CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

Dina umemaliza kila kitu.Huenda alimtembeza Jimbo la Ubungo akadanganywa ni Ukonga.

Kitasa ww bet always upo nayo ndo maana wasema non sense,mie nmekaa ubungo miaka zaid ya 20,shida tupu maji hakuna,barabara mbovu,viz ndo usiseme,,,,njoo ukonga,hakuna shida ya maji kabsa n kuchagua wataka dawasco au maji ya kisima ts yo optn,barabara zpo poa compared to za ubungo uliokuwa populated muda mrefu kulko Ukonga sasa unasema kip labda?au mnadhan kwenda bungen na kushabikia chama chako ndo kuwa bora kiuchapakaz?~=±“{«£¥.
 
Last edited by a moderator:
Kitasa ww bet always upo nayo ndo maana wasema non sense,mie nmekaa ubungo miaka zaid ya 20,shida tupu maji hakuna,barabara mbovu,viz ndo usiseme,,,,njoo ukonga,hakuna shida ya maji kabsa n kuchagua wataka dawasco au maji ya kisima ts yo optn,barabara zpo poa compared to za ubungo uliokuwa populated muda mrefu kulko Ukonga sasa unasema kip labda?au mnadhan kwenda bungen na kushabikia chama chako ndo kuwa bora kiuchapakaz?~=±"{«£¥.
umemweleza! Huku Sinza, Ubungo na hata Kimara hakuna maji kabisa, wao wameng'ang'ania jimbo jipya la Ukonga.
 
Jimbo la Ukonga ni kati ya majimbo ambayo CCM ina hali ngumu sana na hii ni kutokana na maendeleo duni katika jimbo hilo. Mbunge wa Jimbo hilo Eugene Mwaiposa ni kati ya wabunge ambao hawaongei chochote cha kupigania Jimbo lake. Ni mbunge ambaye ameshindwa kufanya mkutano wowote wa hadhara Jimboni kwake kwa aibu ya kuzomewa na kushindwa kujibu kero za wananchi.

Jimbo la Ukonga barabara zake asilimia 90% ni mbovu na hazipitiki kabisa kipindi cha mvua.Kutokana na ubovu wa barabara hizo kipindi cha mvua wananchi wanatozwa mpaka shilingi 1000/- kutoka kituo kimoja hadi kingine. Hali hiyo imekuwa ni kicheko na mbeleko kubwa kwa chama cha CHADEMA. Kwa sasa CHADEMA ndio inashikilia siasa za Ukonga na wamekuwa wakifanya mikutano mfululizo kwenye matawi na Kata. Kunawiri kwa CHADEMA Jimboni Ukonga kunachangiwa pia na viongozi wa chama hicho ngazi ya Jimbo kushirikiana kwa pamoja kuimarisha chama kwa kufanya kazi bila kuchoka.

CHADEMA wamekuwa wakiwaeleza wazi wananchi kwamba mateso yao yanatokana na kuichagua CCM kwenye uchaguzi uliopita. CHADEMA imekuwa ikiwapa mfano wa majimbo ya Ubungo na Kawe yanayoshikiliwa na CHADEMA jinsi wabunge wake wanavyopiga kelele na jinsi kulivyo na maendeleo makubwa katika majimbo yao. Ni ukweli ulio wazi kwa hali ya CCM jimboni Ukonga ni ya kusikitisha sana.Matawi mengi yanafungwa na kugeuzwa kuwa ngome za CHADEMA.

Na endapo hali ikiendelea hivi hivi ni wazi CHADEMA itapata ushindi mkubwa kwenye jimbo hili uchaguzi ujao na idadi kubwa ya madiwani. Wanachpaswa CHADEMA tu ni kuteua wanachama wanaokubalika kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani.

Hii ni Tathmini yangu binafsi baada ya kuzunguka kata zote za Ukonga kwa ziara binafsi kwa kipindi cha wiki mbili.
Hapo umesema uongo na ukweli. Uongo ni viongozi wa chadema kufanya kazi jimboni kwa karibu na wananchi. Kazi hizo wanazifanya usiku wananchi wasishuhudie au umeamua kudanyanya wananchi. Acha uongo wako. Kumbuka uongo ni dhambi. Ukweli uliousema ni kuhusu ubovu wa baadhi ya barabara lakini is zote. idd njema.
 
Utter Nonsense

naona ndio umejifunza kuitumia hiyo comment, unahangaika nayo kweli aisee...

Focus... focus... and focus, mengine tuachie ma typist wa JF

Maana hizi masks za social media zinatupa sana confidence ya kuachia mashuzi ya kila aina humu

You should know your enemy first before shouting about the colors and tools

SIntoshangaa CCM kuendelea kutawala milele iwapo upinzani Ukonga utategemea squirrels kama wewe
 
Ukweli sasa ni upi?

Kwamba Ukonga wanaishi maisha ya peponi?

Kwamba Ukonga barabara zake ni nzuri sana kipindi cha mvua?

Kwamba CCM inapendwa sana Ukonga kutokana na kazi nzuri sana inayofanywa na Mbunge Eugene Mwaiposa?
 
Pigeni chini hao CCM, asilimia zaidi ya 80 ya Wakazi kipunguni wanaweza uongozi. Hebu cheki nao
 
naona ndio umejifunza kuitumia hiyo comment, unahangaika nayo kweli aisee...

