CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

U ngesoma miaka ya sabini ningekuelewa ila yaonekana wewe ni yale ma korongo yanayosubiri uanike samaki yachukue. Mwalimu na wenzie wote walipikwa wakiwa vyuoni. Kikwete alikuwa kada lini kama siyo chuoni? Watu tumeandamana miaka ya 80 tukiwa chuo na hatukupigwa virungu leo unatuletea za kuleta? Nashukuru wewe siyo mwanangu.
Kwa iyo usomi ni kuandamana sio kushindana kwa hoja
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
point ya kijinga...takataka.... [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
wewe ni mjinga

Hauna utofauti na shetani

Ni roho kamili ya shetani hapa duniani

Ujinga wako na upumbavu umezidi na hauelezeki

Jiheshimu !
ha ha ha ha ha msongo wa mawazo utakuua mkuu kalibu ccm
 
Kama vurugu zinatokea sio Kwa sababu ya vijana WA ccm udsm.kwasasa Hakuna upinzani WA kisiasa utakaoleta fujo udsm. Kama hakukutokea fujo za kisiasa enzi zile za miaka 2010 ambapo ukivaa kakii udsm unaonekana kamanda ila ukivaa kijani unazomewa mpaka basi. Upepo ulibadilshwa na vingoz imara WA uvccm udsm kina hapi mpaka bavicha wakarudi nyuma. Pongezi tawi la Abiola na mwkit hapi na mlezi WA uvccm vyuo vikuu bashe 2010
Nilikuwepo kwenye hizo movement mkuu tuliwakalisha hawa wajinga wajinga
 
Ujinga kabisa uoga siyo utulivu
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
 
CCM ni chama pendwa kwa wanafunzi
chama kilicholeta bodi ya mikopo kinapendwa vipi? chama kinacho wakodolea macho wahitimu mitaani badla ya kuwapa ajira?
chama kilichopoka KOROSHO ZA babu zetu huko kusin?
 
dola ikaingilie uchaguzi wa DARUSO kweli?
mtafutege vitu vinavyo make sense ndo mlete kwenye majukwaa
SIO kuingilia hao vijana wakiachiwa wataleta instability hapo chuoni pasisomeke na kuwanyima watu wengine haki ya kusoma acha wakafundishwe adabu kidogo
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
Kwaiyo kipindi chama tawala kilikuwa kipi mpendwa
 
Kwa iyo usomi ni kuandamana sio kushindana kwa hoja
Nchi zote duniani maandamano ndo njia ya kwanza ya kudai haki, kushukuru na kupongeza pamoja na kulaani. Si kila mtu ana nafasi ya kwenda mbele kujieleza ila mkiandamana na kuonyesha mabango, message sent and received. Hatukuanza sisi ila hata wakati wa kudai uhuru ndiyo ilikuwa njia pekee ya kumfanya mtawawala aelewe matakwa ya wananchi. Wewe unafikiri ukikaa kweye keyboard yako kudai haki wangapi watakusoma na je, wangapi wanauwezo wa ku access hiyo point uliyopo? Una bahati umekulia kwenye hii enzi, ungekulia wakati hakuna tv na radio kwa jirani ungefanyaje? Tafuta kitabu aliandika msomi nguri Penina Mrama kinaitwa TAMBUENI HAKI ZETU. Mwingine ni Balisidya tafuta kitabu chake soma. Hawa ni watu walionijenga maisha yangu. Politics without struggle will get you no where.
 
chama kilicholeta bodi ya mikopo kinapendwa vipi? chama kinacho wakodolea macho wahitimu mitaani badla ya kuwapa ajira?
chama kilichopoka KOROSHO ZA babu zetu huko kusin?
serikali haiwezi kuajiri watu wote ndio mana wanaambiwa wajiunge vikundi wapewe mikopo waanzishe ajira na waajiri vijana wengine. Wasomi wa ulaya hawawazi kuajiliwa na serikali hata kidogo na hata matajili wote sio wafanyakazi wa serikali
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
Walikuwa wakigoma bila sababu?
 
CHADEMA walikua wanatumia UDSM kama platform ya kujijenga kisiasa ndio maana tukapiga marufuku siasa vyuoni
Chadema nao mnawasingizia mengi. Btw si vyuoni tu mliko piga marufuku siasa bali hata mtaani.
 
serikali haiwezi kuajiri watu wote ndio mana wanaambiwa wajiunge vikundi wapewe mikopo waanzishe ajira na waajiri vijana wengine. Wasomi wa ulaya hawawazi kuajiliwa na serikali hata kidogo na hata matajili wote sio wafanyakazi wa serikali
hujui ulisemalo usamehewe tu
 
chama kilicholeta bodi ya mikopo kinapendwa vipi? chama kinacho wakodolea macho wahitimu mitaani badla ya kuwapa ajira?
chama kilichopoka KOROSHO ZA babu zetu huko kusin?
Kama siyo CCM hata hiyo mikorosho msingelima maana ulinzi na usalama wa nchi umedumishwa na CCM na mkaweza kulima.
Hata hao wahitimu wasio na ajira, kama siyo CCM kuwapa elimu wasingekuwepo.
Shukuruni kwa kile mlichokipata.
Vinginevyo jiongezeni!
 
Back
Top Bottom