CCM yaendelea kukataliwa na wananchi IGUNGA

igunga waende zao huko juzi tu tulikuwa na uchaguzi wamepewa wali na kofia sasa hivi wanakataa nini? walinywe sasa
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

Daktari........one day you will swallow your own tongue.....for this statement
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

Uache unafiki na mkiendelea kuwa hivi mtazidi kufia kwenye vidonda kama inzi. Naheshimu udaktari wako lakini haujakusaidia kuiona nchi ya Tanzania kesho,unaishi kwa propaganda
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

hivi na wewe kumbe hueleweki,kama ccm ilitumia hela kununua kura sema,na kama dalali kama alivyodalalia madini yetu anakubalika?mbona mlitumia nguvu kubwa mpaka tindikali kulitetea jimbo lenu?

kama upo ccm endelea na unafiki kwa sababu ndiyo sera ya ccm kwa sasa ukiendelea kuwa vuguvugu jua kuna siku hiyo ccm itakurudisha burundi.
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

Dr. swali lako nimelipenda lakini uchambuzi hapo juu siuafiki. Hivi ni yupi kati ya vyama vya upinzani na CCM aliyetumia fedha nyingi katika uchaguzi wa Igunga iwe kuhonga au kutokuhonga? Mimi kwa hali ilivyokuwa Igunga mpaka watu wanauliwa baada ya kutekwa na gari ya Chama (tena CCM!!!!) sioni sababu ya kuita wananchi walimchagua huyu bwana. Uwezo wako wa kuongoza wanaharakati nauheshimu ila unachotetea hapa naona unaenda kiushabiki badala ya uhalisia au ndo unafiki wa wabunge wa CCM kukosoa hotuba za mawaziri mwanzo mwisho lakini anamalizia kwa kuunga mkono hoja mia kwa mia?
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

****** haubagui hata wenye shahada likuki hawaachi ******
 
Halafu jana usiku, Mlimani TV walirusha kipindi maalum cha Kijambo cha wiki, wakiwarusha wana Igunga wakilalamikia kutojengwa kwa daraja la mto Mbutu, kama walivyoahidiwa wakati wa kampeni, kwamba litakuwa limeshajengwa baada ya miezi mitatu tu. Walishakula pilau na Kumchagua Kafumu, na daraja hola!
Poleni Igunga
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

Udokta wa kupewa una matatizo kwelikweli. Ndio maana ukajificha magambaaaaaaaa!
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

hivi we mbona unawashwaga sana....rudi wodini katibu wagonjwa wa kipindupindu siasa huwezi unajichekeshachekesha tu hapa kama punga ...
 
Palalisote nisingeweza kuchukua picha,kwa kuhofia usalama wangu.Kumbuka Magamba wana hasira sana na vijana hapa Igunga,pia wanatutambua vyema kwa sura na itikadi zetu.Kwa upande wa pili kufika kwangu eneo lile ningeitwa msaliti,kwani vijana waliweka msimamo mapema wa kutokanyaga eneo hilo!

Kama hukufika hizi data umetoa wapi mkuu?
Kama umekuwa fed how do you check for validity and reliability ya source zako?
Respective actual numbers ya hizo percentage twaweza pata?

Au ndo style ya zidumu fikra za mwenyekiti?????
 
Hivi ule mkutano waliouandaa CDM pale kimara ulihudhuriwa na wananchi wangapi?

We king'asti wa FF, hapa tuko Igunga na kinachoongelewa kukataliwa kwa chama chenu mlichoshindwa kuvuana magamba. Sasa haya ya mikutano ya CDM yanakujaje hapa?
 
Waislam bwana! Wakisikia ishu za kulakula wanakuwa na mshawashaaaa! Sasa hapo wivu umekushika Lissu kugonga Ubwabwa Ikulu!

Used diaper.........!!!!! hapo uislamu umekujaje????
Cant you use your brain before cancer has ruined it all?????

Uzi huu na dini vinahusianaje MODS mnapokaa kimya kwa uchochezi kama huu mimi huwa siwaelewi kabisa yaani siwaelewi ni lini mtaanza kuchukua hatua kwa watu kama hawa.

Or you are as well happy with these sorts of opinions...................

M sad with you MODS kwa kweli let me say this straight out........haya mambo ya udini mkiyaacha yachomekwe hata kusikohusika mnaharibu jamvi hili kama mtu ana grudges na dini flani aweke uzi maalum na tukajadili huko kwa watakao kuwa na interest sio in between mtu anachomeka kashfa ya kidini na nyie mnaachia as if anafanya jambo la kawaida..!!??

Real borring.................kashfa za kidini ni zaidi ya matusi ya nguoni yu MODS
 
hapa angekuwa Narubongo ameleta habari kama hii kuhusu cdm sasa hivi kungekuwa kumejaa kila aina ya matusi na kabehi lkn kwa kuwa ameleta kada wa cdm basi ni habari ya ukweli

Ndo maana ya CCm kukataliwa hiyo, wengi wape.
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?
hata kama una elimu gani na una upeo mkubwa still ukiwa ndani ya ccm huwezi kufanya yale uliyoyakusudia. unafungwa - unaishi kama mfungwa - mfano mzuri ni wewe na hoja yako ya wachimbaji wadogo wadogo wa madini ipo wapi?

Kafumu anaweza kuwa jamaa hondari lakini ukiwa ndani ya ccm kama mbunge huwezi kufanya yale uliyokusudia kuwafanyia wananchi wako, unafugwa minyororo na hii ndiyo sababu wananchi wananchi hawaitaki na wanaichukia CCM vibaya sana, na bila wizi hamuwezi kuvuka hizi chaguzi ndogo ni ni ndoto.
 
Back
Top Bottom