Elections 2010 CCM Wajiingiza Mkenge: Chadema Wawasilisha List of Shame NEC

Kinachofanyika sasa ni mbinu za wanausalama wa CCM kujitahidi kuifanya ishu ya mafisadi na ufisadi iwe ya kawaida mno.
ndo maana wanafanya kila mbinu kukwepa mimbari za mahakama lakini wakijenga uelewa kwa wananchi kuwa is a normal thing kuwa fisadi.
CHADEMA peleka hii mutu mahakamani
 
Back
Top Bottom