chingunduli
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 268
- 51
Le mutuz unaoa lini!??
Mwili wa tembo akili za sisimizi.
Le mutuz unaoa lini!??
- Si katangulia mwenyewe Sheria hajui Zitto kampiga mahakamani, Rais kamtwanga kama mtoto aibu tupu labda atulipe Taifa kwa kumtukana Baba wa Taifa tena maskini ya Mungu marehemu bila sababu ya msingi U know
Le Mutuz
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le Mutuz
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le Mutuz
hatalibwa maana cdm nao walipinga wabunge wa ccm na wakqshinda kesi so ngoma ndroo
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le Mutuz
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le Mutuz
tehe tehe Le mutuz ukoo wa panya ninakumbuka yule mzee aliyefukuzwa NEC na baba wa taifa kama paka mwizi!! tehe teheMtoto wa mzee Jumanne unamatatizo sana
Nakumbuka Mwalimu bila kuuma maneno alimwita mzee Malecela mhuni!Hivi Mwalimu alimwita nani Mhuni vile?
John Malecela. Wakati ule sikuamini kabisa mzee kama yule kuitwa muhuni, ila siku hizi nimeamini kutokana na matokeo ya uzao wake.Hivi Mwalimu alimwita nani Mhuni vile?
Kazi kweli kweli! Hivi hii topic inamhusu Nyerere?
Shauri la Lissu liko mahakamani lililosikilizwa na kuthibitishwa tena kisheria.- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!
Le Mutuz