kushindwa kujibu kero za wananchi.
Jimbo la Ukonga barabara zake asilimia 90% ni mbovu na hazipitiki kabisa kipindi cha mvua.Kutokana na ubovu wa barabara hizo kipindi cha mvua wananchi wanatozwa mpaka shilingi 1000/- kutoka kituo kimoja hadi kingine. Hali hiyo imekuwa ni kicheko na mbeleko kubwa kwa chama cha CHADEMA. Kwa sasa CHADEMA ndio inashikilia siasa za Ukonga na wamekuwa wakifanya mikutano mfululizo kwenye matawi na Kata. Kunawiri kwa CHADEMA Jimboni Ukonga kunachangiwa pia na viongozi wa chama hicho ngazi ya Jimbo kushirikiana kwa pamoja kuimarisha chama kwa kufanya kazi bila kuchoka.
CHADEMA wamekuwa wakiwaeleza wazi wananchi kwamba mateso yao yanatokana na kuichagua CCM kwenye uchaguzi uliopita. CHADEMA imekuwa ikiwapa mfano wa majimbo ya Ubungo na Kawe yanayoshikiliwa na CHADEMA jinsi wabunge wake wanavyopiga kelele na jinsi kulivyo na maendeleo makubwa katika majimbo yao. Ni ukweli ulio wazi kwa hali ya CCM jimboni Ukonga ni ya kusikitisha sana.Matawi mengi yanafungwa na kugeuzwa kuwa ngome za CHADEMA.
Na endapo hali ikiendelea hivi hivi ni wazi CHADEMA itapata ushindi mkubwa kwenye jimbo hili uchaguzi ujao na idadi kubwa ya madiwani. Wanachpaswa CHADEMA tu ni kuteua wanachama wanaokubalika kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani.
Hii ni Tathmini yangu binafsi baada ya kuzunguka kata zote za Ukonga kwa ziara binafsi kwa kipindi cha wiki mbili.
N ukonga ipi unayoiongelea ww,acha kuropoka vtu usivovijua ww,,,,,,ukonga ipo shwari kabsa na sisi ndo wakaz wa ukonga na ndo wapiga kura sasa ww fanya ziara njaa yako uwaongopee vichaa mbuz wenzako,,,mAma bdo anaushawish mkubwa jimbon kwake,kupiga kelele jukwaan sio utendaji kaz huo,hatuchagui mtu anaelezea mapungufu,tunataka mtu anaelezea strategz atakazozitumia kuleta chachu ya maendeleo jimboni.

Unaishi ukonga kata gani ndugu! Ukonga ndilo jimbo la mwisho kabisa kimaendeleo kaw jiji la Dar, ndilo jimbo ambalo barabara zake kwa 90% hazina ubora, si lami si kifusi, tazama wakazi wa kitunda wataabikavyo kurudi majumbani mara mvua zinyeshapo, wakazi wa Moshi bar vilevile wanavyovunjika viuno wakiwa ndani ya magari, ishu maji sizungumzii kabisa maana kwa kijana wa miaka 18 sasa hivi nadhani hajawahi kukutana na maji ya Dawasco jimbo hili tangu azaliwe!
Kifupi Eugene amepoteza jimbo na ndio maana anaona haya hata kukutana na wapiga kura wake!
Acha longolongo wewe. Mama mwaiposa ana strategy gani zaidi ya kuwaandalia mabonanza wanaccm ili baadae mkale mitori na supu za makongoro!? Anaogopa nini kuitisha mikutano ya hadhara ili awasikilize wananchi?
Mwaka jana daraja la mongolandege lilivunjika lakini ni sisi tuliosimamia na kuwasiliana na mhandisi wa manispaa ya Ilala hadi likajengwa. Mbunge hakuonekana hata mara moja kuja kusaidiana na wapiga kura wake kujinasua na kukosa kivuko.
utawajua watu wanaofikiri kwa matege.. Hivi Utalifananisha jimbo la ubungo na lolote hapa Tanzania?, usifananishe Mlima na kichuguu sisi tunaokaa ubungo tunamwelea sana Mh Mnyika kuliko wewe uliokaa jimbo la Pinda mimi nasema wapigwe tuJimbo la Mhe. Mnyika likoje
utawajua watu wanaofikiri kwa matege.. Hivi Utalifananisha jimbo la ubungo na lolote hapa Tanzania?, usifananishe Mlima na kichuguu sisi tunaokaa ubungo tunamwelea sana Mh Mnyika kuliko wewe uliokaa jimbo la Pinda mimi nasema wapigwe tu
Unaishi ukonga kata gani ndugu! Ukonga ndilo jimbo la mwisho kabisa kimaendeleo kaw jiji la Dar, ndilo jimbo ambalo barabara zake kwa 90% hazina ubora, si lami si kifusi, tazama wakazi wa kitunda wataabikavyo kurudi majumbani mara mvua zinyeshapo, wakazi wa Moshi bar vilevile wanavyovunjika viuno wakiwa ndani ya magari, ishu maji sizungumzii kabisa maana kwa kijana wa miaka 18 sasa hivi nadhani hajawahi kukutana na maji ya Dawasco jimbo hili tangu azaliwe!
Kifupi Eugene amepoteza jimbo na ndio maana anaona haya hata kukutana na wapiga kura wake!
Mkuu umempa jibu mwafaka kabisa.