Focus... focus... and focus, mengine tuachie ma typist wa JF

Maana hizi masks za social media zinatupa sana confidence ya kuachia mashuzi ya kila aina humu

You should know your enemy first before shouting about the colors and tools

SIntoshangaa CCM kuendelea kutawala milele iwapo upinzani Ukonga utategemea squirrels kama wewe

Utter Nonsense!
 
Pigeni chini hao CCM, asilimia zaidi ya 80 ya Wakazi kipunguni wanaweza uongozi. Hebu cheki nao

Ushauri mzuri sana utafanyiwa kazi na wahusika...

Kipunguni ndiyo kuna balaa hili la barabara mbovu sana ya kutoka Mombasa hadi Kwa Mkolemba kwenda Kwa Diwani hadi Bombambili.
 
Utter Nonsense!

hahahaaaa, endelea kuidilute hoja yako hapa na itapotezewa hivihivi kwa kukosa mashiko

i cn promise you that, you dont know what you are doing, wala hujui unachozungumza
 
Kuna vijana wamenunuliwa na CCM haumu wanapata posho kwa kuzorotesha juhidi za CDM, ila hawataweza katu.
Kanda ya ziwa CCM ishakufa, tushawtokomeza kabisa na wao wanatambua hilo.
Muda na saa ya CCM kufa umefika, hata iweje hawawezi kupingana na wakati. Kuongozwa na mijitu inayong'ang'ania madarakani toka miaka ya 1960 ujue kuna tatizo kubwa. Utadhani hakuna generation!!!!!!!!!!!. Greenwich
Peoplesssssssssssssss Power.
 
Mkuu wangu spencer Hakika Fahamu kwamba watu wa Ukonga wanaishi maisha ya shida kama wako Jehanam!

Kilio kikubwa cha wananchi wa Ukonga ni ubovu wa barabara.Haingii akilini mtu anaishi Dar lakini analipa nauli ya daladala shilingi 1000/- kutoka kituo kimoja hadi kingine.

Ni uchuro kuona mtu anasimama na kutetea upuuzi huo.Tusipowajibisha wawakilishi wetu tuliowachagua wenyewe kwa kushindwa kutimiza waliyoahidi hatutakuwa na wa kumlaumu!
 
Last edited by a moderator:
Jimbo la Ukonga ni kati
ya majimbo ambayo CCM ina hali ngumu sana na hii ni kutokana na
maendeleo duni katika jimbo hilo. Mbunge wa Jimbo hilo Eugene Mwaiposa
ni kati ya wabunge ambao hawaongei chochote cha kupigania Jimbo lake. Ni
mbunge ambaye ameshindwa kufanya mkutano wowote wa hadhara Jimboni
kwake kwa aibu ya kuzomewa na kushindwa kujibu kero za wananchi.

Jimbo la Ukonga barabara zake asilimia 90% ni mbovu na hazipitiki kabisa
kipindi cha mvua.Kutokana na ubovu wa barabara hizo kipindi cha mvua
wananchi wanatozwa mpaka shilingi 1000/- kutoka kituo kimoja hadi
kingine. Hali hiyo imekuwa ni kicheko na mbeleko kubwa kwa chama cha
CHADEMA. Kwa sasa CHADEMA ndio inashikilia siasa za Ukonga na wamekuwa
wakifanya mikutano mfululizo kwenye matawi na Kata. Kunawiri kwa CHADEMA
Jimboni Ukonga kunachangiwa pia na viongozi wa chama hicho ngazi ya
Jimbo kushirikiana kwa pamoja kuimarisha chama kwa kufanya kazi bila
kuchoka.

CHADEMA wamekuwa wakiwaeleza wazi wananchi kwamba mateso yao yanatokana
na kuichagua CCM kwenye uchaguzi uliopita. CHADEMA imekuwa ikiwapa mfano
wa majimbo ya Ubungo na Kawe yanayoshikiliwa na CHADEMA jinsi wabunge
wake wanavyopiga kelele na jinsi kulivyo na maendeleo makubwa katika
majimbo yao. Ni ukweli ulio wazi kwa hali ya CCM jimboni Ukonga ni ya
kusikitisha sana.Matawi mengi yanafungwa na kugeuzwa kuwa ngome za
CHADEMA.

Na endapo hali ikiendelea hivi hivi ni wazi CHADEMA itapata ushindi
mkubwa kwenye jimbo hili uchaguzi ujao na idadi kubwa ya madiwani.
Wanachpaswa CHADEMA tu ni kuteua wanachama wanaokubalika kugombea nafasi
za Ubunge na Udiwani.

Hii ni Tathmini yangu binafsi baada ya kuzunguka kata zote za Ukonga kwa
ziara binafsi kwa kipindi cha wiki mbili.
u

wewe ni kiplate
 
ni kawe gani na ubungo gani? mjomba kisheli?
 
N ukonga ipi unayoiongelea ww,acha kuropoka vtu usivovijua ww,,,,,,ukonga ipo shwari kabsa na sisi ndo wakaz wa ukonga na ndo wapiga kura sasa ww fanya ziara njaa yako uwaongopee vichaa mbuz wenzako,,,mAma bdo anaushawish mkubwa jimbon kwake,kupiga kelele jukwaan sio utendaji kaz huo,hatuchagui mtu anaelezea mapungufu,tunataka mtu anaelezea strategz atakazozitumia kuleta chachu ya maendeleo jimboni.

Acha hasira,mtoa mada yupo sahihi kabisa
Mimi naishi kivule kuna wakati tunatembea kwa miguu toka kitunda mpk kivule kwa kukosa usafiri kutokana ubovu wa barabara
MY TAKE CHADEMA ANZENI KUPASHA
 
Back
Top Bottom