CCM wamsimamishe nani Arusha mjini?

CCM wamsimamishe nani Arusha mjini?

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
Baada ya mahakama kuu kutoa hukumu na kuamuru uchaguzi kurudiwa ndani ya siku 90 swali linakuja je magamba watamsimamisha nani kuweza kukabiliana na CHADEMA..???
wakuu heb tupieni hayo majina hapo tuyajadili..
 
1.James ole Millya-Mkiti wa vijana mkoa wa Arusha na mfuasi wa EL
2.Gaudance Lyimo-Meya wa Arusha ambaye ana mgogoro wa nafasi yake na wananchi.
3.Dk.Hamis Kibola- aligombea mwaka 2010 akashika nafasi ya 3 kura za maoni nyuma ya batilda na felix Mrema ni Mkurugenz wa mfuko wa uwekezaji UTT.
4.Felix Mrema-Mbunge wa zamani.
5.Deo Mtui-Afisa Takukuru mkoa wa kilimanjaro aligomba mwaka 2010.
6.Michael Sekajingo-aligombea 2010.

Ila hao wote sidhan kama wanaweza kuhimikli moto gesi wa CDM hasa kipindi hiki ambacho wimbi a mabadiliko limeshika kasi
 
Kuna watu humu wanamtaja Kinana, sina hakika kama yuko tayari kupata aibu ya uzeeni
 
wengine wanasema makongoro nyerere..huyu nadhan vicent nyerere atamshauri asigombee ili asiaibike..
 
asilimia 100 nina uhakika Mzee Kinana hawezi kugombea hasa wakati huu ambao CCM imwpoteza mvuto wake amejijengea heshima kubwa miongoni mwa watu wa Arusha wakati alipokuwa Mbunge na atastaafua siasa mwaka huu mara baada ya kumaliza kipindi chake ila Makongoro atagomea nilimsahau katika orodha yangu ya awali
 
hivi makongoro nyerere ameacha kutumia kile kinywaji chake maaru gongo au machozi ya simba ?kweli magamba wana wakati mgumu sana.nauhakika kua jimbo ni la chadema japokua pinda atakua amefurahia sana kuondoka kwa kamanda mjengoni
 
Kwa wimbi hili la mabadiliko hata akigombea malaika kwa tiketi ya ccm bado atashindwa kwenye uchaguzi huo!
 
Nadhani wamsimamishe huyo NANI maana nimeangalia CV za wengne wote nimekuta ni ushuzi,ila huyo NANI hajatajwa kabisa!
 
Nyali diwani wa Mbuguni ambaye pia siku za nyuma alikuwa na kashfa ya ujambazi.
 
1.James ole Millya-Mkiti wa vijana mkoa wa Arusha na mfuasi wa EL
2.Gaudance Lyimo-Meya wa Arusha ambaye ana mgogoro wa nafasi yake na wananchi.
3.Dk.Hamis Kibola- aligombea mwaka 2010 akashika nafasi ya 3 kura za maoni nyuma ya batilda na felix Mrema ni Mkurugenz wa mfuko wa uwekezaji UTT.
4.Felix Mrema-Mbunge wa zamani.
5.Deo Mtui-Afisa Takukuru mkoa wa kilimanjaro aligomba mwaka 2010.
6.Michael Sekajingo-aligombea 2010.

Ila hao wote sidhan kama wanaweza kuhimikli moto gesi wa CDM hasa kipindi hiki ambacho wimbi a mabadiliko limeshika kasi

Mi nasema hata wamkodi OBAMA awe mgombea wao na CDM wasimamishe JIWE bado magamba watapigwa chini. Point siyo nani asimame; pointi ni kwamba MAGAMBA HAYACHAGULIKI ARUSHA, PERIOD!
 
Baada ya mahakama kuu kutoa hukumu na kuamuru uchaguzi kurudiwa ndani ya siku 90 swali linakuja je magamba watamsimamisha nani kuweza kukabiliana na CHADEMA..???
wakuu heb tupieni hayo majina hapo tuyajadili..

Marry chatanda
 
1. Salma Jk
2. Mary Chatanda
3. Riz1
4. Elishilia Kaaya
5. Sekajingo
6. Ritz
7. Rejao
8. Radhia Sweety
 
Nyali diwani wa Mbuguni ambaye pia siku za nyuma alikuwa na kashfa ya ujambazi.

anaitwa Justin Nyari.....
hivi Makongoro si alishawahi kuwa mbunge kwa tiketi ya NCCR....? na akatolewa?
 
Wakati CDM tunajianda kuweka jiwe kama ilivyo ada baada ya kutenguliwa kwa ubunge wa Arusha mjini, CCM wamejipanga kuchukua jimbo lao.

Wao wameazimia kuweka almasi ambayo kwa msing ni ngumu kuliko jiwe. Kwa wale waliosoma kemia watakubaliana nami.

Lengo letu la ama kumpandisha Silaha au kumrudisha Lima itakuwa ni njia pekee iliyobaki. CCM hawatafanya kosa hata chenmbe, unajua tena next opportunity when it comes like mkate kutoka mbinguni. Hivyo CDM tusibweteke kwamba hata jiwe wakati wenzetu wanaandaa almasi.

KIDOKEZO: A. Kinana utakumbuka ndiye aliyeifanya Arusha kuwa Arusha hivi leo. Mt. Meru hospitali ni mradi wake na mingine mingi.

Lets wait and see.
 
umetumwa? miradi huwa ni jukumu la serikali, kalale saa hizi inakaribia saa saba we under 18 unangoja nini?
 
Back
Top Bottom