CURRENT ISSUE
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 256
- 57
Hii ni kuokoa gharama za kuwasafirisha polisi kwenda kwenye mkutano ikiwa ungefanyika mbali na hapo.Nawapenda CCM wanajua kuokoa pesa za walipa kodi.
chini ya bendera ya taifa
tatizo nini kufanya mkutano kwenye eneo la polisi ?Kile ambacho tunalalamika kila siku na kutoa ushahidi lakini serikali inapuuza.
Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mbunge wa jimbo la Segerea na Naibu waziri Makongoro Mahanga wamefanyia mkutano kwenye mlango wa kituo cha Polisi kana kwamba hakuna viwanja vingine.
Polisi wakashindwa kufanya kazi zao magamba yamejaa mlangoni.
Hivi CHADEMA wangefanya vile mlangoni mwa polisi ingekuwaje? hebu wadau angalieni Picha mseme wenyewe
Dah hata msaada aliotoa katika kituo hicho mnaudhihaki mbona hamna jema kwenu hicho kituo kafanikisha kukifanyia renovation kawawekea hadi ac na kiyoyozi madirisha ya Vioo na Seli yenye choo
Ukitaka kukosoa uwe msafi!
Of all the things, that is the best you can do!!...It was an error(typing error) unless someone persist in it to be a mistake.
Nilimaanisha Kupenda nchi na Si 'jupenda' nchi! Na kiswahili sanifu ni huwa 'mnakimbilia' wapi na si "MNAKIMBILIAGA" wapi.
Now, Back to the topic!
Yalikuja tabata kimanga yakazomewa mkuu ndio maana yakaona yakafanyie mkutano polisi post tabata shule....bwahahaaaaaMagamba walikuwa na hofu kwamba wakifanyia eneo lingine watazomewa!
Ukiangalia kwa makini picha yaonesha bwana mahanga hakuwa na uhakika wa usalama kwenye mkutano wake hasa ikikumbukwa alikamatwa na masanduku ya kura alizochakachua, mtu wa namna hiyo anajua asivyo na wa kuwahutubia hivyo kuhofia anaweza kuadhibiwa kwa wizi muda wowote hali inayopelekea kuufuata ulinzi mlangoni!
kama chadema wanafanyia mikutano yao kanisani. kusa gan ccm kufanyia mkutano mahali ambapo kuna ulinzi wa kutosha
ingekuwa cdm wasingepewa kibali