CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

Tathimini nzuri baada ya nusu ya kipindi cha kwanza kwisha ni lazima chadema waanze kuwatambulisha wagombea wao mapema au walio na malengo ya kugombea huu ndo muda wa kufahamika kwa kuwa karibu na wananchi na kushirikiana nao
 
Hapana, mama yako ndio anateua.

Mama yangu hahusiki na uteuzi wowote.Ila wewe ndiye uliyetaja mgombea wa Chadema.

Nakuuliza tena wewe ndiye unayeteua mgombea wa Chadema? Swali rahisi sana hili hata ngumbaru anaweza kujibu.
 
Mama yangu hahusiki na uteuzi wowote.Ila wewe ndiye uliyetaja mgombea wa Chadema.

Nakuuliza tena wewe ndiye unayeteua mgombea wa Chadema? Swali rahisi sana hili hata ngumbaru anaweza kujibu.

Sisi wakazi wa Ukonga wanachama wa CDM, una swali jingine?
 
Tathimini nzuri baada ya nusu ya kipindi cha kwanza kwisha ni lazima chadema waanze kuwatambulisha wagombea wao mapema au walio na malengo ya kugombea huu ndo muda wa kufahamika kwa kuwa karibu na wananchi na kushirikiana nao

Ni wazo zuri sana.

Binafsi nadhani wale wote wenye nia ya kugombea Ubunge na udiwani kwa kata mbalimbali hapa Ukonga ni wajibu wao kuongeza nguvu katani na kwenye matawi kutoa elimu zaidi ya Uraia,kuimarisha M4C na kuingiza wanachama wapya zaidi na kuhakikisha kila penye balozi wa CCM wa nyumba kumi panakuwa na balozi/kamanda wa Chadema huku bendera ikipepea.

Hiyo ndiyo njia pekee ya kuizika kabisa CCM Ukonga.
 
Hapanaaaaa me sina chama chochote hapa Tz na nna kwambia chama cha demokrasia na maendeleo kikishka kiti cha urais mwaka 2015 ntafute.
 
Hapanaaaaa me sina chama chochote hapa Tz na nna kwambia chama cha demokrasia na maendeleo kikishka kiti cha urais mwaka 2015 ntafute.

Haujaeleweka mkuu.

Hapa tunazungumzia maendeleo ya Chadema Ukonga.Naona umechanganya madesa.
 
Natangaza nia jamani, mm ni mzalendo kabisa wa jimbo hili, ninaishi kata ya Msongola.
Nataka nije kuwaokoa watu wa Msongola,Moshi bar,kipunguni,Kitunda yote na jimbo letu kwa ujumla, pigia kampeni mm mwenye maono na jimbo hili.
Kumb: Ni mgombea binafsi katiba ikiruhusu,isiporuhusu Cdm juu!!
 
Umeshafanya jitihada gani katika kutoa elimu ya uraia Mkuu?
 
Mazingira mazuri kwa kamanda Anselim Tryphon Ngaiza aka Soggy Dog Anter aka bichwa kuchukua ubunge.

Huyu labda apewe udiwani kata ya kipawa, hana uwezo wa ubunge kabisa
Halafu huyu jamaa si alikuwa CCM au alitoka mi sina habari? maana ukiwa mtangazaji radio Uhuru mpaka uwe na kadi ya Magamba
 
Huyu labda apewe udiwani kata ya kipawa, hana uwezo wa ubunge kabisa
Halafu huyu jamaa si alikuwa CCM au alitoka mi sina habari? maana ukiwa mtangazaji radio Uhuru mpaka uwe na kadi ya Magamba

Alitoka CCM sasa hivi yupo Vinega lile kundi la kutukana la Sugu, anauwezo mkubwa tu elimu yake sawa na mwenyekiti wa taifa ila yeye matokeo yake yamemzidi kidogo mwenyekiti maana ana division iv point 31
 
GT my foot hili ni jukwaa la wafanyakazi wa kitengo cha upambanaji mtandaoni na hapa nakusaidia kufanya kazi yako shwain.

Huwa sina tabia ya kujibizana na wanaotukana matusi.Natambua tu ni ukosefu wa maadili.
 
Jerry anajiandaa kugombea Ukonga

Kwa jery akisimamishwa na CCM kugombea jimbo la ukonga wasitegemee kushinda, vijana wenzake hawampendi kabisa kwa tabia yake ya kuwachukuli wake zao, jamaa ni mgoni hatari
 
Kwa jery akisimamishwa na CCM kugombea jimbo la ukonga wasitegemee kushinda, vijana wenzake hawampendi kabisa kwa tabia yake ya kuwachukuli wake zao, jamaa ni mgoni hatari

Mkuu hebu fafanua kidogo maana nimesikia mwili kusisimka.
 
Sio Ukonga Pekee Hali Mbaya Kwa Wabunge Wengi Wa CCM mfano GEITA Mbunge Wake(MACDONALD MAX) wananchi walimwona kipindi cha uchaguzi 2010 baaaasi! hakuna cha swali wala hoja aliyowahi kuisema bungeni japo kati ya maeneo yenye matatizo makubwa tz geita inaongoza~hakuna maji, umeme kakikati ya mji kuna maeneo hayana umeme mfano nyankumbu, vijijini ndo usiseme, barabara ya lami ni moja inayopita moja kwa moja kutoka sengerema kwenda bk
GEITA NI MAJANGA TUPU...
 
Back
Top Bottom