Hawa ndio aina ya viongozi tulionao badala ya kuongea facts wanaleta mipasho, tuambie kwa nini Sioi atashinda sio hadithi za Bush na mechi za meru united,haya ya barca waachie mashabiki wa JF watatuambia. Hata kama CCM itashinda tell us how and why, kwa nini hamjifunzi uongozi mnakimbilia kuongoza? kweli i fell to understand the type of leadership we have in Tanzania they are not serious.Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

id yako yenyewe inatia kichefuchefu inaonyesha wazi unatumia Masaburi kufikiri,
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Oooooh Sweeety Baby, I love you oooooooo! Hear me oooooooooo! Kama ingekuwa ni wanachama tu ndio wanaochagua, basi J.K angeambulia kura 4,000,000 tu.Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
Mkuu mbona mikutano yenu inahudhuriwa na watu wachache sana nikilinganisha na mikutano ya Dr Slaa akimnadi Nassari? Mkuu niliangalia ITV jana yaani mkutano wa CCM ulikuwa na watu kama 100 hivi huku mkutano wa CDM ukiwa na watu kama 2000 hivi au zaidi.
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
Wewe jidanganye tu hilo gazeti huku meru leo linapatikana kila mahali ili kumwaga sumuNina imani kwamba over 80% ya voters wa arumeru mashariki hawana access na hilo gazeti wala JF...
There is a need for CDM kubadili tatics na kufanya sensa ya voters continuously ili kujua wanasimama wapi.... I would CDM to win, ila naogopa sana kama ujumbe unafika kwenye ile mihadhara, kwani baadhi ya wahudhuriaji hutoka mikoa au wilaya za jirani
unafaa kuwa Mrs MWINGULU MCHEMBA
Heri mimi mwanamke je wewe unayefaa kuwa Mrs CAMERON TYSON Wasira.
Ukileta hoja nitakujibu kwa hoja na tusi kwa tusi. hakuna asiyejua kutukana kama unaona matusi ndio njia bora ya wewe kuwa JF
Ndugu yangu Nchemba wewe umechangia sana CCM kufa. Kwa sasa chama chetu CCM kinaonekana mavi mbele ya wananchi na hapa Arumeru ndo tunaaibika zaidi. Jiandae kwa kashifa ya wizi wa mamilioni ulioufanya wewe na rafiki yako mnayejuana sana. Unajiona kuwa tegemeo sana kwa chama chetu kumbe ni mngese tu na huna unalotusaidia wana CCM. Hatutaki utufariji kwa unafiki na mipasho ilihali kila kitu tunakiona. Mmesababisha CDM kuaminika mno kwa kushindwa kwenu kuangalia matatizo ya wananchi zaidi ya umalaya wenu na kujipendekeza kwenu kwa viongozi wa juu. Mwambieni Rais ukweli kwamba tuna hali ngumu Arumeru na C kumfariji kwa uongo ili mzidi kuiba. Next week utakumbwa na kashifa.Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama