CCM Wameishika CHADEMA PABAYA...

CCM Wameishika CHADEMA PABAYA...

Kama kuna kitu wanajidanganya ccm ni habari kama hizi.. kwanza Mukama anasema ccm ndicho chama pekee kinachoweza kusimamia rasilimali za nchi (ikiwapo migodi inayowaaibisha kila wapitapo) kwanini habari hizi hazisikiki katika magazeti yale makini? Kama lengo ni kupata umaarufu kupitia vyombo vya habari wajue wamechelewa, wakati wake ulishapita sasa tunataka vitendo na kisha umaarufu utafuata
 
Hii cha cha mafisadi mbona km hawaoni kama wameshatitia (Didimia) kbs. Ama wanakamilisha ule usemi "MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA"kwisha hbr yao kote Inchini
 
Teh teh teh :dance::dance:, aliyepost hii inshu yaonekana amewashika pabaya wana cdm hata humu JF pia! Jamani kama uwezo wa kwenda Samunge hamna bora mshushe presha, mtaja kufwa bure!
 
mrema alikuwa akijaza watu kwenye mikutano yake...ulipofika wakati wa kura na matokeo akasema kaibiwa kura
 
attachment.php


Hapo vipi?
 
Sio kuwauzia habari naona ni bora kuangalia what your enemies wanafanya nini, siishi Tanzania ninasoma online na nikiona habari ni nzuri kujadiliwa naipost sababu kuwa bora ni kuangalia wapinzani wako wanafanya nini kizuri au kibaya, na kama unaona ni vibaya wewe sio Mwanasiasa Mzuri hapa US wanafuatilia kila jambo kuona wapinzani wao wanafanya nini always sio kuangalia Mazuri tu;

INA MAANA DEMOCRASIA YETU NI FUNYU NI KUSIKILIZA MAZURI TUU?
Tunakushukuru kwa hii habari yako ya kibara bunda.
 
humongous crap ever!! ccm is a rotten bread that is about to be forgotten downunder!
 
Teh teh teh :dance::dance:, aliyepost hii inshu yaonekana amewashika pabaya wana cdm hata humu JF pia! Jamani kama uwezo wa kwenda Samunge hamna bora mshushe presha, mtaja kufwa bure!

Tunachotaka si malumbano na Chadema. Tafadhali timiza ahadi mlizotupatia kutupa maisha bora. full stop hiyo ndiyo hoja itakayowadhoofisha CHADEMA
 
nape amefurahi kweli kuwashika pabaya chadema
wewe na huyo nape wote akili kidogo sana, ccm ndio chama kinachoongoza serikali wanapaswa watuambie wamefanya nini kwa mda wote wiliyoongaza nchi hii sio kutuletea porojo hapa eti wamevuna watu, shit wamevuna kutoka wapi, pelekeni propaganda zenu kwenye sehemu muafaka na zitawaghalimu sana,
leo mnageuka badala ya kusema mmefanya nini mnakaa cdm wakifanya mikutano na nyie magamba mnafanya bila aibu kagazeti ka kijana wa kikwete jambo leo kanaandika asubuhi ccm waijibu cdm ujinga mtupu, chama tawala kama mnavyojiita wambie wtz mmewafanyia nini kwa miaka 50 ya uhuru wa nchi hii, ni kupiga wakurya risasi kwenye mgodi wa nyamongo kulinda dhahabu ya mzungu? Ni kukosa umeme wa uhakika? Ni bei za bidhaa kupanda maradufu? Ni elimu kushuka vibaya ni wakina mama hospital kulala watatu kwenye vitanda? Au ni ufisadi? I hate you ccm.
 
Baada ya kuona kuwa ni gazeti la uhuru wala sijasoma huo uchafu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom