CCM Wapiga Mkwara Television Kuruka Live

CCM Wapiga Mkwara Television Kuruka Live

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Kwa mtu mwenye akili timamu jambo hili hawezi kunibishia.Television nyingi walitutangazia watakuwa live leo jumamosi na walitutangazia week moja kabla,cha kushangaza mpaka sasa hivi zote kimya.Hata hizo link za live stream tulizopewa zote ni bosheni tu,kuna jambo limejificha hapa msiwafanye watanzania ni wajinga.
 
kikao cha mkutano mkuu kimeahirishwa hadi kesho kaka.

safari hii ccm inawakati mgeni hatari

tuwaombee salama lkn kwa kweli makovu yao ni tabu kuyatibu
 
harakati za Jk kumrisisha binamu urais imetibua kila kitu.
Namshukuru Mungu jinsi njia zake kutaka shauri zisivyo kama tufikirivyo sisi binadamu.
yetu yatapanguka ya Mungu yatasimama.
ccm bye bye!
 
Hakuna mtenda maovu anayetaka, matendo yake maovu yaende hewani LIVE! Kwani nia yake hapo baadaye nikusema, YEYE hakuhusika na huo ubaya.....!
 
Mabomu yanapigwa sasa hivi hapa Dom. Kuna vijana walikuwa wanaimba tuna imani na Lowassa wako wanapata kipigo!!1
 
Kwa mtu mwenye akili timamu jambo hili hawezi kunibishia.Television nyingi walitutangazia watakuwa live leo jumamosi na walitutangazia week moja kabla,cha kushangaza mpaka sasa hivi zote kimya.Hata hizo link za live stream tulizopewa zote ni bosheni tu,kuna jambo limejificha hapa msiwafanye watanzania ni wajinga.

.... Wameshasoma upepo
 
:couch2: nina omboleza kifo cha ccm hakuna anaye mzidi mungu tulisubiri kwa hamu sana hiki kifo!!!!
 
Tupeni updates jaman huko nec mambo yameisha au bado kunachimbika?
 
Kwa mtu mwenye akili timamu jambo hili hawezi kunibishia.Television nyingi walitutangazia watakuwa live leo jumamosi na walitutangazia week moja kabla,cha kushangaza mpaka sasa hivi zote kimya.Hata hizo link za live stream tulizopewa zote ni bosheni tu,kuna jambo limejificha hapa msiwafanye watanzania ni wajinga.

Ingia hapa

CCM 2015
 
Hooh o ho hip hop ha ha hiii hi hih hi hap hop daaaaa full raha kifo cha ccm
 
Mabomu yanapigwa sasa hivi hapa Dom. Kuna vijana walikuwa wanaimba tuna imani na Lowassa wako wanapata kipigo!!1
wapigwe tu tumechoka maana hakuna namna maana tumechoka
 
Mungu ni mwema sana,Haki haki haki,ukweli na uwazi ni msingi wa amani,mshikamano,maendeleo...
 
Ni wakati wetu wananchi kuomba sana hekima na ufahamu toka mwenyezi Mungu viwatawale viongozi wetu ktk maamuzi,michakato,misukumo,matamanio ya itikadi zao,imani zao,mihemuko yao,kiu zao,falsafa zao.Mifano ya kinachoendelea South Sudan,Burundi,CAR,DRC,Zimbabwe na kwingineko viwe mwanga wa kudumisha upendo,undugu,amani,mshikamano.
 
Back
Top Bottom