CCM wamwandaa Magufuli kwa midahalo!

CCM wamwandaa Magufuli kwa midahalo!

Naamini UKAWA hofu na hiyo midahalo maana vipaumbele vyao viko vizuri na vinagusa nyanja zote muhimu.
 
Yaani, hamjui tu. Tangu Lowassa amehamia CHADEMA amekuwa na utimamu mkubwa wa Mwili na Akili. Subirini huo mdahalo uitwe ndio utamjua yeye ni nani. Na huyo mkariri takwimu najua atatisha lakini bado hana lolote.

Nadhani CHADEMA wote wanatakiwa kupimwa akili zao.
 
Mgombea wa CHADEMA hawezi kuthubutu kuingia kwenye mdahalo piga ua.

Hahaa mkuu .. eti piga ua .. ngoja tuone .. tatizo CUF hawana mgombea wala NCCR .. so wataacha uwanja wazi kwa CCM .. kweli watafungwa magoli asubuhi na mapema..
 
Hahaa mkuu .. eti piga ua .. ngoja tuone .. tatizo CUF hawana mgombea wala NCCR .. so wataacha uwanja wazi kwa CCM .. kweli watafungwa magoli asubuhi na mapema..

Duh! We jamaa huwa unaibuka nyakati za uchaguzi tu.

Bibi yako Hillary anatapatapa tu huko na mi e-mail servers yake teh teh teh.
 
bato;Ndugu kuna mengi yakujiuliza ww mwenyewe hivi huyo Magufuli maswali yatatungwa kabla au atapewa ameze km barabara?
 
Nyenyere; Kinachosangaza comment si zakumtakia na kumtangaza MAGUFULI Tatizo nm? Pls focus on point u will loose a pnt
 
Duh! We jamaa huwa unaibuka nyakati za uchaguzi tu.

Bibi yako Hillary anatapatapa tu huko na mi e-mail servers yake teh teh teh.

We Hillary bibi yako huyo ulikuwa bize unamtetea 2008 umesahau tu mkuu .. sijui uzee unakumendea? Mi mpk leo ni Obama ..
Fanya kosa mwaka huu tena to back the wrong pax kama 2008! Hii ya Ukawa ni ticking bomb wamejivalisha ..
 
Obama is done wewe.

Halafu hivi kumbe wewe ni team magamba eeh?

Shame on you.
 
Obama is done wewe.

Halafu hivi kumbe wewe ni team magamba eeh?

Shame on you.

Mkuu mi siyo team magamba nilikuwa Ukawa fan nikitumaini tutaona things done differently, ila huu upuuzi sivumilii .. kuingia ktk mtego wa CCM kirahisi rahisi hivi? Aibu na laana kubwa!
Ukweli ni kuwa tumepigwa mapema hata filimbi haijapulizwa. Tatizo pesa! Sasa huyu mgombea wa Ukawa wa sasa tulimchambua wote humu na kukubaliana na Mkiti wa Chadema kuwa ni dhaifu ..
 
Katika mdahalo ulioiva itakuwa ni hatua mojawapo ya kumbomoa JPM, eneo hilo haliitaji uwe na takwimu lukuki na wakisimamia sera za vyama vyao, ni dhahiri litakuwa ni jukwaa la ENL kuendelea kusafishwa. Baki hapahapa mpaka baada ya huo mdahalo.
 
Hii ni CCM nyingine. Safari hii wamebanwa kila kona,hasa baada ya Edo kwenda nyumba ya jirani. Kati ya mikakati yao kushinda uchaguzi wa Rais ni kumpiga msasa mgombea wao kwa midahalo ya wazi. J.K alizuiwa kushiriki mdahalo wowote kwa awamu zote mbili. Mr. Ben Mkapa ndiye mgombea pekee wa CCM aliyeshiriki mdahalo wa kupambanishwa na wenzake 1995, na alifanya vizuri Sana. Mwalimu Magufuli anapewa tuition kwenye maeneo mbalimbali,hasa masuala ya kimataifa,pia utimamu wa mwili.
UKAWA wamemwandaaje mgombea wao kwenye mpambano huo.

ukawa hatufanyi midahalo na watu wanaopandishaa twiga kwenye ndege
 
Lowasa hajui kujenga hoja, cdhan kamaa atakubal hii kitu
 
Watanzania wanacho fahamu ni Lowassa tu kwa sasa. Hiyo midahalo haitabadirisha nia , mawazo na maamuzi ya dhati ya kuitoa CCM kama chama tawala Tanzania. Utawadanganya Watanzania na lipi mpaka wakubaliane na upuuzi wa CCM tena. Huko vijijini wala hawajui mdahalo ni nini.
 
Hii ni CCM nyingine. Safari hii wamebanwa kila kona,hasa baada ya Edo kwenda nyumba ya jirani. Kati ya mikakati yao kushinda uchaguzi wa Rais ni kumpiga msasa mgombea wao kwa midahalo ya wazi. J.K alizuiwa kushiriki mdahalo wowote kwa awamu zote mbili. Mr. Ben Mkapa ndiye mgombea pekee wa CCM aliyeshiriki mdahalo wa kupambanishwa na wenzake 1995, na alifanya vizuri Sana. Mwalimu Magufuli anapewa tuition kwenye maeneo mbalimbali,hasa masuala ya kimataifa,pia utimamu wa mwili.
UKAWA wamemwandaaje mgombea wao kwenye mpambano huo.

Sidhani kama Magufuli ni mtu wa kufundishwa kujieleza,uwezo wake upo wazi sawa na Mkapa.Shida ipo kwa Lowassa ambaye ameshuhudiwa kuwa na tatizo kubwa mno katika kujieleza.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mara hii Ukawa/Lowasa hawatakubali kushiriki mdahalo wowote kwani wanajua maswali ya ufisadi atashindwa kuyajibu, pia uwezo wa Lowasa ktk kujieleza ni finyu Afya mbovu hawezi kusimama kwa zaidi ya nusu saa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom