Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,796
Kuna wimbo wa Kimanyema unaitwa GERE MAMA! Mojawapo ya beti zake inasema FAHARI EEH NDIO MAMA WA UJINGAAA.. !!!Magari 48 bwashee!
Vieiteee.
Kuna wimbo wa Kimanyema unaitwa GERE MAMA! Mojawapo ya beti zake inasema FAHARI EEH NDIO MAMA WA UJINGAAA.. !!!Magari 48 bwashee!
Vieiteee.
Hahahaaaa...... Zitto Kabwe alipagawa Vieitee kila kijiji!Kuna wimbo wa Kimanyema unaitwa GERE MAMA! Mojawapo ya beti zake inasema FAHARI EEH NDIO MAMA WA UJINGAAA.. !!!
Ni Chadema pekee huwalazimisha CCM kutafuta kura feki kwenye mabegi meusi, ndio maana Zitto hupenda sana kushirikiana na Chadema wakati wa uchaguzi coz anajua anataka kutumia mgongo wa Chadema kufika anapotaka, kinyume na hapo CCM wanashinda kihalali kabisa, hakuna upinzani makini Tz nje ya Chadema, ACT bado wachanga sana field, ni mbwembwe za mitandaoni tu ndio zinawadanganya wanajiona wapo juu.Ccm wamejitokeza kutishia kuwa wataenda mahakamani ili kutupoteza maboya. Ni hivi malalamiko ya Zitto kuhusu huu uhuni ni ya kweli, ila waneshampooza Zito na chochote kitu kama kawaida yake, hatimaye Zito kabadili kauli, na ccm nao wakatoka na kauli ya kufunika ukweli.
Uchaguzi huu ni wa ajabu kidogo, hakuna matokeo rasmi mpaka sasa, wala picha za misururu ya wapiga kura ili tupime imani ya wapiga kura kwenye box la kura.
Mwana kulitafuta....Hahahaaaa...... Zitto Kabwe alipagawa Vieitee kila kijiji!
Ninyi wanasiasa nawachukia sana maana wote ni majambazi tu wa kujilimbikizia malii za WatanzaniaBaada ya kiongozi ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kudai kuvamiwa na gari tatu za CCM, Katibu wa chama hicho tawala Mkoa wa Kigoma, Kajoro Vyohoroka amesema wanasubiria matokeo yatangazwe wafungue jalada mahakamani la kudhalilishwa na kiongozi huyo.
"Sisi kwenye kampeni tulikuwa na magari 48 katika Jimbo la Muhambwe pekee sawa na gari mbili kila kata sasa yeye kaona magari yanapita kwenye vituo huko akaanza kusambaza taarifa yanasambaza kura bandia tutamchukulia hatua baada ya matokeo kutangazwa," amesema Vyohoroka.
Mwenyekiti huyo wa ACT Wazalendo alituma ujumbe mfupi kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter uliosomeka," tumetoka polisi. OCD wa Kibondo ametusaidia sana. Tupo salama. Tunaendelea kulinda ushindi wetu hapa Muhambwe mpaka mwisho. Polisi wamefanya kazi kwa weledi kabisa. Ni hatua kubwa.”
Awali, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama alisema tuhuma hizo sio za kweli huku akiwahakikishia wakazi wa jimbo hilo kwamba jeshi hilo halijapokea taarifa yoyote ya uwepo wa kura bandia.
Mwananchi
Ni Chadema pekee huwalazimisha CCM kutafuta kura feki kwenye mabegi meusi, ndio maana Zitto hupenda sana kushirikiana na Chadema wakati wa uchaguzi coz anajua anataka kutumia mgongo wa Chadema kufika anapotaka, kinyume na hapo CCM wanashinda kihalali kabisa, hakuna upinzani makini Tz nje ya Chadema, ACT bado wachanga sana field, ni mbwembwe za mitandaoni tu ndio zinawadanganya wanajiona wapo juu.
Zitto kusema kavamiwa na mapanga bila kuumizwa, bila kuyapiga picha, lakini hapo hapo wanatuonesha picha za magari na plate number, kwann wasingepiga picha na hayo mapanga? hawa jamaa siwezi kuwaamini, na huyu Zitto kwa kukurupuka kwake ataanza kuwarudishia CCM legitimacy waseme huwa wanashinda chaguzi kihalali hata kama huwa wanaiba kura.
East Afrika ipi?