CCM wamhusisha Karume na Uamsho

CCM wamhusisha Karume na Uamsho

  • A%20S%20soccer.gif
    la kisigino kwenye madarak kaka

 
Kifo na Uhai wa ccm Zanzibar hauko mbali, hivi sasa vigogo wakongwe na watoto wa waasisi wa ccm Zanzibar wakifanyiwa kashfa na Zarau kama hizi lakini hii yote ni turufu kwa wananchi wa Zanzibar ambao ndio wengi wenye kuwaunga mkono Mh Amani na vigogo wengine.
 
Viongozi wengi wa Africa huwa wanapata busara wakiondoka madarakani
 
Nasikia Mkapa alimpa toti kadhaa za Whisky kabla ya hotuba...........:madgrin::bowl::confused2:
 
Dodoma heckling of Karume by non other than fellow Zanzibaris was the defining moment ,we hit our lowest point as a people as a family. It was shameful, it was disgraceful ,i cannot imagine the glee on faces of our detractors. May be it worth recalling Malcom X speech -message to grassroot, as it has bearing on dodoma shame. He says /instead of us airing our differences in public, we have to realize we are the same family. And when you have a family squable you dont get out on sidewalk. If you do,everybody calls you uncouth,unrefined,uncivilized, a savage. If you dont make it home ,you settle it at home, you get in the closet argue it out behind closed doors and when you come out on the street you pose a common front a united front. End of qoute. A divided house/family will not stand. God bless Zanzibar tuepushe mifarakano.
 
Nkuu nngu007, hakuna wa kumhurumia Karume.
Kalikoroga mwenyewe, kajiunga na uamsho bila kuwashirikisha viongozi wenzake Zanzibar na Bara.
Hata makubaliano yake na Sharrif Hamad ni kazi binafsi ya kwake.

Tunaishukuru JK na CCM kwa kumvumilia mpaka sasa.
Lakini sasa it was sweet revenge na hakuna aliyemuokoa katika mkutano mkuu wa CCM. Kila mtu kamruka, na sasa anaitetea uamsho kama hana akili nzuri.

maamuzi yake na maalim yepi? Kumbuka Zanzibar ilifanywa refferendum.... tuacheni ushabiki na kuangalia haki iko wapi... hata huku states nako kuna majimbo yanataka kuachana na union... je kapigwa mtu? hapana.. kimya kimya wanakusanya signatures kwa ajili ya kupitisha hio petition...

Kama vipi na nyinyi pigeni referendum ya Union muone... Si ndio alivyosema Bomani? Mambo za kutishana na kutukanana yashapitwa na wakati jo!
 
Kwenye uzi kama huu huwezi kumiona Ritz wala zomba kwa sababu na wao ni Uamsho.

"Uamsho byebye" by Nnauye Jr
 
Last edited by a moderator:
Tofauti na utamaduni ambao CCM kimeujenga kwa viongozi wake wakuu, Karume aliendelea kuwa makamu mwenyekiti hata baada ya kustaafu urais wa Zanzibar, hivyo kumlazimisha Dk Shein kusubiri hadi juzi kuchukua nafasi hiyo.

Kwa kawaida, viongozi wa ngazi ya Rais wa Muungano na Zanzibar, baada ya kuondoka katika nafasi zao za uongozi wa nchi, pia huachia madaraka ndani ya chama na kumwachia Rais mpya.[/FONT][/FONT][/SIZE][/COLOR]
[/FONT][/COLOR][/QUOTE]

Nadhani mwandishi kapotosha hapa, au kwa makusudi ili Karume aonekane mbaya zaidi, au kwa bahati mbaya kwasababu ya kutofanya utafiti kidogo.

Karume kaondoka Ikulu Zanzibar November 2010, na tangu kipindi hicho mkutano pekee ambao ungeweza kumpata mrithi wake ni Mkutano Mkuu. Ni sawa na Mkapa alivyomwachia Kikwete 2007 na sio 2005.
 
Nape aliposema uamsho baibai alimaanisha karume!
 
maamuzi yake na maalim yepi? Kumbuka Zanzibar ilifanywa refferendum.... tuacheni ushabiki na kuangalia haki iko wapi... hata huku states nako kuna majimbo yanataka kuachana na union... je kapigwa mtu? hapana.. kimya kimya wanakusanya signatures kwa ajili ya kupitisha hio petition...

Kama vipi na nyinyi pigeni referendum ya Union muone... Si ndio alivyosema Bomani? Mambo za kutishana na kutukanana yashapitwa na wakati jo!
Jamaa yako angeeleweka vizuri alipokuwa madarakani, angeweza kurahisisha makubaliano ya mabadiliko ili yawe ya kistaarabu.
Kilichowaudhi wengi ni kuchoma makanisa na kurarua barabara mchana kweupe.
mabadiliko yanaletwa na vyombo kama baraza a wawakilishi, bunge nakadhalika.
Leo wazenji wakitaka kuvunja muungano ili ibaki Zbar kuwa nchi huru bado wanaweza kufana hivyo.

Fujo, mauaji, matusi na vurugu za kuchoma nyumba za ibada zilizotokea zikaja gundulika kuwa na mkono wa "wakubwa " wenu.

Na huo si ustaarabu.
 
Wote wilomuhusisha Karume na Uhamsho ni wachumia tumbo. Mbona wanaogopa kuwahusisha Mkapa, JK, Lowasa, Chenge na Ufisadi? Kipi kinaiua CCM, uhamsho au Ufisadi?
 
Hata mamake mzazi wakati anaojiwa miezi kadhaa iliyopita alitanabaisha kuunga mkono Uamsho, inaelekea familia nzima ni waasisi wa Uamsho
 
Back
Top Bottom