Huku kudhalilishwa hadharani kunawakera wengi. Wengine wameamua kumpa kura Lissu kwa kukosa kuthaminiwa utu wao. Unafika kazini kisa kuna mtu ana mamlaka juu yako anaweza kuongea na wewe kwa dharau, kejeli, majivuno na kwa ukali mbele ya wanaokuheshimu.Kwa lugha ya Mhe. Lissu, JPM ni Rais wa kwanza wa ajabu kumpata Tanzania. Yupo sahihi. Ni Rais wa ajabu mno. Uajabu wake ni kutofuata katiba, kutokuwa na busara wala hekima za kiuongozi, kuwa mbabe asiyeshaurika, mdhalilishaji wa hadharani, muonevu, mbadhilifu, nk. Hayo ya kina Doto James na Mayanga Constructions Ltd ni baadhi kati ya mengi yanayoleta kichefuchefu kinachoudhi sana. Tulikosea 2015. Huyu SIYO.
Kwa lugha ya Mhe. Lissu, JPM ni Rais wa kwanza wa ajabu kumpata Tanzania. Yupo sahihi. Ni Rais wa ajabu mno. Uajabu wake ni kutofuata katiba, kutokuwa na busara wala hekima za kiuongozi, kuwa mbabe asiyeshaurika, mdhalilishaji wa hadharani, muonevu, mbadhilifu, nk. Hayo ya kina Doto James na Mayanga Constructions Ltd ni baadhi kati ya mengi yanayoleta kichefuchefu kinachoudhi sana. Tulikosea 2015. Huyu SIYO.
baba yake kajomba hajapewa tenda, nilivyoelewa mimiMtu na mjomba wake.
Mjomba ni rais...
baba yake kajomba hajapewa tenda, nilivyoelewa mimi...
anhaaa, kwa hiyo inawezekana hapa Mama Jessica hakuamua chochote... Okay, tunaweza kumpa benefit of the doubt Mama Jessica kwa sababu anaonekana ni mama wa kumwagilia maua sebuleni na wa jikoni kama ulivyosema.H
apa ninaona Baba Jessica aliona opportunity kwa Mayanga Constructions na aliamua kuitumia. Haya ni maongezi ya wanaume wakati wanawake wakiwa jikoni.
Magumashi ana ubaguzi wa hali ya juu.
° Undugunaizesheni anaongoza yeye.
° Ukabila anaongoza yeye
° Ukanda anaongoza yeye
° Udini anaongoza yeye
° Kuvunja katiba anaongoza yeye
° Ukiukaji wa haki za binadamu anaongoza yeye.
Hata ndani ya chama chake wanamshangaa kwa jinsi asivyoshaurika
Turuuuuuu (in Deonis Mutalemwa's voice)Mama Jeska anakaaga kimya kimya nyuma ya jukwaa kumbe mmmmmh.... Mama Sitti!
Inaonekana the last clean first lady was Maria Nyerere
Behind every successful man there is a strong woman. Ninakumbuka Robert Mugabe alianza kuonyesha tabia za ajabu baada ya mke wake wa kwanza Sally Mugabe kufariki. Wazimbabwe walisema kama Sally angekua hai angemshauri mzee astaafu na wangebaki na heshima kubwa kwenye jamii.baba yake kajomba hajapewa tenda, nilivyoelewa mimi
Mama Jesca ana mdogo wake, ambae kaolewa na Mayanga Construction...
PAMOJA NA HAYO APEWE MUDA MWINGINE TENA AMALIZIE KAZIMagumashi ana ubaguzi wa hali ya juu.
° Undugunaizesheni anaongoza yeye.
° Ukabila anaongoza yeye
° Ukanda anaongoza yeye
° Udini anaongoza yeye
° Kuvunja katiba anaongoza yeye
° Ukiukaji wa haki za binadamu anaongoza yeye.
Hata ndani ya chama chake wanamshangaa kwa jinsi asivyoshaurika
Atamalizia The Hague usijaliPAMOJA NA HAYO APEWE MUDA MWINGINE TENA AMALIZIE KAZI
TUTATANGAZA USHINDI WETU MNONO NA HATA MKIANDAMANA HATUWAPIGI NGOO MTATEMBEA WEE MWISHONI MTALALA KIMYA LENGO LENU TUNALIJUA TUWAPIGE ILI MPATE CHANZO SASA TUMESTAHARABIKA CHOMBO CHETU NI CHA KISASA VIJANA WAMESOMA JUST LIKE SWITSERLANDAtamalizia The Hague usijali
CCM Chama Cha Mazezeta.., Sina Cha kujifunza kutoka kwakoTUTATANGAZA USHINDI WETU MNONO NA HATA MKIANDAMANA HATUWAPIGI NGOO MTATEMBEA WEE MWISHONI MTALALA KIMYA LENGO LENU TUNALIJUA TUWAPIGE ILI MPATE CHANZO SASA TUMESTAHARABIKA
Uwezo wa kushinda hawanaTUTATANGAZA USHINDI WETU MNONO NA HATA MKIANDAMANA HATUWAPIGI NGOO MTATEMBEA WEE MWISHONI MTALALA KIMYA LENGO LENU TUNALIJUA TUWAPIGE ILI MPATE CHANZO SASA TUMESTAHARABIKA CHOMBO CHETU NI CHA KISASA VIJANA WAMESOMA JUST LIKE SWITSERLAND