Ccm wanapigana na adui wasiomjua.

N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 0
Nashangaa kuwaona ccm wakihangaika na kuiangamiza CHADEMA,naapa kuwa CCM hamtafanikiwa katka hili.Nasema hivyo kwa kuwa mnapigana na adui msiemjua,na kama mnapigana na adui msiemjua kamwe hamuwezi kushinda VITA HII.
Ili ccm mshinde VITA hii ni lazima mmjue adui yenu.Hii vita ccm hamuwezi kushinda kamwe. You can not solve the problem if you are the part of the problem.
Kutokushinda kwenu ni sababu ya kushindwa kumtambua adui yenu,pili kushindwa kutambua udhaifu wenu kimfumo,kitaasisi na kimuundo wa serikali yenu.CCM,adui yenu sio CHADEMA,TLP,CUF au upinzani kwa ujumla wake bali adui wenu ni WANANCHI MLIOSHINDWA KUWALETEA MAENDELEO KWA MUDA WA MIAKA ZAIDI YA 30 KWENYE UTAWALA WA CCM. Hapa msitegemee kushinda,mtatumia nguvu nyingi sana but you wont win at all.
Mnapigana na taasisi na /au mtu asie na hatia,na hamwezi kushinda kamwe kwani huyo sio adui yenu,bali adui yenu yuko kwenye ghala la silaha.Huyu adui si mwingine bali ni MWANANCHI MASKINI ANAYEISHI KATIKA ARDHI HII YA TZ. Kama mtajua huyu adui anataka nini,lini na wapi basi hakuna haja ya kupigna na CHADEMA.
Kama CCM mnaweza kuwaletea wananchi huduma nzuri za elimu,afya,maji na umeme,CHADEMA hawawezi kukosoa wala kupinga serikali yenu. CHADEMA wanachukua UDHAIFU,KASORO NA MAPUNGUFU YENU YA KIMFUMO na kuyajengea hoja na kuyapeleka kwa adui yenu(mwananchi wa kawaida),hapa ndipo UADUI WA CCM NA CHADEMA ndipo unapoanzia.Kama CCM mngekuwa mnawajali,mnawalinda na kuwatimizia ahadi zenu za Maisha Bora kwa Mtanzania kupitia huduma bora za kijamii basi CHADEMA wasingeweza kusema chochote na hii ingekuwa ni kete pekee ya kuua upinzani.Lakini kwa kuwa uwezo wenu wa kufikiri umefikia mwisho,mnapigana bila kumjua aduoi yenu ni nani huku mkishindwa kutambua udhaifu,kasoro na mapungufu yenu ya kimfumo na utendaji,HII VITA NI NGUMU NA KAMWE HAMUWEZI KUSHINDA.
Napenda kuhitimisha kwa kusema hivi,kwanza,ccm msipowaletea wananchi maisha bora hii vita ni ngumu. Pili,tambueni mapungufu,kasoro na udhaifu wenu wa kimfumo mjirekebishe.Tatu,chukeuni hatua kwa mafisadi,viongozi wa ccm majangili,viongozi wa ccm wabakaji,wauza unga,viongozi wauaji,wala rushwa ili kuleta imani na matumaini kwa wananchi.Lakini yasipofanyika haya yote,kaburi lenu liko wazi 2014/2015
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 0
Peoplessssssss
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,935
Points
2,000
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,935 2,000
Wapi ccm wanapigana tatizo lenu bavicha mmezoea ugomvi mnadhani kila mtu anapigana kama nyie.
 
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,819
Points
2,000
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,819 2,000
ccm=chama cha maharamia
 
