CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

Ndio mama yake mzazi mkuu na ndio litoto la kwanza lishakuwa babu halina ata familia hajawahi kua wala kuolewa na anaishi gest umrii huo miaka 45+ ni kubwa jinga flani fatilia coment zake


kwan huyu mbabu na mama anna killango nani mkubwa?
 
Kumshitaki Lissu unatakiwa uwe umejipange kweli kweli vinginevyo lazima uaibike kama hivi.
 
Na wewe mpeleke mahakamani uone cha moto!

Duh William, mbona wewe uko hivyo? hapa kunahoja ambayo iko wazi lakini wewe unakurupukia jambo lingine kabisa tena lisilo na ukweli kabisa.
Nakushangaa kwani wewe ulikuwa makini sana ulipokuwa ughaibuni lakini sasa kama uvccm. Mbona hufanani na Anne au mzee wetu John. AIBU
 
Havi huyu William malecela kumbe akili yake ni kama ya upe sio maana comment zake hata siku moja cjawahi kuziona zina mantic duh kazi ipo
 
Nawamlipe kili iwe fundisho kwa hawa wana ccm chumia tumbo wanaotumiwa
 
Nawamlipe ili iwe fundisho kwa hawa wana ccm chumia tumbo wanaotumiwa
 
Ila CCM nao wanatudai huku Sumbawanga. Kesi za kisiasa ni risk kinoma. Aisee
 
- Labda ailipe familia ya MWalimu kwa kumtukana Baba wa Taifa tena marehemu bila ya kosa, ok!!

Le Mutuz
Unajua kutukana ni nini au kiherehere uonekane umepost kitu. Ukweli unauma na ukikuuma sio umetukanwa ndio ukweli ulivyo unachomachoma unatakiwa uvumilie. Ukitukanwa huumii maana ni uzushi au majina ya vitu. Kwa unavyoelewa wewe kutukana si kila siku unatukana watu hapa jf. Au kuna wanaopswa kutukanwa na ambao hawatakiwi watukanwe. Nipe mwongozo kwa hili. Ni wapi sio wakutukanwa na wapi wa kutukana. Ila jua kwamba ukweli ni kwa kila mtu anapaswa kuelezwa. Mfano le mutuz ni mnene au hajaoa japo ana umri mkubwa sana. Hilo sio tusi au kutukana ni ukweli. Na unabakia kuwa kweli
 
Back
Top Bottom