OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Je, pengo ni nani hasa ndani ya ccm na nchi hii, inamaanisha Pengo anasauti kuu kuliko tume ya Warioba?
Kama hili nalo unahitaji kujibiwa basi mjadala huu ni mkubwa sana kwako!!!!
Je, pengo ni nani hasa ndani ya ccm na nchi hii, inamaanisha Pengo anasauti kuu kuliko tume ya Warioba?
Katavi, kuna moja kati ya haya mawili; huenda wewe ndiye mwenye upumbavu au umekurupuka bila kuelewa the logic behind my comment
Kama hili nalo unahitaji kujibiwa basi mjadala huu ni mkubwa sana kwako!!!!
Kanisa Katoliki lenyewe linasemaje kuhusu tuhuma hizi?
Kimyaa...
Ukubwa wa mjadala inamaanisha haujibiki au ? Nimeomba ufafanuzi wa namna kadinali Pengo alivyoibadili Ccm !
Yanmkini hapo kuna ukweli. Binafsi sikufulahishwa na kuweka wazi msimamo wake. Na kwa kuwa yeye ni kiongozi mkuu wa dini na dini kubwa, kama ilivyo sentesi inayotolewa na Mh Rahis mahali popote pale haijalishi ni mahali gani, kichama au serikali, inachukuliwa kama agizo kwa watu walioko chini yake. Kwa mantiki hiyo hiyo na kwa vyovyote vile tamko la Kadinali Pengo na lilivyotangazwa na vituo mbali mbali vya habari, msimamo wake yamkini ulitafsiriwa na serikali kama ni tamko la kanisa.
Wameishwa hao...
Pengo nae aachane na
mambo ya siasa bhana yeye ni chanzo.kama ameshindwa kuchunga mapadre
wake aende zake huko kwao.mimi nimkatoliki pure.
kweli bana nani alimtuma huyu pengo kuwa wakristo wanataka serikali 2 aache mambo yake
Mtali.Msipende kuchochea chuki ambazo hazipo kabisa.... Mnapokuwa mna jambo la kulishughulikia lazima muwe na focus..... Hapa tunazungumzia Zanzibar na Tanganyika na Serikali ya muungano.
wakati mwingine kanisa huwa linapewa nguvu ambayo halina
[h=2]Askofu Kakobe kuzungumzia muundo wa Muungano katika Neno la Pasaka 20.4.14[/h]Mimi ni mkristo mkatoliki nalijua kanisa langu kwa undani kabisa. Masimamo wa kuipinga tume ya WARIOBA ni shinikizo la KARDINALI Pengo kwa maslahi ya kanisa katoliki huko Zanzibar. Ni kweli matukio mabaya yamefanyika na serikali ya CCM kushindwa kuyashughulikia na hata kutoa majibu. Kumekuwa na juhudi ZA kuidhibiti zaidi Zanzibar. Tukumbuke JK alishawambia CCM wajiandae kisaikolojia kupokea serikali 3 na kusaini rasimu zote. Mnajiuliza maswali nini kimetokea na Watu kubadilika ghafla hata wale waliokuja pamoja mfano wajumbe wenye nguvu wa Zanzibar ? Nawapa jibu hapo. Binafsi nimewaelimisha viongozi wangu wa dini falsafa ya ukristu ya kwenda pole pole kama alivyoshauri Gamaliel kwenye kitabu cha matendo ya mitume. Kuikandamiza Zanzibar sio kuimarisha ukristu . Kama alivyolia LYatonga MRema 2005 kwa KIlaini na Mimi nalia Leo kwa Askofu wangu KARDINALI Pengo. Umeiharibu Tanzania. Amani kwanza serikali baadae.
Huyu kiongozi wetu anakurupuka sana alikuwa wapi kutoa maoni kwa warioba?