MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,083
- 15,019
Yule jamaa wa ToT amekwenda kujifungua nini? Kwani leo ToT hawapo?
Hapo kwenye rangi za magamba, kumenifanya nipaliwe!! Kumbe inawezekana ilikuwa ni ujauzito ule.
Yule jamaa wa ToT amekwenda kujifungua nini? Kwani leo ToT hawapo?
Yule jamaa wa ToT amekwenda kujifungua nini? Kwani leo ToT hawapo?
CCM ikishinda Arumeru Mashariki natembea uchi toka Jamatini hapa Dodoma mpaka Kisasa via Soko kuu la mkoa.Wana jf nipo hapa nkoamansa watu hawajaja kabisa kwani hakuna watu hata 50 jamani hali ni hatari sina camera mngeona
Wana jf nipo hapa nkoamansa watu hawajaja kabisa kwani hakuna watu hata 50 jamani hali ni hatari sina camera mngeona
Acha kupiga yowe hapa funguka kiukweli CCM leo imefunika mbaya kwani mgombea wake amepokelewa kwa maandamano na shwangwe kubwa kutoka wakazi wa sehem hiyo huku wakiimba Chadema tuacheni na CCM yetu nendeni na vurugu zenu.
Wana jf nipo hapa nkoamansa watu hawajaja kabisa kwani hakuna watu hata 50 jamani hali ni hatari sina camera mngeona
Ngoja tumsubiri Nape aje kujibu. lakini hizi taarifa jitahidini kuzibalance, na CHADEMA wakikosa watu pia muwe mnatuambia. Msilete za upande mmoja tu. Hata hivyo muda bado, labda watakuja baadaye kidogo.

Naam!! nakutunuku shahada 1 ya ushabiki na 2 za uzushi! kuanzia sasa jina lako linaanza na prefix Dr ( wa uzushi na uzandiki)