King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,371
- 88,567
Ccm wamsimamishe kinana na cdm waweke gogo,gogo litashinda tu!
umetumwa? miradi huwa ni jukumu la serikali, kalale saa hizi inakaribia saa saba we under 18 unangoja nini?
nawapa challenge ccm japo mie ni mwana ccm..kama wana weza wamsimamishe kijana mwenye busara,hekima na kuielewa siasa kama joshua nasari!!!
tume kichafua wenyewe tutasafisha wenye...ccm sio mbaya,ila baadhi ya watu ndani yake hawaitakii mema nchi!!..hakuna kisicho wezekana ila ni muda unahitajika!!Kijana yupi atakayesimama akitetea sera ya kifisadi Tanzania hii?
Labda atoke ktk zile koo legwa tu!
Na hata nafikiri hata kwenye zile koo kwa sasa hakuna kijana yeyote atakayenadi sera ya mafisadi kwa miaka 50 ya Uhuru!
umetumwa? miradi huwa ni jukumu la serikali, kalale saa hizi inakaribia saa saba we under 18 unangoja nini?
Wakati CDM tunajianda kuweka jiwe kama ilivyo ada baada ya kutenguliwa kwa ubunge wa Arusha mjini, CCM wamejipanga kuchukua jimbo lao.
Wakati CDM tunajianda kuweka jiwe kama ilivyo ada baada ya kutenguliwa kwa ubunge wa Arusha mjini, CCM wamejipanga kuchukua jimbo lao.
Wao wameazimia kuweka almasi ambayo kwa msing ni ngumu kuliko jiwe. Kwa wale waliosoma kemia watakubaliana nami.
Lengo letu la ama kumpandisha Silaha au kumrudisha Lima itakuwa ni njia pekee iliyobaki. CCM hawatafan
ya kosa hata chenmbe, unajua tena next opportunity when it comes like mkate kutoka mbinguni. Hivyo CDM tusibweteke kwamba hata jiwe wakati wenzetu wanaandaa almasi.
KIDOKEZO: A. Kinana utakumbuka ndiye aliyeifanya Arusha kuwa Arusha hivi leo. Mt. Meru hospitali ni mradi wake na mingine mingi.
Lets wait and see.