CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

Kama siyo CCM hata hiyo mikorosho msingelima maana ulinzi na usalama wa nchi umedumishwa na CCM na mkaweza kulima.
Hata hao wahitimu wasio na ajira, kama siyo CCM kuwapa elimu wasingekuwepo.
Shukuruni kwa kile mlichokipata.
Vinginevyo jiongezeni!
sio makosa yako ni makosa ya elimu ya kata mzee baba.Watu wajiongeze baada ya kuporwa korosho zao? uliona wapi raisi anaiongoza serikali na chama kupora wananchi wake?.
 
sio makosa yako ni makosa ya elimu ya kata mzee baba.Watu wajiongeze baada ya kuporwa korosho zao? uliona wapi raisi anaiongoza serikali na chama kupora wananchi wake?.

Sijasoma shule ya kata.

Hata hivyo, ishukuru CCM tuu maana kama siyo CCM kujenga hiyo shule ya kata, usingepata nafasi japo ya kujua kusoma na kuandika.
 
Kwa style hii maendeleo yanatuacha mbali sana tunachelewa sana sababu fikra zetu ni utawala wa mtu mmoja athari zake tunaziona kwa mbali kiongozi mwingine anatembelea gari ya kifahari sana ila anaenda kulia kanisani watu wanajenga madanguro au sehem za starehe wakati ye mwenyewe ameenda na starehe hadi kanisan naona na vyuo ndo inaenda kutengeneza watu hao
 
Nilikuwepo kwenye hizo movement mkuu tuliwakalisha hawa wajinga wajinga
sure? I'll kwakuwa tunatumia I'd fake acha iwe hvyohvyo. Hawa ufipa hawajui wanazungumza nin name Wala hoja Hawana.
 
yote hayo ni matokeo ya matendo ya kifisadi ya pombe..ni fisadi ambaye kwenye chaguzi ni vigumu mpinzani kushinda !
si tu anatumia policcm bali pia TISS makada na wakurugenzi ambao ni wanachama hai wa mafisi aka ving'ang'anizi wa madaraka, watekaji !
 
Siasa za vyuoni!!!! Bora kufanya kilichokupeleka huko chuo mengine fanya baadae ukishahitimu.
Naona siasa mbaya ni pale upinzani unaposhinda ndo kuna mawazo kama yaha yansiasa vyuuonii kuna masomo ya siasa lazima wafanye practical
 
CCM inachukiwa mpaka na sisimizi aisee, ndiyo maana wanatumia ubabe kutuharibia nchi
Sasa hata eneo dogo la kiuchaguzi kama hili lenye wasomi wa chuo kikuu linalalamikia ubabe, wakulima watafanya nini jamani! Mbona wanasheria wa TLS walifanya uchaguzi na kufanikisha bila kukubali kuingiliwa na kulialia.
 
Tukemee ubaya,tusijenge tabia ya kusifia mambo mabaya kwa kuwa yamefanywa na watu au kikundi tunachokipenda.
 
Sasa hata eneo dogo la kiuchaguzi kama hili lenye wasomi wa chuo kikuu linalalamikia ubabe, wakulima watafanya nini jamani! Mbona wanasheria wa TLS walifanya uchaguzi na kufanikisha bila kukubali kuingiliwa na kulialia.
Acha waminywe watapata akili. Badala ya kuonesha kutokuridhika kwao wanakuja kulia lia kwenye mtandao.
 
Back
Top Bottom