CCM walibadilishwa na kardinali pengo - serikali 2

CCM walibadilishwa na kardinali pengo - serikali 2

Status
Not open for further replies.
Arudishwe kwao kama alivyomrudisha Kilaini kwa BK kuwa askofu msaidizi. Baada ya kushabikia siasa

Thumb up.tumemchoka bana kanisa anataka kuligawa huyu pengo.awe makini hii katiba ni vita ya watawala dhidi ya watawaliwa na watawaliwa wanataka kuwapa maelekezo watakao watawala sasa watawala wameshituka sasa ni vita.kiongozi wa dini kama yeye hakupaswa kuside kabisa na nakwambia leo yesu ameteswa msalabani na kufa, pengo nae kauli yake inamtesa ila yeye hafi bali anateseka zaidi.
 
Wakatolic ni ma empire makubwa. Mambo ya ujasus wanayajua sana. Hiyo ndo sera yao. Mm ni mkristu nawajua sana. Hilo linalosemwa lipo ndo mana wenzetu waisilamu kila ckuhulia na mfumo kristo. Na hii itakuwa ivo daima. Mfumo kristo ndo upodunian nw so ni kweli lisemwalo.

wewe na mtoa mada ni wanafiki mnaojifanya wakristu kwa sababu binafsi;
 
Wewe unataka kutufanya watanzania ni wafu ama hatuwezi kufikiri hata kidogo. Hivi unaweza kukurupuka ulipo ukaja na umbea kama huu hapa hata kama umeota tukaamini tuu from no where. Jaman Mungu alitupa akili tuzitumieni, mtu hawez kuota ndoto zake kisha kaleta hapa nasi tukaanza kumchangia. Kama una hakika na maneno yako jipange uje vizuri na facts sio blaa blaa
 
Naendelea. Kuwathibitishia Mimi ni mkatoliki safi enyi mnaofuata mkumbo kanisani hasa kwetu katoliki. Zamani tuliaminishwa kuwa padri hajambi Wala kwenda haja, naona wengi bado wapo huko kufikiri Kardninali hakosei. Leo nimesali Ibada ya ijumaa kuu kanisa la bikira Maria wa Fatima MSimbazi. Imeongozwa na Askofu mdoe na padri Mark Begaya.acheni unafiki kemeeni viongozi wa dini wanapoteza umakini. Nauliza nani alimsikia mufti akasema anataka serikali ngapi hasa baadaya rasimu ya pIli kutolewa? Mnajua kwa nini pengo alitamka Hayo. Haraka haraka? Hamko karibu na kanisa na TEC mnangojea kuletewa tu kwenye mimbari na altare na nyie mnayameza. Take ma words CCM wamegeuzwa.
 
Mimi ni mkristo mkatoliki nalijua kanisa langu kwa undani kabisa. Masimamo wa kuipinga tume ya WARIOBA ni shinikizo la KARDINALI Pengo kwa maslahi ya kanisa katoliki huko Zanzibar. Ni kweli matukio mabaya yamefanyika na serikali ya CCM kushindwa kuyashughulikia na hata kutoa majibu. Kumekuwa na juhudi ZA kuidhibiti zaidi Zanzibar. Tukumbuke JK alishawambia CCM wajiandae kisaikolojia kupokea serikali 3 na kusaini rasimu zote. Mnajiuliza maswali nini kimetokea na Watu kubadilika ghafla hata wale waliokuja pamoja mfano wajumbe wenye nguvu wa Zanzibar ? Nawapa jibu hapo. Binafsi nimewaelimisha viongozi wangu wa dini falsafa ya ukristu ya kwenda pole pole kama alivyoshauri Gamaliel kwenye kitabu cha matendo ya mitume. Kuikandamiza Zanzibar sio kuimarisha ukristu . Kama alivyolia LYatonga MRema 2005 kwa KIlaini na Mimi nalia Leo kwa Askofu wangu KARDINALI Pengo. Umeiharibu Tanzania. Amani kwanza serikali baadae.

Tuyatafakari haya, mimi tetesi hizi niliwahi kuzisikia inawezekana JK alìitwa na Kardinali kukumbushwa mkataba wa serikali na kanisa. Ambapo moja ya kipengele ni kudhibiti uislamu na kujitahidi kuvunja maadili ya Kizanzibari.Jiulize kwa nini Tanganyika inangangania Muungano sababu ni hizo nilizozitaja hapo juu kwani Znz hakuna utajiri wowote ulinganisha na Bara.Kwa hivyo kanisa ni lazima lishawishi na litetee serikali 2.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom