CCM ya Nape ni nadharia

- The question ni kwamba Nape amefikaje alipo sasa baada ya kupigwa vita vya ajabu na hata kutaka kufukuzwa UV-CCM, unasema Seniors sasa walikuwa wapi alipopewa hii nafasi kama wana nguvu sana ndani ya CCM ya kumkwamisha huko mbele? Kwa nini hawakumkwamisha asipewe kama kweli wana hizo nguvu unazozisema?

- CCM ni lazima ibadilike tu, ingekua haiwezi kubadilika Nape asingeshika hiyo nafasi wala kupewa, kwenye uchaguzi wa 2015 CCM lazima itaweka a strong Candidate ambaye tayari anakubalika sana sasa hivi, tizama matokeo ya NEC ya CCM, utamuona tatizo lipo Chadema, watamuweka nani?

- Ningekuwa wewe ningekosa sana usingizi na kutaka kujua nani atasimama Chadema maana so far hakuna?

Willie @ NYC, USA.
I dont see any strong candidate from CCM so far. Hasa ukizingatia sera ya udini ambayo inapandikizwa kwa kasi ndani ya CCM. On the other hand, I dont see any future to any CCM candidate as far as those corrupt guys are still in the system. Maana watafanya vilevile walivyofanya 2005 kumuangusha babako, Mwandosya, Kigoda na wengineo (nguvu ya pesa). Na to be frank, watanzania wengi bado ni masikini wanahitaji sana hizo tshirt za CCM, khanga na chumvi ambayo CCM huwa inatoa wakati wa kampeni. So mafisadi wakiamua kumweka mtu wao kwa njia ya pesa, watawaokota watanzania wengi tu? kwani Kikwete aliingiaje?

Mtu aliyekuwa amekataliwa na secretariat yote ya CCM, lakini mwisho wa siku akaja kuibuka kidedea. Ilitokeaje? Si ni hao hao akina Rostam na Lowassa ndo waliowaamulia watanzania rais wa kuwaongoza? Na sasa hivi mkiwaondoa, nawambieni wataweka rais wao ambaye akiingia tu, atahakiikisha kikwete anakaa segerea kama siyo ukonga. Nyie subirini. Nawaambieni CCM mna hali mbaya sana. Maana hiyo minyukano ya ndani ya CCM itawasababishia mpoteze mvuto mbele ya jamii na kuwapa nafasi upinzani.
 
- National politics huchezwa tofauti na michezo yote mingine Duniani, ndio mana leo Mama Clinton ni Waziri wa Obama, Nape hakuvuliwa wala kufukuzwa uanachama kwa sababu NEC walikataa, ni NEC tu ndio wana mamlaka ya kufanya hivyo hawakufanya kwa hiyo ni hoja batili!


Mkuu kinacho matter sio kwamba alifukuzwa au hakufukuzwa uanacha. Kinacho matter ni kuwa alichotaka kufanya UV-CCM, whether he wad right or wrong, he failed miserably. Halafu Hillary na Obama unawalinganishaje na Nape, UV-CCM na CCM? Nim-quote Mkumbo, "Kufikiri kwamba CCM inaweza kubadilika [kujivua gamba] ni njia nzuri ya kujiridhisha kisaikolojia ....., lakini haisaidii kubadili hali ya mambo katika nchi yetu." Kwa maneno mengine, "CCM nzima" inaweza kubadilika in "matter of time", lakini hili halitabadilisha hali tuliyo nayo nchini.

- Sijui kama nimesema wewe ni mwanachama wa Chadema,
nimesema hivi ningekwua wewe ningekosa usingizi kuhusu nani atagombea urais 2015 on Chadema's ticket maana hawana so far!, unasema kwa kusema hivi nimekuita mwanachama wa Chadema? Is that right?


mkuu mimi nikose usingizi kwani ni Mwanachadema? Kwa nini "ungekuwa" mimi? Huoni kama hapo umefanya assumptions?
 
Mkuu salama lakini hapo.Nakuja sasa tunaonane nitakaa hapo siku 3 tu
back to maelezo yako mzee nakujua sana wewe ni mkongwe hapa unataka mfanye changes karibia na uchaguzi kwa kuwaonyesha watanzania kwamba mnaweza ? Hii ni hadaa sasa mkuu .Nakuamini miaka yote hapa JF unasimamia Utaifa kwanza leo unasemaje maneno ya kufanya changes last minutes ili kupata kura mkuu ? Au umeamua nawe kuwa mgumu kama wao .Nakujua wewe ni CCM lakini ni CCM wa Tanzania kwanza chama nyuma leo hapa inakuwaje ? Nape kwangu namuona mtupu huyu si msaada na hana uchungu na Nchi hata mara moja .Nape ana mavyeo lukuki na mengine hata hawezi kuwatumikia wananchi bado aitwe mpambanaji ? Hapana huyu bado sana .

Uhali gani mkuu wangu Lunyungu.....

Vipi maendeleo ya afya yako kwa sasa?...Hope unaendelea vizuri,nafurahi sana kukuona ndani ya JF

Back to the point......Pengine ungetueleza ni mavyeo yapi lukuki ambayo Nape anayo kiasi cha kushindwa kuwatumikia wananchi na kutokuwa na uchungu na nchi......Kama ni suala la uDC wa Masasi nadhani Nape alishalitolea ufafanuzi kwamba kwa sasa nafasi ya DC Masasi iko wazi na amejikita zaidi katika kufanya uenezi ndani ya chama............Labda utujuze hayo mavyeo mengine........

Nionacho mimi ni kwamba Nape ni threat kwa baadhi ya watu(ndani ya CCM na hata kwenye upinzani) na ndio maana kutwa kucha hakukauki habari zinazomhusu Nape...........Cha msingi tumuache Nape afanye kazi yake na baadae ndio tumhukumu,so far namuona kafanya kazi nzuri sana na ni mtu ambaye ana uwezo wa 'kuthubutu'

In Nape I trust..............

Bala.
 
Mkuu salama lakini hapo.Nakuja sasa tunaonane nitakaa hapo siku 3 tu
back to maelezo yako mzee nakujua sana wewe ni mkongwe hapa unataka mfanye changes karibia na uchaguzi kwa kuwaonyesha watanzania kwamba mnaweza ? Hii ni hadaa sasa mkuu .Nakuamini miaka yote hapa JF unasimamia Utaifa kwanza leo unasemaje maneno ya kufanya changes last minutes ili kupata kura mkuu ? Au umeamua nawe kuwa mgumu kama wao .Nakujua wewe ni CCM lakini ni CCM wa Tanzania kwanza chama nyuma leo hapa inakuwaje ? Nape kwangu namuona mtupu huyu si msaada na hana uchungu na Nchi hata mara moja .Nape ana mavyeo lukuki na mengine hata hawezi kuwatumikia wananchi bado aitwe mpambanaji ? Hapana huyu bado sana .

- Kwanza heshima yako sana mkuu wangu, chama cha siasa kina lengo moja tu nalo ni kushinda uchaguzi, Lunyungu ndugu yangu si ndio maana mliamua dakika za mwisho kumpa Slaa nafasi ya kugombea, si ndio maana ya siasa za vyama mkuu, ukisema Nape hana uchungu baada ya misuko misuko yote aliyopitia kufika alipofika unakua humetendei haki mkuu wangu, kwa nini asipewe nafasi kwanza maana si ndio kwanza ameingia? Halafu kwa nini JF nzima imejaa Nape na sio wengine, I mean si ni mti wenye matunda mazuri ndio hurushiwa sana mawe, au?

- Much Respect Mkuu!, Halafu niwekee namba kwenye inbox bro nitakutwangia kesho! loong time bro! we need to talk!


Willie @ NYC, USA.
 
Hapo kwenye red unajaribu kulinganisha kati ya worse and the worst to the effect that the the voters have got no option but to vote for the worse instead of the worst?

EMT Selemani ana mawazo ya uislam na chuki kwa Chadema hawezi kujadili hoja akaweka point .Rejea maswali yake kwa Slaa utajua kabisa jamaa ana stress an yuko very much frustrated .Kadiriki kuwasemea hata watanzania walio waislam wanao kubaliana na Chadema so sishangai ayasemayo .Yeye athibitishe kama kweli Chadema is not a serious political party .Hawezi kutoa ushahidi for sure .Ila chuki tu .Chadema ni more serious than CCM wanao linda maslahi tu . Hata ndugu yangu wa NY anayajua kuna mahali tunakubaliana kwenye ukweli .

CCM kuadhani kwamba kwa kumweka Nape ndiyo vijana wataona ni kujidanganya .Wako vijana wengu ndani ya CCM kama Ngeleja , Masha, Waziri wa Utalii ni vijana hawa lakini wana nini ? Hakuna kitu hapa .
 
Pole sana jirani, you always seem to have a bad choice to trust.
In Arsene Wenger you trust.
In Nape Nnauye you trust.
They're both losers....so! who's next?....

Jirani......

Last time nilikwambia kuna kitu kinaitwa democracy na nikakuambia kwamba ''huna haja ya kunionea huruma/kunisikitikia mimi kuwa mwana CCM kama ambavyo mimi sikusikitikii wewe kuwa hicho chama ambacho unakishabikia/ni mwanachama''......

So naomba uheshimu msimamo/itikadi yangu kama mimi ninavyokuheshimu wewe na itikadi yako........Ndio maana hata siku moja hauwezi kunikuta Bala nikiitukanana ama kukashifiana na mwana CUF,CHADEMA,NCCR etc kwa sababu nawahesimu wao na itikadi zao kwani hiyo ndiyo demokrasia yenyewe............Ndio maana ya kuwa na multiparty system....

Hayo ya kwenye kandanda tuyaache kama yalivyo....

Cheers..........

Bala.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
NAPE awe makini na sisi waislam na siyo wa kuwasikiliza wapo CCM kwa ajiri ya KIKWETE kwasababu ni muislam,thus why leo hii viongozi wa kiislam wanafanya makongamanoya kisiasa nchi nzima kwa ajiri ya kumtetea KIKWETE na si CCM,Akija candidate mkristo ndani ya CCM wote wanahama na hutawasikia tena mana huyo yeye si muislam na wala kuipigia CCM kura hutawaona utawaona wanaenda kukipipigia chama ambacho wamemsimamisha muislam,ANGALIZO KWA NAPE KWA UPUUZI HUU MTAWAKOSA WAKRISTO WOTE WAKIJUA CCM ni CHAMA CHA WAISLAM WAKATI SIYO HIVYO WAPO PALE KWA AJILI YA KIKWETE.
 
Jirani......

Last time nilikwambia kuna kitu kinaitwa democracy na nikakuambia kwamba ''huna haja ya kunionea huruma/kunisikitikia mimi kuwa mwana CCM kama ambavyo mimi sikusikitikii wewe kuwa hicho chama ambacho unakishabikia/ni mwanachama''......

So naomba uheshimu msimamo/itikadi yangu kama mimi ninavyokuheshimu wewe na itikadi yako........Ndio maana hata siku moja hauwezi kunikuta Bala nikiitukanana ama kukashifiana na mwana CUF,CHADEMA,NCCR etc kwa sababu nawahesimu wao na itikadi zao kwani hiyo ndiyo demokrasia yenyewe............Ndio maana ya kuwa na multiparty system....

Hayo ya kwenye kandanda tuyaache kama yalivyo....

Cheers..........

Bala.



Jirani mbona unachukulia vitu serious hivyo, naamini kwa 100% sijatukana na haitatokea nikutusi mkuu....all I did was a tongue-in-cheek, though kuna hint ya ukweli ndani yake.
 
Jirani mbona unachukulia vitu serious hivyo, naamini kwa 100% sijatukana na haitatokea nikutusi mkuu....all I did was a tongue-in-cheek, though kuna hint ya ukweli ndani yake.

Ukweli kwamba CCM ni chama tawala na walioshindwa(Losers kama unavyodai) wanasubiri mpaka mwaka 2015 ama?
 
In Nape I trust..............

.
Vipi kuhusu Magamba Mengine? Inamaana hapo Mukama Out! au ndio mwamchomea Nape Wajue anapendwa sana kama enzi zile za mrema!!! Jk na Msekwa hawaminiki tena. Asante Mkuu

Kwa Akili Zako Ungewaongeza Ngeleja , Sophia S Na Mkulo.InNgeleja , Sophia S and Mkulo I trust
 
Vipi kuhusu Magamba Mengine? Inamaana hapo Mukama Out! au ndio mwamchomea Nape Wajue anapendwa sana kama enzi zile za mrema!!! Jk na Msekwa hawaminiki tena. Asante Mkuu

Kwa Akili Zako Ungewaongeza Ngeleja , Sophia S Na Mkulo.InNgeleja , Sophia S and Mkulo I trust

Mkuu......

Naomba tu uheshimu mawazo/misimamo ya wenzako.....

Hapa anazungumzwa Nape Nnauye............

Ni vema ukaangalia mada husika badala ya kuvamia tu thread bila kujua ni kitu gani kinajadiliwa....

Hapa anazungumzwa Nape,hao akina Mukama,Mkulo,Ngeleja na Sophia S wanatoka wapi?....

Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!​(By Invisible-Robot la JF).....
 