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
2,430
Points
1,250
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2012
2,430 1,250
Nashangaa kuwaona ccm wakihangaika na kuiangamiza CHADEMA,naapa kuwa CCM hamtafanikiwa katka hili.Nasema hivyo kwa kuwa mnapigana na adui msiemjua,na kama mnapigana na adui msiemjua kamwe hamuwezi kushinda VITA HII.
Ili ccm mshinde VITA hii ni lazima mmjue adui yenu.Hii vita ccm hamuwezi kushinda kamwe. You can not solve the problem if you are the part of the problem.
Kutokushinda kwenu ni sababu ya kushindwa kumtambua adui yenu,pili kushindwa kutambua udhaifu wenu kimfumo,kitaasisi na kimuundo wa serikali yenu.CCM,adui yenu sio CHADEMA,TLP,CUF au upinzani kwa ujumla wake bali adui wenu ni WANANCHI MLIOSHINDWA KUWALETEA MAENDELEO KWA MUDA WA MIAKA ZAIDI YA 30 KWENYE UTAWALA WA CCM. Hapa msitegemee kushinda,mtatumia nguvu nyingi sana but you wont win at all.
Mnapigana na taasisi na /au mtu asie na hatia,na hamwezi kushinda kamwe kwani huyo sio adui yenu,bali adui yenu yuko kwenye ghala la silaha.Huyu adui si mwingine bali ni MWANANCHI MASKINI ANAYEISHI KATIKA ARDHI HII YA TZ. Kama mtajua huyu adui anataka nini,lini na wapi basi hakuna haja ya kupigna na CHADEMA.
Kama CCM mnaweza kuwaletea wananchi huduma nzuri za elimu,afya,maji na umeme,CHADEMA hawawezi kukosoa wala kupinga serikali yenu. CHADEMA wanachukua UDHAIFU,KASORO NA MAPUNGUFU YENU YA KIMFUMO na kuyajengea hoja na kuyapeleka kwa adui yenu(mwananchi wa kawaida),hapa ndipo UADUI WA CCM NA CHADEMA ndipo unapoanzia.Kama CCM mngekuwa mnawajali,mnawalinda na kuwatimizia ahadi zenu za Maisha Bora kwa Mtanzania kupitia huduma bora za kijamii basi CHADEMA wasingeweza kusema chochote na hii ingekuwa ni kete pekee ya kuua upinzani.Lakini kwa kuwa uwezo wenu wa kufikiri umefikia mwisho,mnapigana bila kumjua aduoi yenu ni nani huku mkishindwa kutambua udhaifu,kasoro na mapungufu yenu ya kimfumo na utendaji,HII VITA NI NGUMU NA KAMWE HAMUWEZI KUSHINDA.
Napenda kuhitimisha kwa kusema hivi,kwanza,ccm msipowaletea wananchi maisha bora hii vita ni ngumu. Pili,tambueni mapungufu,kasoro na udhaifu wenu wa kimfumo mjirekebishe.Tatu,chukeuni hatua kwa mafisadi,viongozi wa ccm majangili,viongozi wa ccm wabakaji,wauza unga,viongozi wauaji,wala rushwa ili kuleta imani na matumaini kwa wananchi.Lakini yasipofanyika haya yote,kaburi lenu liko wazi 2014/2015
Badala ya kupambana na maisha magumu yanayowakumba wananchi wake...wao wanapambana na chadema na akina dr slaa.
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 0
Wapi ccm wanapigana tatizo lenu bavicha mmezoea ugomvi mnadhani kila mtu anapigana kama nyie.
umesahau propaganda zenu za udini,ukanda na ukabila,ugaidi na kupandikiza mamluki....wananchi hawali,hawasomi,hawatibiwi naa udini,ukabila wala ukanda au ugaidi.naona siku zinakwenda bila CHADEMA kusambaratika,mtashangaa kuona 2015 inafika bila kuiua chadema siasa zenu za majitaka
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 0
Badala ya kupambana na maisha magumu yanayowakumba wananchi wake...wao wanapambana na chadema na akina dr slaa.
waache waendelee kufanya uji.nga na upu.mbavu kwa kuwa hawamjui adui wao
 
manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,525
Points
1,250
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,525 1,250
Umewapa ukweli ingawaje CCM siku hawana mda wa kujifunza wana mda wa kukusanya hera ya kununua kura. Wao uchaguzi ni biashara.
 
Fungo N.

Fungo N.

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
252
Points
170
Fungo N.

Fungo N.

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
252 170
CCM hawakujiandaa na siasa za ushindani kabisa.,na hicho ndo kinachoitesa ccm,wamehama kwenye siasa za hoja na sera na kwenda kwenda kwenye siasa za chuki na kitoto
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 0
CCM hawakujiandaa na siasa za ushindani kabisa.,na hicho ndo kinaisa,wamehama kwenye siasa za hoja na sera na kwenda kwenda kwenye siasa za chuki na kitoto
mkuu umenena vema,itawacost
 
Forum statistics

Threads 1,324,624
Members 508,740
Posts 32,168,262
Top