CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

Tundu lissu a.k.a CR7 hawamuwezi hata kwa dawa lazima awagalagaze hao magamba na kuchukua huo mpunga watakoma hao mafani wa kijani
 
Hii kesi haikufunguliwa na CCM, sasa iweje madai yaende kwa Chama hicho?

Mkuu wale waliotumwa wakafungue na kupewa per diem na lawyer sasa wamekabwa na tayari hata mahakamani hawaendi na chama kimewatosa ni kwamba watashindwa na kuamriwa kulipa gharama na mwisho wa siku ni kupigwa mnada makazi na vibanda vyao kama hamtowalipia
 
huyu mtoto wa malecela naona kidogo ni mpungufu wa akili, mwili na utendaji kazi wa akili yake havilingani kabisa. kubwa jinga hiloooo...
 
ccm lazma walipe hizo gharama hilo halina upinzani kama vile wale madiwani waliofukuzwa chadema ARUSHA wakaenda mahakamani wakashindwa wakaamuriwa walipe gharama zote na walilipa TUNDU lazma alipwe hizo pesa siyo ombi ni lazima








10603172_1473822589546233_1354228660_n.jpg
 
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!

Le Mutuz

Jaribu kunywa dawa ya kuhara ili upunguze mafuta mwilini Maana wanasema unene ukizidi sana Mafuta hupanda kwenye Ubongo na kupunguza Uwezo wa kufikiri ,sasa ebu tizama hapa Nyerere anaingiaje ?
 
huyu mtoto wa malecela naona kidogo ni mpungufu wa akili, mwili na utendaji kazi wa akili yake havilingani kabisa. kubwa jinga hiloooo...

Mafuta yakizidi ndani ya mwili hupanda kwenye Ubongo na kuathili uwezo wa kufikiri , Unene ni majanga ndio Maana unapigwa vita ,mwambieni Le mutuz ajitambue !
 
mm nilikuwa nakuonaga mtu wa kushehemiwa sana kumbe wewe ni wale vichaa waliopo ccm wasiojitambui kabisa ntaanza kukupuuzia kuanzia leo zitto ameingiaje kwenye hii thread CCM NI JANGA LA TAIFA

si kila tumbo kubwa ni kitambi .
 
Wenye unene wa mazoezi au unene wa kikakamavu nina imani akili zao zipo imara,lakini ule unene nyama Uzembe ni majanga Maana mafuta yakipanda kichwani inakuwa full majanga ! Chezea Le mutuz wewee.....
 
Ila CCM nao wanatudai CDM Sumbawanga mjini pale. Aisee mambo za kesi hizi ni balaa.
 
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!

Le Mutuz

Kwani Familia ya Nyerere walimpeleka Lisu mahakamani kudai fidia? Hapa Nyerere anaingiaje? Wewe Le Mutuz jaribu Kuwa unafikiria kabla haujaandika chochote .
 
Le Mutuz iko shida up stairs unahitaji msaada wa kitabibu.Mbona hoja iko wazi,wewe hii ya familia ya Mwalimu Nyerere imeingiaje hapa?.
 
- Busara ya kumtukana baba wa taifa sina upo sawa maana sijawahi kuona mtumzima na akili timamu anatukana Marehemu ambaye hawezi kujibu,

Le Mutuz

Mzee mwenye mvi mpaka mkundun ndio akili yako mbovu hivi? Ana kilango kweli sio mlezi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kazi kweli kweli! Hivi hii topic inamhusu Nyerere?
Huo ni uchungu wa fedha zao kwenda kwa Lisu. Mambo ya Arusha hayo yanajirudia. Ukiwa kiherehere uwe na pesa pia kwa litakalokupata . Hao wanachama wa CCM watakoma kulinga wakati CCM yenyewe imekufa na tunaizika rasmi mwakani, itakula kwao.
 
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!

Le Mutuz

Acha ujinga sema tusi alulotukana.tatizo lako mali ya bendera uliyokunywa.shtuka hiyo njia haitobozi.
 
Walipishwe kabisa, hivi jimbo la arusha mjini lema ashalipwa na hawa makada viherehere wa mccm?
 
Back
Top Bottom