wewe ndio ulikuwa moderator wa jf ?
Walimchambisha akiwa anaendelea kunya....
wewe ndio ulikuwa moderator wa jf ?
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le Mutuz
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le Mutuz
hapa ndio wanaccm tunaonekana wajinga na mambumbumbu, hii kitu iko wazi kuwa lisu atashinda labda tu gharama itapunguzwa kidogo- labda ailipe familia ya mwalimu kwa kumtukana baba wa taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le mutuz
wewe toka waku kameruni basi na akili yako imehamia makalioni mtu mzima hovyooooooooooooo ndio maana umezeeka bila familia ndumku kweli wewe
uzito wako unapungua kaka
hapa ndio wanaccm tunaonekana wajinga na mambumbumbu, hii kitu iko wazi kuwa lisu atashinda labda tu gharama itapunguzwa kidogo
le mutuz kulikuwa hamna haja ya kucomment kwenye huu uzi ujinga kama huu ambao unaonekana wazi una ufurukutwa ndani yake, ccm tunaiuwa wenyewe, hakuna mwananchi anaichukia ccm, ni viongozi ndio tunaiua kwa mawazi ya kijinga kama haya
Hivi wewe huwa huna muda wa kulijenga taifa?- Ingekuwa kweli usingekuja kujibu hapa le mburulazzz wewe hjahahahahahahahah
Le Mutuz
- CCM inayokufa labda yako wewe mkuu kwani iliyoshinda Kalenga ni CCM ipi mkuu hawa ni lazima waambie na wapewe za uso Lissu ailipe Familia ya MWalimu kwa kumtukana bila sababu tena marehemu

\Chale ulizochanjwa mfano wa TATOO kwenye makalio ndio zinakusumbua sio bure. Na ukileta za kuleta naweka photo.
Hivi wewe huwa huna muda wa kulijenga taifa?
mama kilango anamlia timing john mafao ya uzeeni asepe kwa dogodogo
Chale ulizochanjwa mfano wa TATOO kwenye makalio ndio zinakusumbua sio bure. Na ukileta za kuleta naweka photo.
- Ingekuwa kweli usingekuja kujibu hapa le mburulazzz wewe hjahahahahahahahah
Le Mutuz

- Kumbe ndio maana uko hivyo ndivyo walivyokufanyia mtumzima hivi huoni unajisema mwenyewe kwamba umeharibiwa bila hata kuulizwa masikini wa Mungu pole sana U know hahahahahahahaha
Le Mutuz
LE MUTUZ aisee bado una bropaganda za kizamani sana,hayo ya kumtukana baba wa taifa yalikuwa ni upepo tu na yalishapit..wake up comrade we are in another decade..achana na siasa za kizushi wote tuliangalia hotuba ya lisu na hata yu tube ipo..waliozoea vya kunyonga kama wewe na familia yenu hamuwezi vya kuchinja..waliozoea uongo na cheap politics si rahisi ku adopt siasa za kileo...pole sana mzee mzima le mutuz- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le Mutuz
Ah kumbe upo, shikamoo baba!- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!