- Nape simama hapo hapo, CCM inahitaji mapinduzi makubwa sana kutoka within na somebody had to start somewhere, so far so good it is only a matter of time CCM nzima itabadilika, na hasa kwenye uchaguzi wa 2015 ambapo CCM ni lazima ibadilike maana hakuna choice nyingine isipokwua kubadilika tu!- Bravo Nape! CCM inakuhitaji zaidi kuliko wakati wowote huko nyuma!Willie @ NYC, USA.
kuna fununu kuwa 2015 utakuja gombea jimbo la baba-mtera. Kuna vuguvugu la second generation with the mission of second chance
 
- Ni mtizamo mmoja kati ya mitizamo mingi sana kuhusu Nape, symbolically kwa kumpa nafasi Nape, CCM imekubali kwamba ni wakati wa Vijana kushika usukani, kwa mara ya kwanza Nape ameitoa Chadema kwenye agenda ya ufisadi na sasa Chadema wanaonekana kwa mara ya kwanza kuanza kuwa Creative na hatimaye kuanza tena kuwa useful kwa taifa, kama walivyokuwa zamani!Willie @ NYC, USA.
vijana kushika madalaka hatukatai ccm nichama chafamilia chache zinazolisishana madaraka kama wewe upokuandaliwa kulithi watakao kulithisha wewe ndomafisadi walioifikisha nnchi pabaya hautakuwa na ubavu wakuwatowa nahicho ndokilicho mshinda nape na jk usichanganye vijana kushikamadaraka na kuwafukuza mafusadi kwenye chama walio tolewa neki tumeona wanazawadiwa magali ya kifahali toka lini mwizi anapewa zawadi? Kinachotakiwa mafisadi wote wakamatwe wapelekwemahakamani wafilisiwe malizao tofautina hapo hatudanganyiki wametuibia wanatumia ujanja wakujiuzuru wanaendelea kulipwa pesheni ambazo nikodi zetu imetosha kuibiwa tunaipenda ccm hatuwapendi mafisadi tupo kukiendesha chama si chama kiendeshe maishayetu nyie munao endesha maisha kwakutegemea chama ndomnao kihalibu chama (mnakula,mnalala,mnasom,matibabu,kuywa,usafil,nyumba,nk)sisi hiywo kwetu havipo kusema chadema imeishiwa wendo umefilisika nahuko nikutapatapa cdm wanahusiana nanini kujivuwa gamba ccm yenyewe imeona kwake kunatakataka wakataka kuzitowa ila haiwezekani nguruwe na tope pamoja naelim munazozipa kwakodi zetu mnashindwa kututetea walala hoi mnatuchakachuwa hadi akili
 
kuna fununu kuwa 2015 utakuja gombea jimbo la baba-mtera. Kuna vuguvugu la second generation with the mission of second chance

Mkuu,

Vipi tena? Ana haki zote za kikatiba.Yaani bora Willium kuliko hata huyu Lusinde.Tusiangalie tu kwamba mzazi wake alikuwa kiongozi,tuangalie uwezo na kukidhi haja za wapiga kura na utoshelezi wa sifa zake kwa maana ya kuzingatia matakwa ya kikatiba
 
W.J. Malecela,

Ni ajabu sana unaposema kwamba national politics huchezwa tofauti na michezo mingine duniani, lakini umeshindwa kuelewa kwa nini Nape amepewa nafasi hiyo ktk MCHEZO huu..unachukulia sana maanani kwamba huu sio mchezo wakati unajua fika ni mchezo unachezwa.
Hakuna kitu serious hapa mkuu wangu, haya ni mazingaombwe tu kwa sababu Kazi kubwa ya JK na cartel ilikuwa kuchukua madaraka tena uchaguzi ulopita.
RACHEL ndio karata kubwa ya Cartel ndani ya serikali hii EL as a brain, RA ktk takrima na CH mwanasheria ambao wote kwa pamoja wamekuwa pamoja toka ushindi wa kwanza dhidi ya Mkapa, Salim na pia kipenzi cha NEC na UWT (2005) ambaye alikuwa Malecela. Kama hawa cartel waliweza kumwondoa Malecela ktk kugombea urais mwaka 2005, wakamweka nje kabisa Kigoda, Salim akazikwa akiwa hai sidhani kama kuna chombo chochote nchini kinaweza kuwafukuza acha mbali kauli ya bwana mdogo Nape.. He is nobody! yeye alipo ni sawa na wale wachale wa sinema za kihindi au kichina ambao siku zote hukaa karibu na boss kuchokonoa huku na kule.
 
- Nape simama hapo hapo, CCM inahitaji mapinduzi makubwa sana kutoka within na somebody had to start somewhere, so far so good it is only a matter of time CCM nzima itabadilika, na hasa kwenye uchaguzi wa 2015 ambapo CCM ni lazima ibadilike maana hakuna choice nyingine isipokwua kubadilika tu!

- Bravo Nape! CCM inakuhitaji zaidi kuliko wakati wowote huko nyuma!


Willie @ NYC, USA.
nakuona nakuona
 
Back
Top Bottom