DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Jumla ya vijiji 150 ccm imepita bila kupingwa kwa hila zao lakini pia kwa uzembe wa baadhi ya viongozi wetu. tunaomba chama kitoe tamko katika hili kwani inakatisha tamaa sana.
Mkuu
Inawezekana ushauri wako ni mzuri sana na unatekelezeka. Lakini kama uko katika maeneo ambako hila na uzembe umefanyika na kuipatia ushindi CCM na kukikosesha ushindi 'chama chako' utakuwa hauwatendei haki unaotaka watoe tamko endapo haufafanui hila na uzembe au hautoi taarifa iliyokamilika!
Hata haujasema ni wapi huko!
Kwa sababu ziko hila nyingi Sana hasa kupitia fomu zilizowekwa kimtegomtego (ambiguity) au hila za makusudi tu...
Kwa sababu nakuelewa hapa, basi tunaweza kuwasiliana;
0712 260 280
Watu muhimu kwa kazi wameenda kutalii bunge la ulaya..wengine wanapiga posho operation delete ccm..utapata stroke mkuuJumla ya vijiji 150 ccm imepita bila kupingwa kwa hila zao lakini pia kwa uzembe wa baadhi ya viongozi wetu. tunaomba chama kitoe tamko katika hili kwani inakatisha tamaa sana.
Kuna uzi unasema katibu wa jimbo alikataa kutumia mhuri sahihi wa chama na kuamua kutumia mhuri wake binafsi.
Kwa kufanya hivyo amesababisha kuenguliwa kwa wagombea wote same mjini.
Tunaomba mfuatilie ili kama kuna ushenzi huo,awajibishwe mara moja.
Jumla ya vijiji 150 ccm imepita bila kupingwa kwa hila zao lakini pia kwa uzembe wa baadhi ya viongozi wetu. tunaomba chama kitoe tamko katika hili kwani inakatisha tamaa sana.
Kuna uzi unasema katibu wa jimbo alikataa kutumia mhuri sahihi wa chama na kuamua kutumia mhuri wake binafsi.
Kwa kufanya hivyo amesababisha kuenguliwa kwa wagombea wote same mjini.
Tunaomba mfuatilie ili kama kuna ushenzi huo,awajibishwe mara moja.
Wacha porojo makene..hivi unajitokeza afisa mkubwa kama wewe unatoa madai mepesi kama haya? Fomu za kimtego mtego ndio zipi?,same vijiji 100 vimekwenda na maji shauri ya muhuri tu.mpo bize na matamko na posho za operation delete ccm mnasahai lama huu ndio uchaguzi mzito sana..yale ya chopa tatu kata tatu yanaanza mapemaMkuu
Inawezekana ushauri wako ni mzuri sana na unatekelezeka. Lakini kama uko katika maeneo ambako hila na uzembe umefanyika na kuipatia ushindi CCM na kukikosesha ushindi 'chama chako' utakuwa hauwatendei haki unaotaka watoe tamko endapo haufafanui hila na uzembe au hautoi taarifa iliyokamilika!
Hata haujasema ni wapi huko!
Kwa sababu ziko hila nyingi Sana hasa kupitia fomu zilizowekwa kimtegomtego (ambiguity) au hila za makusudi tu...
Kwa sababu nakuelewa hapa, basi tunaweza kuwasiliana;
0712 260 280
Hivi we makene unaakili kweli eti fomu za mitego kwahiyo nyie chadema mkitegwa lazima mnase tatizo lenu mnawaza namna ya kugawana posho za makao makuu tu mengine hamnashida nayo ngoja kiama kiwashukie.Mkuu
Inawezekana ushauri wako ni mzuri sana na unatekelezeka. Lakini kama uko katika maeneo ambako hila na uzembe umefanyika na kuipatia ushindi CCM na kukikosesha ushindi 'chama chako' utakuwa hauwatendei haki unaotaka watoe tamko endapo haufafanui hila na uzembe au hautoi taarifa iliyokamilika!
Hata haujasema ni wapi huko!
Kwa sababu ziko hila nyingi Sana hasa kupitia fomu zilizowekwa kimtegomtego (ambiguity) au hila za makusudi tu...
Kwa sababu nakuelewa hapa, basi tunaweza kuwasiliana;
0712 260 280
wandugu hii kazi wanayofanya Chadema na vyama vya upinzani siyo nyepesi kwa jinsi mnavyofikiri,ebu chukulia mfano Chadema katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu,ebu angalia responsibilities zake zilivyo kubwa,nafikiri kabla hatujalaumu utuangalia na ugumu wa kazi yenyewe kiundani,kujenga upinzania imara miongoni mwa hao majambazi siyo kazi nyepesi,naomba tuvumiliane kila mtu afanye kadri awezavyo kuleta mabadiliko
Ina maana hiyo mitego mitego mnanasa nyinyi tu, au? Hoja ya msingi hapo ni uzembe wa viongozi wenu; PERIOD!Mkuu
Inawezekana ushauri wako ni mzuri sana na unatekelezeka. Lakini kama uko katika maeneo ambako hila na uzembe umefanyika na kuipatia ushindi CCM na kukikosesha ushindi 'chama chako' utakuwa hauwatendei haki unaotaka watoe tamko endapo haufafanui hila na uzembe au hautoi taarifa iliyokamilika!
Hata haujasema ni wapi huko!
Kwa sababu ziko hila nyingi Sana hasa kupitia fomu zilizowekwa kimtegomtego (ambiguity) au hila za makusudi tu...
Kwa sababu nakuelewa hapa, basi tunaweza kuwasiliana;
0712 260 280
Kwani kazi zote hadi chini anatakiwa kufanya Slaa? Hana wasaidizi? Si kuna makatibu wa mikoa ambao anaweza kuwasiliana nao? Hao makatibu wa mikoa si wanao makatibu wa wilaya? Hao wa wilaya si wana wasaidizi wao hadi kwenye ngazi za tarafa? Hao wa tarafa si wana wasaidizi wao hadi ngazi za kata? Hao wa kata si kuna walio chini yao hadi ngazi za vijiji? Hao wa vijiji si kuna walio chni yao hadi kwenye ngazi za vitongoji na mitaa? Flow of information inatakiwa ku-flow that way kinyume chake ni uzembe tu kwahiyo acheni CCM wafaidike na uzembe wenu!wandugu hii kazi wanayofanya Chadema na vyama vya upinzani siyo nyepesi kwa jinsi mnavyofikiri,ebu chukulia mfano Chadema katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu,ebu angalia responsibilities zake zilivyo kubwa,nafikiri kabla hatujalaumu tuangalia na ugumu wa kazi yenyewe kiundani,kujenga upinzania imara miongoni mwa hao majambazi siyo kazi nyepesi,naomba tuvumiliane kila mtu afanye kadri awezavyo kuleta mabadiliko