Namsikiliza mbunge wa Busega hapa kwenye kumekucha ITV, ninatapika. Yaani siamini hawa kweli ndio waliosemwa na Bashite, can you imagine, yaani yeye hajui hata kuwa takwimu za mdororo wa elimu hazikutolewa na wapinzani bali utafiti wa kisayansi wa Twaweza, eti anawashangaa wapinzani kubeza elimu bure??????
Can you imagine, eti kwa mara ya kwanza serikali pekee ya awamu ya 5 imepata heshima kubwa nje mpaka wafadhili sasa wanaleta hele? Jamani serikali ya awamu ya tano ilinyimwa na hii ilisemwa kwenye media, na mpaka sasa mpaka world economic forum wameonya, huyu anaongea nini?
Eti ni kwelil biashara zimedorora lakini ni kwa wale wafanyabiashara wasio waaminifu, yeye anamshukuru sana sana sana Magufuli mpaka wazungu nje akisafiri anaulizwa 'who is this Magufuli!!!!
kabisa nimemuelewa Bashe, haya madudu utasimamaje nayo wakati wako busy kuchumia matumbo yao wala hawajui wanafanya nini huko bungeni, ndio nimesikia kumbe na yeye ni Dr. kama wale tunaowaona wakifanya vitu vyao huko serikalini, no wonder, Dr Chigeni aibu yao aibu ya watu wa Busega, na utafia hapo hapo kama unafikiri ndio kick ya kupata uwaziri, sasa anaongea kama waziri wa fedha, hata Mpango pin hajui kama yeye,