Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Nashangaa kuwaona ccm wakihangaika na kuiangamiza CHADEMA,naapa kuwa CCM hamtafanikiwa katka hili.Nasema hivyo kwa kuwa mnapigana na adui msiemjua,na kama mnapigana na adui msiemjua kamwe hamuwezi kushinda VITA HII.
Ili ccm mshinde VITA hii ni lazima mmjue adui yenu.Hii vita ccm hamuwezi kushinda kamwe. You can not solve the problem if you are the part of the problem.
Kutokushinda kwenu ni sababu ya kushindwa kumtambua adui yenu,pili kushindwa kutambua udhaifu wenu kimfumo,kitaasisi na kimuundo wa serikali yenu.CCM,adui yenu sio CHADEMA,TLP,CUF au upinzani kwa ujumla wake bali adui wenu ni WANANCHI MLIOSHINDWA KUWALETEA MAENDELEO KWA MUDA WA MIAKA ZAIDI YA 30 KWENYE UTAWALA WA CCM. Hapa msitegemee kushinda,mtatumia nguvu nyingi sana but you wont win at all.
Mnapigana na taasisi na /au mtu asie na hatia,na hamwezi kushinda kamwe kwani huyo sio adui yenu,bali adui yenu yuko kwenye ghala la silaha.Huyu adui si mwingine bali ni MWANANCHI MASKINI ANAYEISHI KATIKA ARDHI HII YA TZ. Kama mtajua huyu adui anataka nini,lini na wapi basi hakuna haja ya kupigna na CHADEMA.
Kama CCM mnaweza kuwaletea wananchi huduma nzuri za elimu,afya,maji na umeme,CHADEMA hawawezi kukosoa wala kupinga serikali yenu. CHADEMA wanachukua UDHAIFU,KASORO NA MAPUNGUFU YENU YA KIMFUMO na kuyajengea hoja na kuyapeleka kwa adui yenu(mwananchi wa kawaida),hapa ndipo UADUI WA CCM NA CHADEMA ndipo unapoanzia.Kama CCM mngekuwa mnawajali,mnawalinda na kuwatimizia ahadi zenu za Maisha Bora kwa Mtanzania kupitia huduma bora za kijamii basi CHADEMA wasingeweza kusema chochote na hii ingekuwa ni kete pekee ya kuua upinzani.Lakini kwa kuwa uwezo wenu wa kufikiri umefikia mwisho,mnapigana bila kumjua aduoi yenu ni nani huku mkishindwa kutambua udhaifu,kasoro na mapungufu yenu ya kimfumo na utendaji,HII VITA NI NGUMU NA KAMWE HAMUWEZI KUSHINDA.
Napenda kuhitimisha kwa kusema hivi,kwanza,ccm msipowaletea wananchi maisha bora hii vita ni ngumu. Pili,tambueni mapungufu,kasoro na udhaifu wenu wa kimfumo mjirekebishe.Tatu,chukeuni hatua kwa mafisadi,viongozi wa ccm majangili,viongozi wa ccm wabakaji,wauza unga,viongozi wauaji,wala rushwa ili kuleta imani na matumaini kwa wananchi.Lakini yasipofanyika haya yote,kaburi lenu liko wazi 2014/2015