CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

- Si katangulia mwenyewe Sheria hajui Zitto kampiga mahakamani, Rais kamtwanga kama mtoto aibu tupu labda atulipe Taifa kwa kumtukana Baba wa Taifa tena maskini ya Mungu marehemu bila sababu ya msingi U know

Le Mutuz
mm nilikuwa nakuonaga mtu wa kushehemiwa sana kumbe wewe ni wale vichaa waliopo ccm wasiojitambui kabisa ntaanza kukupuuzia kuanzia leo zitto ameingiaje kwenye hii thread CCM NI JANGA LA TAIFA
 
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!

Le Mutuz

Wewe nawe una lako jambo,sa,madai ya gharama ya kesi,na kuzungumza ukweli kuhusu mtu fulani wapi na wap,kuna mizania hapo mkuu
 
maccm yamezoea kukulupuka tu mwaka huu mtajuta kumjua kamanda lisu
ona sasa na hili zee zima hata halijui hoja nini linakulupuka tu nyinyi kama mngekua mnamheshim nyerere mngemchagua kikwete kua m/kiti wakati nyenyere alikua amemtosa!
 
- Si katangulia mwenyewe Sheria hajui Zitto kampiga mahakamani, Rais kamtwanga kama mtoto aibu tupu labda atulipe Taifa kwa kumtukana Baba wa Taifa tena maskini ya Mungu marehemu bila sababu ya msingi U know

Le Mutuz

Yaani pesa alizotuibia mzee wako akiwa madarakani umehonga na Kula vibaya unataka na Lisu akupe? Utazeeka zaidi ukizingojea,Lisu ni zaidi ya Mchongoma
 
hatalibwa maana cdm nao walipinga wabunge wa ccm na wakqshinda kesi so ngoma ndroo
 
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!

Le Mutuz

Sasa nimeamini ukubwa wa mwili unaweza athiri uwezo wa akili. Le mutuz le big show. Le big matatizo
 
- Busara ya kumtukana baba wa taifa sina upo sawa maana sijawahi kuona mtumzima na akili timamu anatukana Marehemu ambaye hawezi kujibu,

Le Mutuz
Sheria za nchi kumtukana baba wa taifa zinasemaje?
 
maccm yamezoea kukulupuka tu mwaka huu mtajuta kumjua kamanda lisu
ona sasa na hili zee zima hata halijui hoja nini linakulupuka tu nyinyi kama mngekua mnamheshim nyerere mngemchagua kikwete kua m/kiti wakati nyenyere alikua amemtosa!

- Lisu amemtukana sana baba wa Taifa kuwa ni muongo hakuna hati ya Muungano kumbe ipo hafai kabisa

Le Mutuz
 
Kesi ya Lissu hukumu Septemba 30 Kesi ya madai ya gharama za uchaguzi anayodai Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu(chadema), inatarajiwa kutolewa hukumu Septemba 30 mwaka huu. Katika kesi hiyo namba 11 ya 2013, Lissu anadai gharama za uchaguzi za uendeshaji kesi katika Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani ambazo alishinda na kubaki na ubunge wake.

Lissu anadai Sh. milioni 79 ikiwa ni gharama za kesi ya uchaguzi aliyofunguliwa na Shaban Selema na Paschal Halu waliopinga ushindi wa ubunge wake. Baada ya kushinda kesi ya ubunge, Lissu aliiomba mahakama aweze kulipwa fedha hizo. Kesi hiyo ilisikilizwa Jana mbele ya Msajili wa Mahakama Kuu ya Dodoma, Rutatinisigwa, huku mdaiwa wa pili, Halu akiwakilishwa na wakili wa utetezi Geofrey Wasonga ambaye anapinga madai hayo na kusema njia iliyotumika si sahihi kulingana na viambatanisho vilivyowasilishwa mahakamani kughushiwa.

Hali hiyo ilimlazimu Lissu kumuomba Msajili kumueleza Wasonga kuongeza kitu kipya kutokana na hoja zake kujibishana kwa maandishi kama walivyoelekezwa na mahakama.

Hii kesi haikufunguliwa na CCM, sasa iweje madai yaende kwa Chama hicho?
 
- Si katangulia mwenyewe Sheria hajui Zitto kampiga mahakamani, Rais kamtwanga kama mtoto aibu tupu labda atulipe Taifa kwa kumtukana Baba wa Taifa tena maskini ya Mungu marehemu bila sababu ya msingi U knowLe Mutuz
Mtaipata na lazima awanyoshe tu
 
Huyu mzee hajawahi kuwa na point hata siku moja. Wenzake wakizeeka huwa na Busara lakini kwa huyu mwenzetu ni kinyume chake.
mkuu nani kakuambia huyo ni mzee,hilo ni kubwa jingaz mwenyewe anajiita kijana handsome,mtu wa totoz wakareeeez.Huyu naye anastahili kuingia kwenye maajabu ya dunia
 
mm nilikuwa nakuonaga mtu wa kushehemiwa sana kumbe wewe ni wale vichaa waliopo ccm wasiojitambui kabisa ntaanza kukupuuzia kuanzia leo zitto ameingiaje kwenye hii thread CCM NI JANGA LA TAIFA

umeona eh,vichwa maji hawa
 
Ccm wanafikiria kwa kutumia masaburi ona hili zee zima sijui linaongea nn au ndio msongo wa mawazi
 
Back
Top Bottom