CCM Wazua foleni - Tena!

Wenye nchi yao hivi sasa wamezua tafrani mjini. Kuna foleni ya kufa mtu hakuna gari linasogea...JK anarudisha fomu! Maisha bora kwa waendao kujenga Taifa!

Naomba ufafanuzi, haya maandamano na msongamano haviwezi kuathiri ratiba za vyama vingine kurudisha fomu, yaani APTT saa 5, TLP saa 5, Chadema saa 6, Cuf saa 7, UPDP saa 8 etc. Au msongamano huu ni njama za kuwakwaza wenzao ili washindwe kurudisha fomu leo katika muda muafaka na waenguliwe? Mjini shule!!!
 
Waliokuwa kwenye Msafara wa Jk ni waqle wazee wa Dar es salaam

ni wale wazee wa Dsm Pamoja na makundi ya mama lishe, vibaka, wezi na watu wa hovyo hovyo, nakuambieni wal hupewa posho ya 3000Tsh kwa kila tukio wanaloshiriki, hawajui ukombozi wao ni kuwakataa ccm, ila ipo siku.
nayataja makundi ya wazee, MAMA lIshe kwa maana yakuonesha namna ccm inavyopenda kutumia makundi hayo kujipatia kura kwaahadi ya maisha bora kisha huwakimbia baada ya kupata kura.
 
Mkuu narudi hili. CCM haita kuja fanya maendeleo kwa wananchi wake kwa kuwa UJINGA wao ndiyo mtaji kisiasa. Umesema sawa kabisa, hao wazee hata TZS 3,000 zaweza kuwa nyingi, ni watu wanaoridhika na TZS 500/siku!!!
 
Naomba ufafanuzi, haya maandamano na msongamano haviwezi kuathiri ratiba za vyama vingine kurudisha fomu, yaani APTT saa 5, TLP saa 5, Chadema saa 6, Cuf saa 7, UPDP saa 8 etc. Au msongamano huu ni njama za kuwakwaza wenzao ili washindwe kurudisha fomu leo katika muda muafaka na waenguliwe? Mjini shule!!!

Mama Mdogo upo?

Long time!!! Slama lakini?
 
Back
Top Bottom