CCM wamsimamishe nani Arusha mjini?

Kuna mfanyakazi wa Maliasili amekufa wiki 2 zilizopita. Kuna tetesi kuna aliwekewa Sumu ya mamba.

Kisa ishu za ufisadi.

CCM wanafanya kila njia kuhakikisha wanabaki madarakani maana wakitoka tu wanajua wataangamia.

Watu wengine bana, sijui ni mBumbumbu au waoga au sijui hawana information au uvivu wa kufikiri. Ana kaa chini kabisa ana mpendekeza Kinana !!! Aibuuuu
 
Wakati CDM tunajianda kuweka jiwe kama ilivyo ada baada ya kutenguliwa kwa ubunge wa Arusha mjini, CCM wamejipanga kuchukua jimbo lao.

Wao wameazimia kuweka almasi ambayo kwa msing ni ngumu kuliko jiwe. Kwa wale waliosoma kemia watakubaliana nami.

Lengo letu la ama kumpandisha Silaha au kumrudisha Lima itakuwa ni njia pekee iliyobaki. CCM hawatafanya kosa hata chenmbe, unajua tena next opportunity when it comes like mkate kutoka mbinguni. Hivyo CDM tusibweteke kwamba hata jiwe wakati wenzetu wanaandaa almasi.

KIDOKEZO: A. Kinana utakumbuka ndiye aliyeifanya Arusha kuwa Arusha hivi leo. Mt. Meru hospitali ni mradi wake na mingine mingi.

Lets wait and see.
Nakubaliana nawe mkuu.
It's now or never.
CCM tupeni raha hapo Arusha,mahali ambapo pamekuwa jinamizi la chama kwa muda mrefu sasa.
Udhaifu tu,muwekeni Lowassa mbali sana na juhudi za kuiteka tena Arusha.
 
Wana JF,
Sina itikadi ya chama chochote lakini nimekuwa nikifuatilia siasa za Arusha pamoja na za nchi nzima hususan harakati za uraisi wa 2015. Nyuma ya EL katika kugombea uraisi wa 2015 inasemekana kuna nguvu za makundi na watu binafsi. Mtu mmoja wapo ambaye hapati usingizi ktk kuhakikisha EL anakuwa Raisi ni mwanaye Fred Lowasa. Inawezekana naye ana masilahi yake ya kisiasa hapo baadaye, ili kutimiza hilo basi huu ni wakati mwafaka kwake kujipima ubavu kwa kugombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini. Nawasilisha
 
Kama mnamzungumzia Abdurahaman Kinana mnatania, huyu kaiba machine ya kufua nguo ya MT meru hospital na kuiweka kwenye dry cleaner moja hapa Arusha (FALCON)! Kauza loliondo kwa urafiki wake na mjeshi mwenzake wa uarabuni! Mengine mnajua bana mi naishia hapa
 
Tatizo la CCM ni kwamba wako kwenye 'COMA', wamepoteza fahamu. Meru walimpeleka Mkapa wakidhani ni weapon of mass destruction - ikala kwao, wakamleta Lucinde - kaishia kukipa CCM jina la matusi, wakamleta Prof MajI marefu - akishia kulalama. Sasa wanataka kujaribisha Kinana Arusha mjini - kwa usafi gani alio nao huyu bwana?

Ukiwa kwenye coma hata ukijenyea haujitambui, Kinana ananuka kila aina ya uharamia, na ni kwa sababu tu hii nchi inaongozwa na Chama Cha Mwendawazimu (CCM) vinginevyo huyu bwana alitakiwa awe Kisongo - kifungo cha muda mrefu with hard labour.
 
Kama baba kama mtoto. kaona riz1 anapiga mihela naye katamani. peoplez, kamata mwizi men....!
 
Nimependwzwa na mada hizi, kama kuna mtu ana nyaraka kuhusiana na madai hayo atupie kwa jukwaa
 
Acheni kuwakebehi watu wa Arusha ni watu makini sana katika maamuzi kuliko sehemu nyingi sana hapa Tanzania.Wenyewe mmeona jinsi CCM na serikali yake inavyo hangaika na misimamo makini ya Waarusha
 
Kuna mfanyakazi wa Maliasili amekufa wiki 2 zilizopita. Kuna tetesi kuna aliwekewa Sumu ya mamba.

Kisa ishu za ufisadi.

CCM wanafanya kila njia kuhakikisha wanabaki madarakani maana wakitoka tu wanajua wataangamia.

Watu wengine bana, sijui ni mBumbumbu au waoga au sijui hawana information au uvivu wa kufikiri. Ana kaa chini kabisa ana mpendekeza Kinana !!! Aibuuuu
Nyongo ya Mamba mkuu siyo sumu ya mamba. Hiyo ni maji mara moja. Nzuri sana ikitumiwa kwenye pombe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom