CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

Kuna mtu yuko UDSM ni kada au mwanachama wa ssm? amefikaje UDSM sehemu ya vipanga tupu?
UD ji vipanga? Unajua nchi nyingine wanavyuo ndio huanzisha hata maandamano ya kung'oa wa tawala wasiotenda haki. UD kuna vilaza tupu pale.
 
Kama vurugu zinatokea sio Kwa sababu ya vijana WA ccm udsm.kwasasa Hakuna upinzani WA kisiasa utakaoleta fujo udsm. Kama hakukutokea fujo za kisiasa enzi zile za miaka 2010 ambapo ukivaa kakii udsm unaonekana kamanda ila ukivaa kijani unazomewa mpaka basi. Upepo ulibadilshwa na vingoz imara WA uvccm udsm kina hapi mpaka bavicha wakarudi nyuma. Pongezi tawi la Abiola na mwkit hapi na mlezi WA uvccm vyuo vikuu bashe 2010
 
Tangu lini watu wakalazimishwa kupenda kitu so wewe kuipenda chadema umelezimishwa. Tukubaliane mkuu kuwa saizi kutokana na mambo yanayofanywa na rais watu wameamua kuipenda ccm na kutembea kifua mbele malalamiko yenu yote rais kayafanyia kazi
raisi ni empty vessel kakata pumzi kama hata uchaguzi wa wanafunzi unaingiliwa na polisi na kukamata wanafunzi wasio na silaha kwenda kuwauuwa na kuwaingiza chupa kwenye haja kubwa dah bomu linatengenezwa
 
Tangu lini watu wakalazimishwa kupenda kitu so wewe kuipenda chadema umelezimishwa. Tukubaliane mkuu kuwa saizi kutokana na mambo yanayofanywa na rais watu wameamua kuipenda ccm na kutembea kifua mbele malalamiko yenu yote rais kayafanyia kazi

Mpe kifinga kati
 
Doh! Kuna kipindi hii kitu pia ilimake headlines sana pale maeneo ya duce ila kwa sasa naona kumetulia. Sijui imethibitika kwmb opponent hana nguvu tena? Nadhani hvo!

Bundi kafukuzwa nje ya chama kakata kona na kurudi chaman...upinzani ni natural phenomenon kwa mwanadam...design tu ndo tofauti....hakuna aliyewahi kuua upinzani
 
Kama vurugu zinatokea sio Kwa sababu ya vijana WA ccm udsm.kwasasa Hakuna upinzani WA kisiasa utakaoleta fujo udsm. Kama hakukutokea fujo za kisiasa enzi zile za miaka 2010 ambapo ukivaa kakii udsm unaonekana kamanda ila ukivaa kijani unazomewa mpaka basi. Upepo ulibadilshwa na vingoz imara WA uvccm udsm kina hapi mpaka bavicha wakarudi nyuma. Pongezi tawi la Abiola na mwkit hapi na mlezi WA uvccm vyuo vikuu bashe 2010
akili za bashite kila mtu anajuwa uvccm niwale wanaopakuliwa na hawazidi 1/3 tu
 
Siku zote panapokuwa na pande mbili zinazotaka nafasi ya kiutawala pindi moja inaposhinda upande wa pili ni lazima tuu useme umebanwa kidemokrasia. #Demokrasia ni mfumo usio na usawa siku zote
akili kama mbwa koko polisi anatafuta nini eneo la wanafunzi kila uchaguzi ukifanyika bashite mkubwa weye
 
Kama vurugu zinatokea sio Kwa sababu ya vijana WA ccm udsm.kwasasa Hakuna upinzani WA kisiasa utakaoleta fujo udsm. Kama hakukutokea fujo za kisiasa enzi zile za miaka 2010 ambapo ukivaa kakii udsm unaonekana kamanda ila ukivaa kijani unazomewa mpaka basi. Upepo ulibadilshwa na vingoz imara WA uvccm udsm kina hapi mpaka bavicha wakarudi nyuma. Pongezi tawi la Abiola na mwkit hapi na mlezi WA uvccm vyuo vikuu bashe 2010
 
Attachments

  • VID-20190523-WA0026.mp4
    2.1 MB
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
Hebu toa mifano ya waajiri wawili tu walioogopa
 
Kuna mtu yuko UDSM ni kada au mwanachama wa ssm? amefikaje UDSM sehemu ya vipanga tupu?
Inawezekana kabisa.

Kama wanaiba kura na kumpa ushindi aliyeshindwa kwa nini washindwe kuwaibia watu wao mitihani au kuwafaulisha kwa lazima?

Kama wanasema ushindi ni lazima hata kwa bao la mkono kwa nini washindwe kusema kufaulu ni lazima hata kwa kuonyeshwa mitihani?
Ndilo tukikofikia na kupatukuza.

Waafrika sijui nani amewaloga!
 
Hakuna anayeweza kumpenda mwizi, muongo, fisadi, muuaji, anayedharau katiba, Bunge na mahakama kama ana akili sawa sawa ya kutambua uovu unaofanywa na huyo nduli na dikteta.

Tangu lini watu wakalazimishwa kupenda kitu so wewe kuipenda chadema umelezimishwa. Tukubaliane mkuu kuwa saizi kutokana na mambo yanayofanywa na rais watu wameamua kuipenda ccm na kutembea kifua mbele malalamiko yenu yote rais kayafanyia kazi
 
Chuo cha UDSM kilikuwa na vichwa bwana siyo sshv walivyotulia kabisa. Nakumbuka kulikuwa na jamaa walikuwa wanaandika makala nzuri za MLIMANILEO wakiwachambua vilivyo akina Prof Mukandala, Maboko, Mgaya na Luoga. Sijui ilifia wapi hii MLIMANILEO. Ally Happy akionza mgomo Wa kumpindua Rais Kipala, enzi za ODWAANG( Huo mgomo sintousahau) na baadae Festo kiswaga , Fujo za David Silinde. Palikuwa pa moto.
 
Da! Ccm ina chukiwa sana wamebaki wenye roho mbayo ndiyo wanaipenda,, kwani sifa za wenye roho mbaya zinajulukana
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
U ngesoma miaka ya sabini ningekuelewa ila yaonekana wewe ni yale ma korongo yanayosubiri uanike samaki yachukue. Mwalimu na wenzie wote walipikwa wakiwa vyuoni. Kikwete alikuwa kada lini kama siyo chuoni? Watu tumeandamana miaka ya 80 tukiwa chuo na hatukupigwa virungu leo unatuletea za kuleta? Nashukuru wewe siyo mwanangu.
 
Back
Top Bottom