Hali ni tofauti unapo waseme ila hapo nyumbani kwenu Hali ni Tete zaidiKatibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi amesema kamsikia mara mbili Tundu Lissu akisema Chadema wapeleke salamu za pole kwa Samia lakini hajamuona Heche kufika Kizimkazi.
"Nimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa mwenza wake. Lakini ajabu, hadi sasa sijamuona Heche kufika Kizimkazi ili kupeleka ujumbe huo wa Mwenyekiti wake TL. Liko tatizo kubwa CDM!!" Ally Hapi.
View attachment 3669894
View attachment 3670135li
halafu wamejaa upepo yani maccm ni mapumbavu kweli.Lissu kawadhihaki tu
Ni bora hali iwe tete nyumbani lakini sio kuungana na wafiraji, wauwaji na matekaji.Hali ni tofauti unapo waseme ila hapo nyumbani kwenu Hali ni Tete zaidi
Lissu Yuko gerezani zaidi ya mwaka na haonani hata na mawakili wake wala mkewe. Wewe uko na uhusiano gani na Lissu Hadi ujue mawazo yake kwamba anakejeli tuu?Lissu kawadhihaki tu
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi amesema kamsikia mara mbili Tundu Lissu akisema Chadema wapeleke salamu za pole kwa Samia lakini hajamuona Heche kufika Kizimkazi.
"Nimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa mwenza wake. Lakini ajabu, hadi sasa sijamuona Heche kufika Kizimkazi ili kupeleka ujumbe huo wa Mwenyekiti wake TL. Liko tatizo kubwa CDM!!" Ally Hapi.
View attachment 3669894
View attachment 3670135
Lissu ni public figure msimamo wake unajulikana hata ukiwa ulaya.Lissu Yuko gerezani zaidi ya mwaka na haonani hata na mawakili wake wala mkewe. Wewe uko na uhusiano gani na Lissu Hadi ujue mawazo yake kwamba anakejeli tuu?
Asante... huu msiba sio wa kitaifa. 👏👏👏 wanataka uonekane wa kitaifa.Mbona hawajamuachia Nchimbi ili kwenda kutoa rambirambi huko Kizimkazi.
Kwa jinsi wanavyolazimisha kuufanya huu msiba kama wa Kitaifa binafsi nawashangaa. Hivi kabla ya Kifo huyo Mme nani alikuwa anamjua. Kabla ya kifo nafikiri ni watu wachache sana wangewea kumtambua bila kuwambia huyo ni nani. Sidhani kama ameshaonekana hadharani na maza zaidi ya mara mbili. Yaani hata safari tu hakuwai kwenda naye ..... hii Eda mimi naona ni njia tu ya kujificha kuepuka kelele.
Lissu kawadhihaki tu