CCM walibadilishwa na kardinali pengo - serikali 2

Status
Not open for further replies.
Tukianza vita vya kidini humu tutaharibu jukwaa letu na Amani ya nchi yetu. Tujitahidi kuweka siasa mbali na dini.
 
Hiyo naweza kuamini name huyu pengo Kama machafuko yakitokea bungeni atahusika kwa kiasi kikubwa Sana
 
Wewe ni mchochezi nambari moja... Hapa unathibitisha unafiki wako. Thibitisha hilo unalolisema hasa uhusika wa kanisa Katoliki... Au na wewe unatafuta umaarufu kwa kuvua nguo ulizovaa mbele za watu.
 
Dini ni sehemu ya utawala wandugu,taasisi isiyo na manufaa na utawala huwa haidumu asilani!!!!!

Uwepo wa dini yoyote ile ujue maslahi ya utawala yanatimia!!!!!

Wala msishangae na kubisha saaana yawezekana kabisa ila ni vipi, wapi, lini yaweza kuwa maswali ila fact kwamba dini zote ni sehemu ya utawala ukibisha hili basi bado hujaelimika na unaongozwa na imani zaid kuliko fikra!!!!!
 
Mimi ni mkristo mkatoliki nalijua kanisa langu kwa undani kabisa. Masimamo wa kuipinga tume ya WARIOBA ni shinikizo la KARDINALI Pengo kwa maslahi ya kanisa katoliki huko Zanzibar. Ni kweli matukio mabaya yamefanyika na serikali ya CCM kushindwa kuyashughulikia na hata kutoa majibu. Kumekuwa na juhudi ZA kuidhibiti zaidi Zanzibar. Tukumbuke JK alishawambia CCM wajiandae kisaikolojia kupokea serikali 3 na kusaini rasimu zote. Mnajiuliza maswali nini kimetokea na Watu kubadilika ghafla hata wale waliokuja pamoja mfano wajumbe wenye nguvu wa Zanzibar ? Nawapa jibu hapo. Binafsi nimewaelimisha viongozi wangu wa dini falsafa ya ukristu ya kwenda pole pole kama alivyoshauri Gamaliel kwenye kitabu cha matendo ya mitume. Kuikandamiza Zanzibar sio kuimarisha ukristu . Kama alivyolia LYatonga MRema 2005 kwa KIlaini na Mimi nalia Leo kwa Askofu wangu KARDINALI Pengo. Umeiharibu Tanzania. Amani kwanza serikali baadae.

Mkuu huijui katoliki wewe,sema wewe ni muumini wa muda mrefu tu.
 
Amani ya Tanzania imeshikiliwa na watu dhaifu tena wenye mapenzi na nchi yao{waislam} ila siku watakapochoka kukandamizwa huku nahisi ndio mwisho wa amani ya Tanzania,kwan ngoma ikilia sana mwisho wake mbaya
 
Wewe ni mchochezi nambari moja... Hapa unathibitisha unafiki wako. Thibitisha hilo unalolisema hasa uhusika wa kanisa Katoliki...
Kanisa Katoliki lenyewe linasemaje kuhusu tuhuma hizi?
Kimyaa...
 
Kanisa Katoliki lenyewe linasemaje kuhusu tuhuma hizi?
Kimyaa...

Msipende kuchochea chuki ambazo hazipo kabisa.... Mnapokuwa mna jambo la kulishughulikia lazima muwe na focus..... Hapa tunazungumzia Zanzibar na Tanganyika na Serikali ya muungano. Sasa Kanisa Katoliki linahusikaje? Wakati mwingine sio lazima ukiongea ujinga sio lazima watu wakujibu.... Endeleeni kufundishana Kun-fu..... Labda Mungu atawaona. Lakini kwa wenye busara sio ishara nzuri.
 
Niliisha wahi kusema humu wakati wa sikukuu ya Christmas mwaka jana. Askofu wa kanisa katoliki la Geita aliipinga rasimu hii kwa muundo wa serikali tatu. Mwenyekiti wa bunge maalum kaonana nae eti kumweleza yanayoendelea ndani ya bunge kana kwamba yeye askofu Pengo hana vyanzo vya habari vya kumpa. Wanaopinga wapinge tu kwa dhana ya kupinga ila ukweli ndio huo. Lyatonga kasema haya na sasa anaandaliwa mafao yake kana kwamba kastaafu uwaziri jana tu.
 
Wenye macho na fikra watanzania ukweli , wewe ng'ang'ania upofu. Amani kwanza dini na serikali baadae

Kwahiyo serikali 2 au tatu.. ipi italeta amani anayoitaki Pengo? mbona ndani ya serikali 2 amani imetoweka zanziber..hadi padri kupigwa risasi..uko zanziber..
 
Mimi ni mkristo mkatoliki nalijua kanisa langu kwa undani kabisa. Masimamo wa kuipinga tume ya WARIOBA ni shinikizo la KARDINALI Pengo kwa maslahi ya kanisa katoliki huko Zanzibar. Ni kweli matukio mabaya yamefanyika na serikali ya CCM kushindwa kuyashughulikia na hata kutoa majibu. Kumekuwa na juhudi ZA kuidhibiti zaidi Zanzibar. Tukumbuke JK alishawambia CCM wajiandae kisaikolojia kupokea serikali 3 na kusaini rasimu zote. Mnajiuliza maswali nini kimetokea na Watu kubadilika ghafla hata wale waliokuja pamoja mfano wajumbe wenye nguvu wa Zanzibar ? Nawapa jibu hapo. Binafsi nimewaelimisha viongozi wangu wa dini falsafa ya ukristu ya kwenda pole pole kama alivyoshauri Gamaliel kwenye kitabu cha matendo ya mitume. Kuikandamiza Zanzibar sio kuimarisha ukristu . Kama alivyolia LYatonga MRema 2005 kwa KIlaini na Mimi nalia Leo kwa Askofu wangu KARDINALI Pengo. Umeiharibu Tanzania. Amani kwanza serikali baadae.

Je, pengo ni nani hasa ndani ya ccm na nchi hii, inamaanisha Pengo anasauti kuu kuliko tume ya Warioba?
 
Mtatafuta majibu ya kutetea Imani hasa katoliki na sio hoja. Mimi ni mkatoliki kuliko wote mnaobwabwaja hapa nasali misa ya kwanza udsm Mara nyingi huongozwa na Fr. Henry RImisho. Na. Paroko wangu monsinyori Mbiku mpo hapo. Narudi kwenye hoja. Rwanda ilianzaje hivi hivi. Waliosema wakasema wakapuuzwa nilijua na haya pia. Mlimsikia mufti baada ya rasimu kuwa tayari kwenda bungeni akasema anapendekeza serikali ngapi? Acheni Mahaba ya Imani mkasahau shina la imani ni Amani. Mmoja hapo juu Hajui kristo na kristu yote ni ya Kiswahili yanatokana na Neno Christ iliyotakana na Neno christos la kigiriki maana yake annointed. Naifahamu dini yangu na misingi yake. Tusitetee hapa Imani Bali Amani.
Unasema wewe ni MKATOLIKI au lakin huenda wewe ni "MKATO" tu. Kama mkatoliki unajua kama 'kudhania bure' ni kosa kwa imani ya kikatoliki? Kama unajua umechukukua hatua gani? Kama hujui na hujachukua hatua wewe ni MKATO tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom