CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
IMG-20190523-WA0000.jpg

Chama cha Mapinduzi kimetuma makada wake kwa kusaidiwa na dola kuhujumu uchaguzi wa Serikali ya wanafunzi wa Daruso chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wanafunzi wameonekana wakipinga hali hii ambayo Lengo lake ni kuhakikisha wanafunzi wenye itikadi za kiccm ndo wanashinda

====

The president of the UDSM Human Rights organisation, has said that the commotion is due to elections rights violations where various qualifying candidates have been ommitted from the selection ballots despite campaigning to the end, for national political parties partisanship
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
 
Doh! Kuna kipindi hii kitu pia ilimake headlines sana pale maeneo ya duce ila kwa sasa naona kumetulia. Sijui imethibitika kwmb opponent hana nguvu tena? Nadhani hvo!
 
CCM CCM CCM sijui wanashida gani hawa jamaa. Nasikia hapo chuo kutoka VC mpaka wasekretari wakijua wewe sio CCM umeisha. Na ndo nyia pekee wanayoitumia.
 
Ni dalili mbaya kwa Chama tawala, mnapokuwa hamkubaliki na vijana na wasomi. Ndio maana vyama huru vya wasomi wengi na vijana kama TLS hakuna mwenye itikadi ya kiCCM anashinda. Ndivyo kote kungekuwa huru basi wenye itikadi ya kiCCM wasingeshinda. Ni moja ya njia ya wasomi na vijana kuonesha kuichoka iliyopo madarakani

Ukiona vijana na wasomi hawakukubali anza kuhesabu siku za kutawala.
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini

Upo sahihi.

Ila sijui kwanini unajiita kifinga
 
CCM imeleta utulivu sana UDSM zile kelele za migomo migomo saizi zimeisha watoto wanasoma na kumaliza kwa raha. Kuna kipindi hata waajiri wakawa wanaogopa kuajiri wanafunzi wa UDSM wakiamini wanaweza kuwa wanaleta migomo maofisini
Kipindi hiyo migomo ilipokuwepo udsm, nchi ilikuwa inaongozwa na chama gani cha siasa?
 
Back
Top Bottom