CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
Akili ndogo uliyonayo sijui umepata wapi.
 
ha ha ha ha ha msongo wa mawazo utakuua mkuu kalibu ccm
Sina msongo wa mawazo

Na wala mm sio ccm wala chadema

Am simply a neurosurgeon at gothernberg

But mm ni mzalendo , naishi maisha mazuri kuliko wewe

Nanunua gari nalotaka , nyumba nayotaka , chakula nachotaka

Mwanangu anasoma shule yeyote marekani , nilipambna na siasa zenu chafu mpaka kufika hapa

Shwain , narudia punguza upumbavu kichwan , kuwa mzalendo

Fikiri kuhusu kizazi chako cha mbele

Nimemalza , reserving some of my words was a best respect for you kifinger
 
Mkuu ludi nyumbani kumenoga maisha bongo rahisi sana kuliko huko ulaya mnakokaa kwa masimango mi mtoto wangu anasoma FEZA mikocheni ni shule yenye standards kama za huko uliko
 
Unataka ucompare

Feza na stanford , my foot

Siwez na hatorudi huko

Nyumban narudi kusaidia operation ngumu tuu !!

Ova , nawapenda watanzania wenzangu
 
Haa Dr Bashiru anasema CCM itatawala milele kwa mtindo huu waliojiwekea akia mama sijapata kuona hizi siasa tangu kuanza kwa Tanganyika duuuuuu!kila kitu nguvu tuuuuuuu jamani "OGA wonders shall never end oooo" (in Nigeria's voice)
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
Sasa linganisha uwezo wetu wakati tunasoma na migomo huu, na uwezo wa hao wasiogoma sasa kwa vile wamekuwa makada wa CCM.
Hakuna mazuzu wakati huo
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
Naona wapinzani wanataka nafasi waanze kuratibu migomo vyuoni
 
Nyie na hizi crocodile tears zenu , sasa zimezidi. Kila mkishindwa malalamiko ya kijinga.

Malalamiko yenu yamekuwa kama ugonjwa wa UKURUTU
 
Chama cha Mapinduzi kimetuma makada wake kwa kusaidiwa na dola kuhujumu uchaguzi wa Serikali ya wanafunzi wa Daruso chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wanafunzi wameonekana wakipinga hali hii ambayo Lengo lake ni kuhakikisha wanafunzi wenye itikadi za kiccm ndo wanashinda

====

The president of the UDSM Human Rights organisation, has said that the commotion is due to elections rights violations where various qualifying candidates have been ommitted from the selection ballots despite campaigning to the end, for national political parties partisanship
Nyie na hizi crocodile tears zenu , sasa zimezidi. Kila mkishindwa malalamiko ya kijinga.

Malalamiko yenu yamekuwa kama ugonjwa wa UKURUTU
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
Nilisoma Udsm niligoma sana enzi za kina Bush,nimeajiriwa nikagoma nikabadili kazi na wakizingua nagoma (mgomo +kuzichapa) hakuna kuoneana hapa.
 
Chama cha Mapinduzi kimetuma makada wake kwa kusaidiwa na dola kuhujumu uchaguzi wa Serikali ya wanafunzi wa Daruso chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wanafunzi wameonekana wakipinga hali hii ambayo Lengo lake ni kuhakikisha wanafunzi wenye itikadi za kiccm ndo wanashinda
====
The president of the UDSM Human Rights organisation, has said that the commotion is due to elections rights violations where various qualifying candidates have been ommitted from the selection ballots despite campaigning to the end, for national political parties partisanship
Hizi taarifa pelekeni kwa katibu mkuu ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua
 
VC aliyepo alibebwa tu na JIWE, hakushinda kwenye kura za maoni. Analipa fadhila na hajiamini sijui ni kwa nini.
 
Back
Top Bottom