CCM wamhusisha Karume na Uamsho

CCM wamhusisha Karume na Uamsho

Wazanzibar wote wako pamoja na uamsho kwasababu wanalopigania ni kuleta uhuru zanzibar.hakuna kanisa lilochomwa na uamsho zanzibar.kama lipo nikanisa lipi?anaejiamini aniambie ni kanisa lipi na nisehemu gani.musidanganye jamii kwa kulishwa maneno na vyombo vya habari.
 
kaka kilichotangazwa kimechomwa na zile picha ninini tuambie kilichochomwa tujue huo uongo,mbona kama unajazba hvi
 
Back
Top Bottom